Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Exactly so watu wenye akili wanaangalia kwa jicho la tofauti badala ya kukaa kulalamika na kulaani anapokea sadaka.kwa sasa hakuna....ndio maana sirkali yajisogezamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly so watu wenye akili wanaangalia kwa jicho la tofauti badala ya kukaa kulalamika na kulaani anapokea sadaka.kwa sasa hakuna....ndio maana sirkali yajisogezamo
Kumbe watenda kazi hawalipwiSehemu ya pili
Vyanzo vya mapato
1. Maombi maalum kwa watu maalum (wanasiasa, matajiri, watu maarufu) hapa kila kichwa si chini ya milion kumi
2. Maombi maalum kwa wahitaji wengine.. Hapa dau la chini ni laki 5
3. Form za maombi ya huduma mbalimbali elfu 10 mpaka 50
4. Huduma mbalimbali.. Kiwango cha chini ni laki moja
5. Sadaka... Sarafu haziruhusiwi.. Kiwango cha chini 2000
6. Kumtunza mtumishi. Kiwango cha chini elfu 5
7. Mchango wa ujenzi wa kanisa..( cash, vifaa nguvu Kazi)
8. Mauzo ya vifaa vya upako (leso, udongo, mafuta, maji nguo za ndani nk)
9. Fungu la kumi
10. Zawadi kwa mtumishi, (gari, nyumba, vyakula nk)
Mapato yote hayo hayakatwi kodi yoyote.
Hawa viumbe ni wachoyo na ni wabinafsi wa kupitiliza.. Wana watumwa wao wasiowalipa chochote wanawaita watenda Kazi.. Hawa ndio Hufanya mauzo yote na kukusanya sadaka ama mapato yoyote
Hawa ndio Hufanya usafi na shughuli zote ksnisani
Wanachoweza kuambulia sanasana ni chai ama chakula lakini hawapewi hata nauli
Ngoja niishie hapa kwanza😭
Wengine wana pesa zao, nyingi tu, na wengine wanatumwa kabisa na kina baba nenda ulete maji na mafuta, ni ngumu manabii kuyeyuka Mkuu.Halafu wamama hao hao hizo pesa wanazichuna kutoka kwa wanaume na kisha wanawapelekea Manabii uchwara.
Wanaume siku tukiamka na kuacha ujinga wa kuwapa pesa ovyo wanawake nakuhakikishia huenda 80% ya manabii uchwara wanayeyuka.
Mimi acha tu niitupie lawama serikali maana matapeli wengine inawashughulikia lakini hawa waliojificha kwenye kichaka cha dini wanawaacha watapeli kwa raha zao mchana kweupe. Sielewi hata kidogo. This is not justice. Tapeli ni tapeli tu wote washughulikiwe.Wajinga ndo waliwao! Na kuwakomboa kwenye hilo jinamizi inahitaji elimu kubwa, na sanasana nguvu za kimamlaka za kiselikari laasivyo tumekwisha.
Mimi sielewi kwa nini serikali yetu haikomeshi huu utapeli. Au mtu akitapeli kwa jina la dini ni poa tu?? Sielewi!!Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza.
Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa.
Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali
Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya gharama kubwa.
Wanashindana kuwa na mijumba ya kifahari na kila aina ya kitu cha gharama kubwa na cha thamani unachojua wewe. Mtaji wao mkubwa ni waumini na naamini fukara hohehahe wanaowaamini sana!
Kwenye makanisa yao hakuna huduma inatolewa bure.. Hata ile nakala ya fomu ya shilingi 50 au mia ya kuandika shida yako inauzwa si chini ya elfu 50... Na kila fomu ina viwango vya gharama kwa kila huduma utakayo.
Wanaotoa dau kubwa ndio hupewa kipaumbele cha kuonana na mtumishi.. Na mapato yao hayo hayatozwi kodi yoyote ya serikali. Huwezi hata siku moja ukute
Wametoa sehemu ya mapato yao kuhudumia yatima na wajane wasiojiweza.
Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga vituo vya afya kuwahudumia wasio na uwezo.
Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga shule na vituo vya huduma za kielimu kama msaada kwa wasiojiweza
Huwezi hata siku moja wakiwa na programu mbalimbali za Kusaidia makundi mbalimbali kwenye Jamii kama wafanyavyo kina Malisa G.J na Lions clubs kwenye nyanja za elimu, makazi, lishe, tiba na matukio ya kibinadamu ya dharura.
