Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Dah kaka mi muislamu ruksa kuoa hata watatu kaka😂😂, aizat haeleweki, coca mmh, tuanze na ephenChagua mmoja uliyempenda kabisa kwa dhati ya moyo mengine niachie
Dah kaka mi muislamu ruksa kuoa hata watatu kaka😂😂, aizat haeleweki, coca mmh, tuanze na ephenChagua mmoja uliyempenda kabisa kwa dhati ya moyo mengine niachie
Kosea namba utangaziwe shida za kufa mtu😀😀😀😀alafu fala mwenyewe umekaa pembeni daah
ila mapenzi ya kukutana stand 😀😀😀
zamani ilikua raha mtu anakosea namba mnapendana mnakua zenu wapenzi kabisa mnaenjoy
sikuhizi sasa😀😀
Wacha mambo yako, mbona simple sana.Mimi nimewahi na sitorudia tena🤦🏽♀️
Nipeni kiti kwanza..
Hivi ni kwanini wrong number mostly zinapatikana na zinakuwa ni jinsia pinzani? 😂😀😀😀😀alafu fala mwenyewe umekaa pembeni daah
ila mapenzi ya kukutana stand 😀😀😀
zamani ilikua raha mtu anakosea namba mnapendana mnakua zenu wapenzi kabisa mnaenjoy
sikuhizi sasa😀😀
Simple nini hivi unajua viumbe vilivyoko huko vilivyo vya ajabu? Au hujakutana babu?Wacha mambo yako, mbona simple sana.
Acha tu broski! 2022Sofa ndio litakufaa.. Karibu😆
Wewe acha tu mpaka unasema nini hiki jamani🙌🏾Profaili feki (Catfishing): Unazungumza na mtu picha yake inaonyesha ni mtanashati au mrembo, lakini mkikutana live ni mtu mwingine kabisa.
Kiboko ya yote ni badoo🙌🏿🙌🏿🙌🏿 kule nadhani ndio shetani kaweka HQ yake😆Acha tu broski! 2022
Niliachwaga nikawa na stress ya kimbwa! Ndio mpaka leo nimekuwa sugu..
Nikasema hapa kupoza haya maumivu nidownload tinder then nichat na vijana nitakaa sawa, lol!
Unakutana na mkaka anakwambia umfanyie pegging akulipe!
Lesbian naye anataka akuhamishie huko na akulipe!
Wala visamvu sasa mtu yuko tayari kutoa hata laki3 mwingine anakuahidi gari.. (sijui siri hapa ni nini🤦🏽♀️)
Mwingine anataka kukuomba pesa tuu
Mwingine anakulazimisha akununue
Bado kuna wale the wanna be’s( wanajifanyaga wapo tu kule hawana mambo mengi watakuahidi hata ndoa, kumbe wana hook vizuri tu)
Ila, all in all sitotumia tena hii mitandao!🙌🏾
Badoo sijawahi kuitumia ila tinder🙌🏾Kiboko ya yote ni badoo🙌🏿🙌🏿🙌🏿 kule nadhani ndio shetani kaweka HQ yake😆
na sauti zinakuaga tamu penzi linakua la motoHivi ni kwanini wrong number mostly zinapatikana na zinakuwa ni jinsia pinzani? 😂
kosea kwangu mwaya😀😀😀Kosea namba utangaziwe shida za kufa mtu
Mbona jf mnaiacha nyuma😅😅Kiboko ya yote ni badoo🙌🏿🙌🏿🙌🏿 kule nadhani ndio shetani kaweka HQ yake😆
Jamani, ile ni mitandao ya kuuza na kununua. Mbona simple tu, ukienda kule it's either ni mnunuzi au mmuzaji au unataka kuona mauzo na manunuzi yanavyofanyika.Badoo sijawahi kuitumia ila tinder🙌🏾
Simshauri mtu mwenye utimamu ajiunge na hayo makundi, kwanza hata mindset inabadilika hata in real life unakuta mtu hawezi kuongea kama mzima, anakuwa kashaathirika vibaya!