Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Kina Mama ndo wanateseka 😔 yaani sijui kuna nini tu ndani yao!? Eti unamkataza Mume wako kuuona utupu wako ila unakubali mtume kuzishika na kulala na wewe eti ndo upako? Aisee
 
Tatiyo lipo kwa yale makanisa yanayojiita ni ni makubwa, nadhani mnayajua, viongozi wake ni wasomi wakubwa wa kila taaluma. Huu umati unaokimbilia kwa mwamposa unatoka huko. Hayo makanisa makubwa hayana mafundisho ya kutosha kuwaweka sawa waumini wao. Wanafundishwa mafundisho manyonge yaleyale kila mara. Umati mwingine unatoka kwa wale wengine wa 'uswahilini' ambao nao hawana mafundisho murua huko wanakoabudu shida zimewajaa na tumaini hawana. Wanakimbia porojo huko wanakosali na kukimbilia abrakadabra za kina mwamposa and so alike wanakoona watatatuliwa shida zao
Hebu rudia tena alichokisema!
 
Mambo yamechanganyikana, waganga wa kienyeji kujifanya ni watauwa wa Mungu na waumini kuwafanya wachungaji kama waganga wa kienyeji, wamelikoroga walinywe
 
wacha wafu wazikane

Wacha hizo ng'ombe ziendelee kukamuliwa mpaka siku zitakapo amua zenyewe kuacha kutoa maziwa.

Huwezi kukomboa MAZOMBIE( wajinga), zaidi zaidi haya MAZOMBIE yataunda jeshi na watakupiga vita kali na watashinda. Wao wanamsikiliza na kumuabudu king maker wao.

Africa imejaa fursa/MAZOMBIE, tafuta eneo lako anza kukusanya mazombie yako uyakamue na kuyaendesha utakavyo,uishi maisha ya raha hapa duniani na huko kuzimu.

Maana hata kwa wanaoamini dini inaaminika MAZOMBIE( WAJINGA), hata mungu mwenyewe kawakana kwa kusema " wajinga ndio waliwao" , "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". Yamkini aliyewaumba hana uwezo wa kuwaokoa ya nini kujichosha kuwaamsha walio lala?.
 
Tatizo lipo kwa yale makanisa yanayojiita ni ni makubwa, nadhani mnayajua, viongozi wake ni wasomi wakubwa wa kila taaluma. Huu umati unaokimbilia kwa mwamposa unatoka huko. Hayo makanisa makubwa hayana mafundisho ya kutosha kuwaweka sawa waumini wao. Wanafundishwa mafundisho manyonge yaleyale kila mara. Umati mwingine unatoka kwa wale wengine wa 'uswahilini' ambao nao hawana mafundisho murua huko wanakoabudu shida zimewajaa na tumaini hawana. Wanakimbia porojo huko wanakosali na kukimbilia abrakadabra za kina mwamposa and so alike wanakoona watatatuliwa shida zao
Hapa umeyasingizia tu hayo makanisa. Shida kubwa iliyopo ni Umasikini, maradhi na ujinga. Hivi vitatu vinawatesa wananchi walio wengi nchini mwetu zaidi ya miaka 60 sasa tangu tulipopata Uhuru! Na ndiyo maana wanatafuta namna ya kuondokana na hayo matatizo kupitia njia mbalimbali, zikiwemo hizi za wajasiriamali wapya wa miujiza.

Na siku zote hawa wajasiriamali wa miujiza wamekuwa wakiwaahidi watu wajinga kuwapa utajiri, kuwaponya magonjwa sugu na yasiyo na tiba, pamoja na shida zao lukuki zinazowakabili kwa kutumia miujiza!! Jambo lisilowezekana hata kidogo.

Na serikali kwa sababu inatambua fika imeshindwa kutimiza jukumu lake la msingi kwa vitendo (la kuwatoa wananchi kwenye ujinga kwa kuwapatia elimu bora na yenye manufaa kwao, kwa kushindwa kuboresha huduma za afya na kushindwa kuwakwamua kiuchumi na hivyo kuwatoa kwenye dimbwi la umasikini wa kipato), imeamua kwa makusudi kabisa kushirikiana nao.
 
