Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

Iko ivi mkuu mti haujatengenezwa kwa udongo Bali ni Yale madini yanayochukuliwa ardhini +air+water hivi vikichanganyika vinatenge ki2 chenye sifa tofaut na vitu vinavyo unda kumbuka hii sio mixture kama cement na mchanga kwamb ukiweka 25kg +25kg lzma upate 50kg hpn compound unaeza changanya product Ika shrink au expand
 
Kaosme composition ya hzo tissues vzr
Mkuu, anachosema mleta mada ni kwamba;
Mti unachukua simple elements kama nitrogen, calcium etc pamoja na simple compounds kama maji(H2O), carbondioxide(CO2) etc kwa msaada wa mwanga wa jua na chlorophyll etc unatengeneza glucose na baadae hubadilishwa kuwa cellulose ambayo inaenda kutengeneza hizo meristems, cell walls na vascular tissues nyingine.

Kwa mantiki hiyo pointi yake inasimama, sehemu kubwa ya mti inatokana na maji na hewa.
 
Glucose inabadili kuwa cellulose inayotengeneza tissue? [emoji23][emoji23][emoji23] Hyo physiology ni ya wapi[emoji23]
 
Rudi kasome physiology in molecular level in angiosperms[emoji23]
 
Umenena vyema
 
Kwa kweli nimekumbuka huu uzi nimecheka sana. Wabongo wanafurahisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…