ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Noma sana!!Tinder swindler!
Noma sana!!Tinder swindler!
KipenziJamani
Kuanza chuo 2019 haimanishi mi ni mtoto mi ni mtu mzima sema nilichelewa kuanza masomo, kusema Nina muda mwingi wa kusaka nimpendaye si kweli sababu vijana sasa hivi tunakufa sana tukiwa na umri wa kati, mfano Nina wadogo zangu wawili wa mtaani nimekua nao walikua bado watoto kabisa lakini Leo hatUnao tena washa tangulia mbele za haki hivo, hakuna muda wa kusubiri. yeyote akikaa kwenye mfumo una amka nae mkuuKama 2019 ndio ulikuwa unaanza masomo basi una muda mwingi wa kusaka umpendaye usijali kabisa mdogoangu alex! Vzr ulifanya maamuzi ya kiume ukamove on..
Kabisa!Kuanza chuo 2019 haimanishi mi ni mtoto mi ni mtu mzima sema nilichelewa kuanza masomo, kusema Nina muda mwingi wa kusaka nimpendaye si kweli sababu vijana sasa hivi tunakufa sana tukiwa na umri wa kati, mfano Nina wadogo zangu wawili wa mtaani nimekua nao walikua bado watoto kabisa lakini Leo hatUnao tena washa tangulia mbele za haki hivo, hakuna muda wa kusubiri. yeyote akikaa kwenye mfumo una amka nae mkuu
SIKU ukija kisiwani nitonye bhasKabisa!
Dah kaka usinisahau siku ingine kaka nijuze kaka ukitaka kuja tuonane nakukubali sana kakaDah kama ni Zenji nimetoka huko leo
Pale forodhanNilikaa fish market mpaka saa tano hivi😀
Nilikaa fish market mpaka saa tano hivi😀
Sawa kaka nasubiria mambo yangu yakae sawa nampango wakuwa naanda party naalika marafiki kuja tufurahi itapendeza sana tuombe uzima tu na milango iendelee kufungukaYeah ila sikuingia ile ya majini inayoelea
Hivyo hivyoningekua na fake Id ningehadithia mcheke😀😀😀
we kuwezaHivyo hivyo
UsiwazeSIKU ukija kisiwani nitonye bhas
🙏🙏🙏 Shukran kakaNitakuombea zaidi
Utatisha sana 🙏🙏🙏🙏Usiwaze