hawa wa sikuizi sidhaniHebu ngoja nijaribu moja nione🤣
Ishu iko kwenye hiyo biasharaJamani, ile ni mitandao ya kuuza na kununua. Mbona simple tu, ukienda kule it's either ni mnunuzi au mmuzaji au unataka kuona mauzo na manunuzi yanavyofanyika.
Nimejaribu kapokea mbibi anaongea kisukuma non stop😁🙌🏿hawa wa sikuizi sidhani
Sikuwa najua at first🙌🏾Jamani, ile ni mitandao ya kuuza na kununua. Mbona simple tu, ukienda kule it's either ni mnunuzi au mmuzaji au unataka kuona mauzo na manunuzi yanavyofanyika.
Kumbe na humu michezo hiyo ipo?Mbona jf mnaiacha nyuma😅😅
Sidhani, humu hakuna kuuza wala kununua...its pure friendship!!Kumbe na humu michezo hiyo ipo?
Basi marafiki nimepata😎Sidhani, humu hakuna kuuza wala kununua...its pure friendship!!
Kwa hiyo we ulienda kwa lengo gani hasa, ulidhani badoo ni kama Facebook?Sikuwa najua at first🙌🏾
Vinavyouzika na kununulika mkuu, unajua life imekuwa simple sana, mambo ya kusimamishana barabarani yamepitwa na wakati, au mambo ya wadada kujipanga kusubiri wateja hayapo.Ishu iko kwenye hiyo biashara
Je unauza nini?🙌🏿 na je unanunua nini🥺
Nilienda kutafuta mpenzi😁Kwa hiyo we ulienda kwa lengo gani hasa, ulidhani badoo ni kama Facebook?
Hutaki kuwa mubaba sio😀Naomba kuwa rafiki yako🙏🏿
Ukakutana na nini tupe muongozo basiNilienda kutafuta mpenzi😁
Duhh sasa si bora upate mmoja mfanye hiyo biashara kuliko kuokota kila siku huko! Mtakutana na majini!Vinavyouzika na kununulika mkuu, unajua life imekuwa simple sana, mambo ya kusimamishana barabarani yamepitwa na wakati, au mambo ya wadada kujipanga kusubiri wateja hayapo.
Nipe location nije, lipia bolt nakuja, andaa 50k kwa masaa kadhaa nikupe burudani kila mtu apate anachotaka.
Kwani hujasoma huko juu si nimeeleza! Ila nilipata fwb sijui aliendaga wapi yule jamaa dah!😅Ukakutana na nini tupe muongozo basi
Watu hawataki kugandana, sisi wengine tukiamka asubuhi na kukuta "morning love" na makopakopa tunafurahi sana. Kuna wengine hawataki hizo mambo, anavaa gwanda anakula mzigo anavua gwanda tukutane na mwingine siku kibbutz kikijaa.Duhh sasa si bora upate mmoja mfanye hiyo biashara kuliko kuokota kila siku huko! Mtakutana na majini!
Fwb ndio nini, wazee mnatuacha sasa😅Kwani hujasoma huko juu si nimeeleza! Ila nilipata fwb sijui aliendaga wapi yule jamaa dah!😅
Usichoke babu ndio kwanza tunaanza🤣Fwb ndio nini, wazee mnatuacha sasa😅