zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Njaa ni yeye anayo mkuu ..maisha haya hatuezi wote tukawa na njaaHakuwa na maana hiyo. Unawezaje kuenjoy ukiwa na njaa? Hiyo ndo alomaanisha.
Au wote tukawa na pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa ni yeye anayo mkuu ..maisha haya hatuezi wote tukawa na njaaHakuwa na maana hiyo. Unawezaje kuenjoy ukiwa na njaa? Hiyo ndo alomaanisha.
Maku weweKwa hiyo ulitaka rais awapelekee watu pesa majumbani?
Njaa ni yeye anayo mkuu ..maisha haya hatuezi wote tukawa na njaaHakuwa na maana hiyo. Unawezaje kuenjoy ukiwa na njaa? Hiyo ndo alomaanisha.
Mtoto utampeleka hospital uchi ?K
waiyo mkuu wewe uko radhi ununue nguo kuliko ulipie hela ya matibabu sio?
Mkuu ni kutofautiana mitazamo tu wewe unona Rais kutoa pesa na kuzipeleka kwa wasio wahitaji kwamba ni jambo la furaha kwa wapenzi wa soka tu ila mwengine yeye kaona si sahihi Rais kutoa pesa badala ya kuzipeleka kwenye uhitaji tena wa msingi ambao utawafaa wananchi wote yeye anaenda kuzipeleka kusiko na uhitaji ili tu kuwafurahisha wapenzi wa mpira.Kuna watu wanamawazo ya kijinga hasira kila kitu mpk kwenye michezo inayotupa furaha watu wanaeka makasiriko
Asiwapelekee watu pesa majumbani wala asiwapelekee pesa wachezaji kwenye timu zao, hayo yote sio majukumu yake na hakuna atakaye lalamika kwa kutoyafanya hayo.Kwa hiyo ulitaka rais awapelekee watu pesa majumbani?
Viongozi dhaifu, taifa dhaifu, kila kitu kitakuwa dhaifu.Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu ya umasikini mkubwa sana na ambao walio sababisha ni hao hao wanao nunua Magoli ya Yanga na Simba.
Mpira wa miguu hasa haya mambo ya Yanga na Simmba yanatumika kisiasa kuhafaa wajinga wa hili Taifa, hadi too much.
Huwezu Raisi ukawa unanunua starehe ilihali raia wako wana hali mbaya sana mtaani, Raia wanatembeza fomu za michango ya kutibiwa Raisi anagawa bulungutu za pesa za Magoli na wajinga sisi tunashangilia kwa sababu tu wanao teseka watajijua wenyewe.
Ukiachana na Wagonjwa kuna shule kibao za Serikali yaani unaweza zania ni magofu ya kambi za maaskari wa vita ya Veitnam. Madarasa kama mabanda ya kufugia mbuzi na mkuu wa nchi anagawa pesa uwanjani
Magari ya Kubeba wagonjwa ni hadi raia ndugu jamaa na marafiki wajichange kumbuka gari ni STK na zimenunuluwa kwa kodi na stilli raia wanakamuliwa kwa kisingizio hakuna bajeti ya mafuta huku Raisi akinunua Magoli.
Nenda Police Gari za police unaambiwa hazina mafuta toa pesa ya mafuta mtuhumiwa wako akakamatwe yaani Raia ndio inabidi atoe pesa ya mafuta kuwezesha Police kwenda kukamata mtuhumiwa,Raisi ananunua Magoli ya Yanga na Simba.
Mimi ni Yanga na sisapoti huu ujinga na hakuna hata siku moja nitaingia kwenye huu mtego wa kutega wajinga wa hili Taifa kwa kununua Magoli ilihali Raia wanataabika sana mitaani.
Mitego hii ya kununua magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu.
Kama million 20 ni kitu gani mbona kuna raia wanateseka laki 1 ya vipimo hospitali za umma?Hoja za kutafuta huruma kwa kuutumia umaskini hazisaidii chochote. Kumbuka hao wanaopewa hizo pesa za magoli ni walipa kodi wakubwa.
Wiki chache zilizopita kulikuwa na siku ya mwananchi na Simba Day, umeshajiuliza ni kiasi gani cha pesa kwa maana ya mzunguko wa pesa unaozaa ulipaji wa kodi, kilichopatikana katika hizo siku mbili tu?.
Serikali inajenga barabara za mwendo kasi jijini Dar kwa kasi kubwa, inajenga zahanati kila kata huko mikoani, Mifumo ya umeme inaboreshwa kila kukicha, zote hizo ni pesa ambazo zinatoka hazina zikiwa ni sehemu ya kodi tunazolipa.
Milioni 20 ni kitu gani kwa makusanyo ya siku moja tu pale TRA?. Tuachane na hizi akili za kishamba, zinazojaa hulka za kimaskini.
Kwanini asinunue dawa hosp badala ya magoli?Lengo sio baya ila kwa Level za simba na Yanga nadhani ingekua busara kuanzia hatua ya mtoano ..Azam na hasa hasa Coast kwa hatua za awali ni sahihi mana ingewapa hamasa zaidi ya kuenda hatua inayofata …simba na yanga hawahitaji tena hamna katika hatua za awali.
Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tuAsiwapelekee watu pesa majumbani wala asiwapelekee pesa wachezaji kwenye timu zao, hayo yote sio majukumu yake na hakuna atakaye lalamika kwa kutoyafanya hayo.
Hakuna aliyesema anataka apewe pesa nilichosema ni kwamba apeleke pesa kwenye uhitaji ambako watafaidika wananchi wengi zaidi, bado kuna mambo mengi ya muhimu zaidi yenye kuhitaji pesa na yanawagusa wananchi wengi.Kuwapelekea pesa wachwzaji ni motivation ili mpira ukue tz kama ambavyo kaukuza sasa hivi. Mpira ni source ya uchumi kwa kupitia utalii na uwekezaji pia. Wachezaji wanakatwa kodi. Sasa akikuletea pesa wewe una msaada gani zaidi ya kulewea tu
You are welcomeHakuna aliyesema anataka apewe pesa nilichosema ni kwamba apeleke pesa kwenye uhitaji ambako watafaidika wananchi wengi zaidi, bado kuna mambo mengi ya muhimu zaidi yenye kuhitaji pesa na yanawagusa wananchi wengi.
Ila kama unaona Rais kujipa kazi ya kukuza soka kwa muendelezo wa kugawa pesa kwa wachezaji na kwamba ndio kunakuza soka basi sawa naheshimu mtazamo wako.
Watu wanatafuta hela bro ndio maana serikali wanapata pesa za kodi ambazo ndio hizo zengine wanazigawa kwa wachezaji. Halafu siku zote masikini watabaki kuwa wengi tu kuliko nyie wenye pesa.Acha ujinga Broo tafuta hela kulialia hovyo hauwezi kuuonewa huruma na umasikini wako ni WA peke yako
Hii nchi imejaa wajinga na wapumbavu wako simba na yangaSijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu ya umasikini mkubwa sana na ambao walio sababisha ni hao hao wanao nunua Magoli ya Yanga na Simba.