Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

Kama 2019 ndio ulikuwa unaanza masomo basi una muda mwingi wa kusaka umpendaye usijali kabisa mdogoangu alex! Vzr ulifanya maamuzi ya kiume ukamove on..
Kuanza chuo 2019 haimanishi mi ni mtoto mi ni mtu mzima sema nilichelewa kuanza masomo, kusema Nina muda mwingi wa kusaka nimpendaye si kweli sababu vijana sasa hivi tunakufa sana tukiwa na umri wa kati, mfano Nina wadogo zangu wawili wa mtaani nimekua nao walikua bado watoto kabisa lakini Leo hatUnao tena washa tangulia mbele za haki hivo, hakuna muda wa kusubiri. yeyote akikaa kwenye mfumo una amka nae mkuu
 
Kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…