Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Mkuu nashukuru sana kwa kulitolea ufafanuzi hili. Wengi wapo negative sana mkuu
One of its main advantages is speed – up to 200 Mbps. The Ukrainian satellite internet provider Datagroup, Starlink’s main rival, offers satellite internet for $43 per month, but its speed is significantly lower – 20 Mbps.
 
Mkuu watu wazungumzie kuhusu gharama lakini siyo kuhusu kasi. Kuna kampuni zisingeweka starlink kama inasinzia. Lakini pia gharama ni kubwa kwa sababu ana wateja wachache na ndiyo kwanza ana anza
 
"The U.S. Air Force, for instance, awarded Starlink a contract in early August for satellite internet in Europe and Africa after watching how it helped Ukraine stay online amid Russia's invasion."
 
"Although the value of Starlink for ordinary users is questionable, for the army and critical infrastructure facilities – schools, banks, railways, hospitals – it is indispensable"
 
Point to note.

"the internet to the liberated territories, Ukrainian mobile operators – Kyivstar, Vodafone, and Lifecell, combine their own equipment and Starlink’s tech."
 
"“We recently tested how Starlink works in a car traveling at a speed of 130 km/h,” Nabok said" Ukraines gvt spokesman.

“We were pleasantly surprised by the results of the test, so we are considering covering trains with high-speed internet, turning them into ‘offices on wheels’,"
 
I am getting you well Mr.
 
“We were pleasantly surprised by the results of the test, so we are considering covering trains with high-speed internet, turning them into ‘offices on wheels’,"
 
Another key points.

Portable white-and-gray Starlink satellite dishes can be mounted on the roof of the house, hidden in a shallow pit, or fastened to the hood of a car – anywhere with a clear view of the sky.

Starlink allows access to the internet even during power outages or in the absence of other internet infrastructure. It is also more secure than other types of communication: Experts say that it’s nearly impossible for Russian troops to intercept.
 
-Starlink imekuwa tested vitani na ikaonekana very exceptional.

- US military ameonyesha interest ya ku-intergrate mifumo ya starlink kwenye future programs zao.

- Makampuni mkubwa ya simu kama Vodafone yameanza pia ku-subscribe huduma za starlink.

-Stalink unaweza kui- mount kwenye platform yoyote ile hata kwenye gari linalo safiri 130km/hr na ukapata high speed Internet bila changamoto yoyote, tofauti na makampuni ya simu kama vodacom yanayohitaji fixed position kama kwenye nyumba kupata hiyo superkasi and etc.

Kwa analysis yangu ndogo tu kwa haya yanayoendelea Europe, starlink is the future. Whether mtu ataitumia direct or indirect but it is innevitable. Kama kampuni ya simu waki-subscribe it means kama mteja utaitumia indirectly.
 
Wafuasi wa Gwajima kazini.
 
Nimemkumbuka wale wanajeshi wa Ukraine walivyozungukwa na jeshi la Russia kule viwandani wakawa wanamwambia Musk fanya Jambo utuokoe huku kiwandani tunajua haujawahi kushindwa na blah blah blah kibao,😄😄 mwisho wa Siku walidakwa Kama kuku.
 
😆 😆 😆 Hapana kaka,

Though najua umetania kidogo, manake nimeona umem-poke mfuasi wa gwajima hapo, kimoyomoyo nikasema jamaa atakuwa anasema " wa kupuliza atakuwa na pepo la simba"

Musk of course hana weapons or military capability ya ku-challenge Russians.

Musk alichoweza ni kuwapa Azovs access ya kuwasiliana na the rest of the world wakiwa underground, on this aspect, yes, Musk won.
 
Sababu majeshi yanatembea misituni of course kwao ni muhimu. Na hio speed ni over provider wengine wa satelite.

Satelite internet ipo slow kuliko Fiber, MV, 4G, 5G etc. Hata hio 3G ama adsl vs starlink ni debate.

Na tunapoongelea speed sio tu download speed bali hasa hasa tunamaanisha latency, satelite zipo mbali hivyo inasababisha network kuwa na latency kubwa hivyo vitu vinavyofanyika real time inakuwa tabu.

Angalia reviews mbalimbali kwenye subredit ya starlink watu ambao wapo pale pale marekani wanacheza game na server za marekani wanapata ping hadi 200ms mimi mbongo huku nacheza na voda 4G napata 140ms. Imagine sasa mbongo na starlink utakula 500ms huko.

Anyway ngoja ije ndio mtaelewa zaidi.
 
Tatizo siku hizi Elon Musk anaongea sana hadi anakaribia kua mpumbavu alitangaza kuinunua Twitter kumbe alikua anatafuta kuongelewa tu, akatangaza kuinunua Manchester United kumbe alikua anatafuta kiki tu.
Uwezo anao kweli lakini aache kubonga sana afanye vitendo zaid
 
Issue ni nyie frustration zenu za Mitandao ya simu munatafuta imaginary saviour, Elon mwenyewe hajatengeneza starlink kupambana na mitandao ya simu ama fiber. Hio imetengenezwa kwa ajili ya watu ambao hawajafikiwa na internet.

Hebu nishawishi mimi why niache voda 5G, ama 4G supakasi (zote unlimited) kuanzia 120,000 ama niache TTCl fiber kuanzia 55000 then nitoe zaidi ya milioni kuvuta Starlink? Nitapata nini zaidi?
 
...Bure?...
 
Good News !!! Let's Wait And See The Positive Side Of It !! Reliable & Lower Internet Service Rates (If Possible !) Are Very Crucial In Today's World!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…