Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

yaaaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€imebidi nianze kukumbuka visa vyangu daah
Kipindi hicho hakuna mitandao ya kijamii.. Marafiki wanatafutana kwenye magazeti
Siku moja nikasoma kwenye gazeti la KOMESHA mdada anatafuta mchumba.. Kaweka na namba za simu

Mimi nikamwendea hewani.. Ila sauti yake kidogo ikanipa mashaka ilikuwa nene halafu ya kibabe fulani hivi

Basi tukapanga tuonane CHAGA BITE Makumbusho bythen.. Yeye alikuwa anatokea mitaa ya Sinza makaburini

Basi Mimi nikafanya ujanja wa kufika mapema na kukaa meza ambayo inatazama barabarani kisha simu nikaweka vibration

Aisee kikaja kipisi cha mdada sura ya babuyake halafu bouncer fulani... Kavaa T-shirt nyekundu na pensi la kijani!

Kufika nje akapiga simu.. Sasa anapopigia simu na niliko ni kama mita 3 tuu.. Mimi sikuipokea baada ya kumuona alivyoπŸ˜‚
Nikamtumia msg kwamba nakaribia kisha nikazima simu..basi akaingia ndani na kukaa meza jirani na Mimi akaagiza viroba viwili vya konyagi bila soda kisha akaendelea kunipigia simu

Kuona sipatikani alimaindi vibaya mno.. Akampigia ndugu yake akamwambia huyu fala kanizimia simu ole wake siku moja nimjue..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakati tunasoma kuna mdada alituma picha gazeti la sani anatafuta marafiki aiseee.

Alisababisha mwalimu wa nidhamu aje atutangazie kuwa barua zoote za yule dada zitatiwa moto maana zilikuwa nyingiii sana na alikuwa mrembo mwenyewe.

Ikawa mwanzo mwisho kutuma kwenye magazeti na kutumia anwani ya shule bwana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€alafu fala mwenyewe umekaa pembeni daah

ila mapenzi ya kukutana stand πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

zamani ilikua raha mtu anakosea namba mnapendana mnakua zenu wapenzi kabisa mnaenjoy

sikuhizi sasaπŸ˜€πŸ˜€
 
Braza mshana nje ya madaa kaka yangu NISAMEHE kama takukosea, Kuna Hawa wa dada aizat, ephen na cocastic natamani nipate Mmoja kati Yao asee nawapenda sana lakini Iko hivi, aizat kanichunia, cocastic nilipewa mashaka kidogo, ephen huyu ni wangu kabisa na ananipenda NAMI NAMPENDA tunapendana in short, sana tena sana shida yake ana shobokea wanaume wengine mbele yangu naumia sana Kwa kweli ni kama anani dharririsha, ndugu yangu nisaidie jamani
 
ephen_ una siri sana familia kumbe kuna mtu mnapendana mno ila unaringaπŸ˜†πŸ˜†
 
Chagua mmoja uliyempenda kabisa kwa dhati ya moyo mengine niachie
 

GB za Kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…