Ni wepesi mno wa kufarakanisha na kugombanisha familia, wanandoa, ndugu na jamaa.. Hasa kwa wale wasiopenda mambo yao na kuharibu kuwaelimisha waliokwisha tekwa!
Kukupa tuhuma za uchawi, uongo uzinzi nk kwa wenza wa wengine wao ni fasta sana.. Wameharibu ndoa nyingi na kufarakanisha ndugu wengi sana!
Hawa si watumishi wa kweli maana hawahubiri upendo, amani na mshikamano kwa vitendo
Hawa ni watu wa makafara ya kutisha,ibada za siri, washirikina wakubwa!
Ni wachafu na ni walafi wanaofanya mambo machafu na mabaya kizani..
Kuwanyesha waumini wao vitu vichafu kwao ni kawaida kabisa.
Maji yaliyochanganywa na maji yaliyooshea maiti;
Maji yaliyochanganywa na manii au uchafu uliotoka ukeni;
Maji yaliyooshea miguu au mikono ya nabii au mtume nknk
Ni wezi wakubwa!
Udongo uliochimbwa na scavator na kuusafirisha kwa roli kisha kuwauzia Watu kijiko shilingi elfu moja.. Huu ni zaidi ya wizi na utapeli wa kiwango kikubwa sana
Kuna mafuta ya upako, sabuni za upako, leso za upako.. Nknk vyote hivyo ni biashara kubwa isiyochajiwa kodi yoyote na serikali
Naendelea…
Kasema hiviii. Jpili wakitoka kanisani walikobatizwa wanakimbilia daladala za uelekeo wa maombezi.Hebu rudia tena alichokisema!
Wivu,wivu mama wivu.Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza.
Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa.
Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali
Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya gharama kubwa.
Wanashindana kuwa na mijumba ya kifahari na kila aina ya kitu cha gharama kubwa na cha thamani unachojua wewe. Mtaji wao mkubwa ni waumini na naamini fukara hohehahe wanaowaamini sana!
Kwenye makanisa yao hakuna huduma inatolewa bure.. Hata ile nakala ya fomu ya shilingi 50 au mia ya kuandika shida yako inauzwa si chini ya elfu 50... Na kila fomu ina viwango vya gharama kwa kila huduma utakayo.
Wanaotoa dau kubwa ndio hupewa kipaumbele cha kuonana na mtumishi.. Na mapato yao hayo hayatozwi kodi yoyote ya serikali. Huwezi hata siku moja ukute
Wametoa sehemu ya mapato yao kuhudumia yatima na wajane wasiojiweza.
Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga vituo vya afya kuwahudumia wasio na uwezo.
Huwezi hata siku moja kuwakuta wakijenga shule na vituo vya huduma za kielimu kama msaada kwa wasiojiweza
Huwezi hata siku moja wakiwa na programu mbalimbali za Kusaidia makundi mbalimbali kwenye Jamii kama wafanyavyo kina Malisa G.J na Lions clubs kwenye nyanja za elimu, makazi, lishe, tiba na matukio ya kibinadamu ya dharura.
Ni wepesi mno wa kufarakanisha na kugombanisha familia, wanandoa, ndugu na jamaa.. Hasa kwa wale wasiopenda mambo yao na kuharibu kuwaelimisha waliokwisha tekwa!
Kukupa tuhuma za uchawi, uongo uzinzi nk kwa wenza wa wengine wao ni fasta sana.. Wameharibu ndoa nyingi na kufarakanisha ndugu wengi sana!
Hawa si watumishi wa kweli maana hawahubiri upendo, amani na mshikamano kwa vitendo
Hawa ni watu wa makafara ya kutisha,ibada za siri, washirikina wakubwa!
Ni wachafu na ni walafi wanaofanya mambo machafu na mabaya kizani..
Kuwanyesha waumini wao vitu vichafu kwao ni kawaida kabisa.
Maji yaliyochanganywa na maji yaliyooshea maiti;
Maji yaliyochanganywa na manii au uchafu uliotoka ukeni;
Maji yaliyooshea miguu au mikono ya nabii au mtume nknk
Ni wezi wakubwa!
Udongo uliochimbwa na scavator na kuusafirisha kwa roli kisha kuwauzia Watu kijiko shilingi elfu moja.. Huu ni zaidi ya wizi na utapeli wa kiwango kikubwa sana
Kuna mafuta ya upako, sabuni za upako, leso za upako.. Nknk vyote hivyo ni biashara kubwa isiyochajiwa kodi yoyote na serikali
Naendelea…
Ndio najiuliza serikali yetu hailioni hili kama ni janga la taifa??Kinachohubiriwa sasa na wengi wa watumishi wa leo hii, ni injili bandia. Ni injili iliyokuwa kinyume kabisa na ile halisi na ya kweli iliyohubiriwa katika siku za mitume.