Hapa umeyasingizia tu hayo makanisa. Shida kubwa iliyopo ni Umasikini, maradhi na ujinga. Hivi vitatu vinawatesa wananchi walio wengi nchini mwetu zaidi ya miaka 60 sasa tangu tulipopata Uhuru! Na ndiyo maana wanatafuta namna ya kuondokana na hayo matatizo kupitia njia mbalimbali, zikiwemo hizi za wajasiriamali wapya wa miujiza.

Na siku zote hawa wajasiriamali wa miujiza wamekuwa wakiwaahidi watu wajinga kuwapa utajiri, kuwaponya magonjwa sugu na yasiyo na tiba, pamoja na shida zao lukuki zinazowakabili kwa kutumia miujiza!! Jambo lisilowezekana hata kidogo.

Na serikali kwa sababu inatambua fika imeshindwa kutimiza jukumu lake la msingi kwa vitendo (la kuwatoa wananchi kwenye ujinga kwa kuwapatia elimu bora na yenye manufaa kwao, kwa kushindwa kuboresha huduma za afya na kushindwa kuwakwamua kiuchumi na hivyo kuwatoa kwenye dimbwi la umasikini wa kipato), imeamua kwa makusudi kabisa kushirikiana nao.
Ukweli mtupu

Ova
 
Bro; sio mitume na Manabii wa kweli, ni matapeli wa kweli na waongo! Kwenye agano jipya hatuna nabii Kama office

Wacha mafala watapeliwe!
Agano jipya limeanzia wapi na litaishia wapi?
Paul alikuwa kwenye agano la kale?
Huduma ya kitume ipo mpaka sasa ila mostly wa hawa wanaoitwa mitume ni aidha folse or fake.
Fake ni wanaotumia ujanja ujanja(Fake hawezi kupanua wala kufanya lolote bali hutumia shuhuda fake na kufsnya miujiza fake)while false ni hawa wenye cult spirits, wanaponya, wanaona na kufanya miujiza mingi lakini si kwa roho ya Mungu.
Wenye huduma ya kitume wapo wengi tu mpaka leo ila hawajijui hivyo huishia kujipa title nyepesi like mchungaji, mwinjilisti.
Suala la fake and false Ministers liko makanisani kwa ofisi zote ila tu jamii huwakomalia mitume na manabii.
5% tu tu ya watumishi wa leo walioitwa na Mungu wengi wameitwa na njaa
 
Wengi wa wanaojiita mitumen na manabii hapa bongo bahati mbaya ni wahuni, majambazi na matapeli wazuri tuu lakini kwakua wanakula na wenye mamlaka hakuna anaejali ili angalau kuwafungua akili wanaoibiwa na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza.

Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa.

Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali
Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya gharama kubwa.

Wanashindana kuwa na mijumba ya kifahari na kila aina ya kitu cha gharama kubwa na cha thamani unachojua wewe. Mtaji wao mkubwa ni waumini na naamini fukara hohehahe wanaowaamini sana!

Kwenye makanisa yao hakuna huduma inatolewa bure.. Hata ile nakala ya fomu ya shilingi 50 au mia ya kuandika shida yako inauzwa si chini ya elfu 50... Na kila fomu ina viwango vya gharama kwa kila huduma utakayo.

Wanaotoa dau kubwa ndio hupewa kipaumbele cha kuonana na mtumishi.. Na mapato yao hayo hayatozwi kodi yoyote ya serikali. Huwezi hata siku moja ukute
Wametoa sehemu ya mapato yao kuhudumia yatima na wajane wasiojiweza.

Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga vituo vya afya kuwahudumia wasio na uwezo.

Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga shule na vituo vya huduma za kielimu kama msaada kwa wasiojiweza
Huwezi hata siku moja wakiwa na programu mbalimbali za Kusaidia makundi mbalimbali kwenye Jamii kama wafanyavyo kina Malisa G.J na Lions clubs kwenye nyanja za elimu, makazi, lishe, tiba na matukio ya kibinadamu ya dharura.

