Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

Hakuwa na maana hiyo. Unawezaje kuenjoy ukiwa na njaa? Hiyo ndo alomaanisha.
Njaa ni yeye anayo mkuu ..maisha haya hatuezi wote tukawa na njaa
Au wote tukawa na pesa
Sasa shida zake ndio na cc r
K

waiyo mkuu wewe uko radhi ununue nguo kuliko ulipie hela ya matibabu sio?
Mtoto utampeleka hospital uchi ?
 
Kuna watu wanamawazo ya kijinga hasira kila kitu mpk kwenye michezo inayotupa furaha watu wanaeka makasiriko
Mkuu ni kutofautiana mitazamo tu wewe unona Rais kutoa pesa na kuzipeleka kwa wasio wahitaji kwamba ni jambo la furaha kwa wapenzi wa soka tu ila mwengine yeye kaona si sahihi Rais kutoa pesa badala ya kuzipeleka kwenye uhitaji tena wa msingi ambao utawafaa wananchi wote yeye anaenda kuzipeleka kusiko na uhitaji ili tu kuwafurahisha wapenzi wa mpira.
 
Kwa hiyo ulitaka rais awapelekee watu pesa majumbani?
Asiwapelekee watu pesa majumbani wala asiwapelekee pesa wachezaji kwenye timu zao, hayo yote sio majukumu yake na hakuna atakaye lalamika kwa kutoyafanya hayo.
 
Viongozi dhaifu, taifa dhaifu, kila kitu kitakuwa dhaifu.
 
Hiyo ni kutoka kwenye bajeti ya wizara ya Michezo...

Hayo ya matibabu yanatokea kwenye bajeti ya waizara ya Afya...


Cc: Mahondaw
 
Kama million 20 ni kitu gani mbona kuna raia wanateseka laki 1 ya vipimo hospitali za umma?
 
Kuna watu wanadaiwa laki 5 tu hosp tena za serikali wanakosa huduma lakini yupo tayari kutoa milioni 50 kununua magoli kwa siku
 
Kwanini asinunue dawa hosp badala ya magoli?
 
Asiwapelekee watu pesa majumbani wala asiwapelekee pesa wachezaji kwenye timu zao, hayo yote sio majukumu yake na hakuna atakaye lalamika kwa kutoyafanya hayo.
Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tu
 
Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tu
Hakuna aliyesema anataka apewe pesa nilichosema ni kwamba apeleke pesa kwenye uhitaji ambako watafaidika wananchi wengi zaidi, bado kuna mambo mengi ya muhimu zaidi yenye kuhitaji pesa na yanawagusa wananchi wengi.

Ila kama unaona Rais kujipa kazi ya kukuza soka kwa muendelezo wa kugawa pesa kwa wachezaji na kwamba ndio kunakuza soka basi sawa naheshimu mtazamo wako.
 
You are welcome
 
The state inapaswa kutambua kwamba katiba mpya ilipaswa Kupatikana miaka kumi na tano iliyopita na sio sasa!Sasa no kuchelewa sana na aibu sana kwa vikosi vya ulinzi kulinda kiongozi anaetumia fedha za walipa Kodi anavyojisikia!!
Labda kama anatoa mfukoni mwake!
 
Hii nchi imejaa wajinga na wapumbavu wako simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…