Wengi wa mitume na manabii wamekaa kimaslahi kwa ajili ya kupiga pesa kutoka kwa wafuasi wao na njia nyingine za utakatishaji wa fedha kutoka kwa mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma.
Lakini maandiko matakatifu yanatupa elimu kubwa juu ya mambo wanayoyafanya. Nukuu ifuatayo inaweza kuwa na mafundisho makubwa sana kwetu,
WAGALATIA 1
6 Nashangaa kuona kwamba mnamwacha upesi hivyo yule aliye waita kwa neema ya Kristo mkaanza kufuata Injili nyingine.
7 Ukweli ni kwamba hakuna Injili nyingine, ila nafahamu kuwa wako watu wanaowavuruga, ambao wanataka kuipotosha Injili ya Kristo.
8 Lakini hata ikiwa ni sisi au ni malaika atokaye mbinguni, kama mtu akiwahubiria Injili ambayo ni tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi mtu huyo na alaaniwe.
Kwahiyo wewe shida yako kuu ni kuwa hawakatwi kodi?peleka ombi serikalini waanze kuwakata kodi ili roho yako ifurahi.Sehemu ya pili
Vyanzo vya mapato
1. Maombi maalum kwa watu maalum (wanasiasa, matajiri, watu maarufu) hapa kila kichwa si chini ya milion kumi
2. Maombi maalum kwa wahitaji wengine.. Hapa dau la chini ni laki 5
3. Form za maombi ya huduma mbalimbali elfu 10 mpaka 50
4. Huduma mbalimbali.. Kiwango cha chini ni laki moja
5. Sadaka... Sarafu haziruhusiwi.. Kiwango cha chini 2000
6. Kumtunza mtumishi. Kiwango cha chini elfu 5
7. Mchango wa ujenzi wa kanisa..( cash, vifaa nguvu Kazi)
8. Mauzo ya vifaa vya upako (leso, udongo, mafuta, maji nguo za ndani nk)
9. Fungu la kumi
10. Zawadi kwa mtumishi, (gari, nyumba, vyakula nk)
Mapato yote hayo hayakatwi kodi yoyote.
Hawa viumbe ni wachoyo na ni wabinafsi wa kupitiliza.. Wana watumwa wao wasiowalipa chochote wanawaita watenda Kazi.. Hawa ndio Hufanya mauzo yote na kukusanya sadaka ama mapato yoyote
Hawa ndio Hufanya usafi na shughuli zote ksnisani
Wanachoweza kuambulia sanasana ni chai ama chakula lakini hawapewi hata nauli
Ngoja niishie hapa kwanza😭
Tatizo ni afya ya akili. Hili ni janga la kitaifa. Mtu mwenye akili iliyo timamu hawezi kufuata huu upumbavu wa mitume na manabii.Nakazia hapa. Umenena ukweli mtupu.
Kiukweli matendo yao yanatia shaka. Hivi huwa wanawafanya nini wafuasi wao hadi hawashutukii huu mchezo wao. Ata ukikutana na mfuasi wa hao mitume/manabii ukamshauri anakuona kama pepo.
Wanajifanya wanawaonea huruma wakati mtaani kwao hata kutoa msaada kwa wenye njaa na dhiki hawajawahi kufanya,ila likija suala la manabii na mitume mishipa inawatoka,mi nawaona ni wapumbafu na wanafiki.Lakini tukiendelea kuwalaumu hawa Mitume na manabii tunakosea. Kelele zimeshapigwa sana kuuhabarisha umma juu ya UTAPELI na huo WIZI waufanyao hawa wanaojiita Mitume na Manabii, LAKINI jamii hii imeshindwa au imekataa KUWAKATAA.
Badala yake nyie mnaoendelea kutoa elimu kuwahusu hao matapeli nyie ndio mnakataliwa.
Jamii imekata tamaa kila mtu anatafuta shortcut, ukiwaambia wanasema wewe huna hofu ya Mungu, na hujawahi kumjua Mungu, au Hujapata matatizo.
Unadhani mtawaonya mpaka lini?
Wao wanao kamuliwa pesa, husema wanafanikiwa mambo yao, na hao wanaokamuliwa wanasema nyie mnamwaonea wivu mitume na manabii.