Ni wepesi mno wa kufarakanisha na kugombanisha familia, wanandoa, ndugu na jamaa.. Hasa kwa wale wasiopenda mambo yao na kuharibu kuwaelimisha waliokwisha tekwa!

Kukupa tuhuma za uchawi, uongo uzinzi nk kwa wenza wa wengine wao ni fasta sana.. Wameharibu ndoa nyingi na kufarakanisha ndugu wengi sana!

Hawa si watumishi wa kweli maana hawahubiri upendo, amani na mshikamano kwa vitendo
Hawa ni watu wa makafara ya kutisha,ibada za siri, washirikina wakubwa!

Ni wachafu na ni walafi wanaofanya mambo machafu na mabaya kizani..
Kuwanyesha waumini wao vitu vichafu kwao ni kawaida kabisa.

Maji yaliyochanganywa na maji yaliyooshea maiti;
Maji yaliyochanganywa na manii au uchafu uliotoka ukeni;
Maji yaliyooshea miguu au mikono ya nabii au mtume nknk

Ni wezi wakubwa!

Udongo uliochimbwa na scavator na kuusafirisha kwa roli kisha kuwauzia Watu kijiko shilingi elfu moja.. Huu ni zaidi ya wizi na utapeli wa kiwango kikubwa sana

Kuna mafuta ya upako, sabuni za upako, leso za upako.. Nknk vyote hivyo ni biashara kubwa isiyochajiwa kodi yoyote na serikali

Naendelea…
Hawa hawana tofauti na waganga wa kienyeji, mtaji wao mkubwa ni umaskini na ujinga wa wafuasi wao, huwashibisha matumaini hewa na kuwalewesha kisha kuwaibia
 
Agano jipya limeanzia wapi na litaishia wapi?
Paul alikuwa kwenye agano la kale?
Huduma ya kitume ipo mpaka sasa ila mostly wa hawa wanaoitwa mitume ni aidha folse or fake.
Fake ni wanaotumia ujanja ujanja while false ni hawa wenye cult spirits, wanaponya, wanaona na kufanya miujiza mingi lakini si kwa roho ya Mungu.
Wenye huduma ya kitume wapo wengi tu mpaka leo ila hawajijui hivyo huishia kujipa title nyepesi like mchungaji, mwinjilisti.
Suala la fake and false Ministers liko makanisani kwa ofisi zote ila tu jamii huwakomalia mitume na manabii.
5% tu tu ya watumishi wa leo walioitwa na Mungu wengi wameitwa na njaa

Warumi 8;14 ( Kwakuwa wanaoongozwa na Roho wa Mungu ndiyo wana wa Mungu ) capacity ya Roho wa Mungu unaielewa wewe? Haina Sababu ya kwenda kwa Fala Mwamposa!

2 Korintho 9

1 Wakorintho 2:9 lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao. But as it is written, Eye hath not seen, nor ear heard, neither have entered into the heart of man, the things which God hath prepared for them that love him.

1 Wakorintho 2:10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. But God hath revealed them unto us by his Spirit: for the Spirit searcheth all things, yea, the deep things of God.


Isaya 11:2 Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA; And the spirit of the LORD shall rest upon him, the spirit of wisdom and understanding, the spirit of counsel and might, the spirit of knowledge and of the fear of the LORD;

Hizo roho zote hapo unazosoma ni haki ya Mkristo, a sio Mwamposa Peke yake!

1. Roho ya shauri na uweza.
2. Roho ya Hekima.
3. Roho ya Maarifa.
4. Roho ya kumcha bwana
5.
6.
7.

Wakristo ni wapuuzi mno hawatafuti Mungu na kumjua kwa uvivu wao, wanaenda mtafutia Mungu kwa Mwamposa ( very stupidly and Rubbish at the same time )
 
Back
Top Bottom