Mitazamo ya kike na kiume

am I overconfidence?
...only that question says it all, no one is perfect!
 
Ukichunguza sana utagundua tatizo unalo zungumzia ni 'chemistry'
au 'lack of chemistry' kati yako na hao wanaume

kuna maneno yanaitwa 'sweet nothin'
ni mambo tu ya kijingajinga kati ya watu wawili
but kwa sababu wanaelewana na kupendana ...hawaboani
ukiona mtu anakuboa kwa kukueleza ujinga ujue kuna kitu serious missing...
'mapenzi ni mchezo wa kitoto kwa watu wazima'
 
Inapendeza mwanaume akuzidi vitu fulani fulani ila wewe umezidi my dia.Hiyo confidence yako inabidi uitathmini la sivyo utakosa.....
 


Bila Shaka utakua Muhaya, Kama sio basi Muha wa Kigoma
 
Nyi ndo mnaolewaga na maboya trust me. Kuwa makini sana utachagua sana mwisho wa cku umri nao ooh. Vp yule jamaa six pack wa mataa ubungo ulimpata?

Good luck am not interested to get married anymore hiyo was my past, my age has already lapse. That guy of Toyota Hilux hatujaonana tena kimeishia pale pale.
 
Ila mwanaume akikuzidi vitu flani flani kuna raha yake....teh ila we mama ya ma crush umezidi lol

yeah kuna raha kiukweli bad luck sijakutana nayo.......... mie naona hata mwenyewe nimejishindwa looh
 
Juzi nikakuuliza basi mitaa yako nijaribu kuzengea huko nicrash na wewe unajibu kisiasa wakati project iliyonileta mjini inaexpire hivi karibuni nirudi mkoa.

OK hilo tuu, isiwe shida, pitia mitaa ya ali hassan mwinyi road, ile barabara ya kutoka morocco kwenda mbezi beach kupitia njia panda kawe, na san nujoma road hiyo ni kwa week end tuu na holidays. week days kwa sasa niko bagamoyo until further notice, so ukizengea mitaa ya bagamoyo waweza kutana na Kasie uka crush.
All the best.
 
Mi nadhan kwa std izo, ukimuoa Kiranga mtakua the best couple eva.

hahaaaa Give me a break...........!!! NIMUOE....!!! we naona umeamua kumtusi Kiranga au ndo ulimi hauna mfupa??? teh teh
Ila kwa sasa hiyo era ya ndoa kwangu imeshapita, am just cruising in this ship called earth.
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa Give me a break...........!!! NIMUOE....!!! we naona umeamua kumtusi Kiranga au ndo ulimi hauna mfupa??? teh teh
Ila kwa sasa hiyo era ya ndoa kwangu imeshapita, am just cruising in this ship called earth.

Ulishawahi kuumizwa kimapenzi?
 
Aah I know you are perfectionist ,utakua unadondokea sana kwa wanaume wasiokupenda cos you are so selective!!

yeah na hatukuwa tuna last kwenye hayo mahusiano na mie ndo nilikuwa nasepa ila not rudely.
 
Waswahili wanasema Mchagua Nazi siku zote huangukia Korona....Watch your Mouth
Weeh kiswahili tuachie waswahili, ....... sio korona ni koroma loh!!
watch ur words!!
 
am I overconfidence?
...only that question says it all, no one is perfect!

I agree am not either, and I was not looking for a perfect man, by then I was looking for a man who was ahead of me in areas like education, IQ, financially............................etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…