Biblical texts are all inspired, there is no verse that is better than another. Verses are interpreted by studying throughout the bible to gain understanding.
Tatizo wewe unaamini unaelewa kwa kulazimisha tafsiri fulani unayoitaka. Hakuna andiko lililo bora kuliko mengine ila unatakiwa kutafsiri biblia katika ukamilifu wake
2 Timotheo 3:16-17
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
Unaukwepa ukweli ya kuwa Yesu haja wahipo kusema kuwa yeye ni Mungu, wala kujiita Mwana wa Mungu, bali Ajiita Mwana wa Adamu.
Burudika na
Mjadalas huu hapa chini. kidogo.
WAANDISHI WA BIBLIA WAZOZANA. BIBLIA INAKUBALI ALAFU INAKATAA TENA .. Tukisema BIBLIA imevurugwa na WAANDISHI MNANUNA.. KIROJA 😂😂 👇 👇 .. BIBLIA NA QURAN 👇
Mkristo Mwenye AKILI timamu Akisoma Post hii bila KUFUATA Mkumbo, atasema Mimi na UKRISTO baasi, Ima asiemde Kanisani au Asilimu..
IPI BIBLIA SAHIHI, KJV,SNT AU BNL AU NIV? SOMA Anza na hii👇
1 Yohana 5:
Swahili Revised Union Version SRUV
Ushuhuda kuhusu Mwana wa Mungu
6 Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. 7Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. 8 Kwa maana wako watatu washuhudiao
[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. 9 Kisha wako watatu washuhudiao duniani],
Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe.
[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Kisha wako watatu washuhudiao duniani],
MANENO HAYA KATIKA MABANO NI NYONGEZA
HAYAPO KATIKA
MAANDIKO YA ASILI
NI MATOKEA (VERSIONS) CHACHE SANA ZA TAFSILI ZA BIBLIA
NDIYO
ZIMEWEKWA MANENO HAYA YA NYONGEZA KATIKA MABANO
"VERSIONS" NYINGI HAKUNA
NYONGEZA HIYO YA MANENO KATIKA MABANO
KWAHIYO
"MASHAHIDI WA YESU WATATU WALIYOTAJWA KATIKA ANDIKO HILO NI :- "ROHO;MAJI NA DAMU""
HAWA NI MASHAHIDI
SIYO
MIUNGU WALA NAFSI ZA MUNGU
TAFADHALI
SOMA BIBLIA BILA KILEVI AU BANGI KICHWANI
👇👇
ANDIKO LINATAJA
"MASHUHUDA AU MASHAHIDI" WA YESU
MASHAHIDI HAO WA YESU SIYO MIUNGU
WALA SIYO NAFSI ZA MUNGU
HAKIKA
UKRISTO UNAENDESHWA KWA POROJO ;BLABLA NA PROPAGANDA ZA KITOTO
MWENYE AKILI ANAONA
HILO WAZIWAZI
SOMA BIBLIA
1 TIMOTHEO 1:17
1 TIMOTHEO 6:16
YOHANA 5:37
NUKTA MUHIMU
1) MUNGU NI SHAHIDI WA UTUME WA YESU
2) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU
WALA HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YAKE
Mwanzo 22:15
"Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni"
SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA
SIYO SAUTI YA MUNGU
Tafadhali Soma Kwa MAKINI 👆 Kisha 👇
KWA MUJIBU WA BIBLIA
"HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU"
KWA MAANA
MUNGU HAJATOA SAUTI YAKE IKASIKIKA NA WATU
LAKINI
WATU WALISIKIA SAUTI KUTOKA MBINGUNI
SAUTI HIYO
SIYO YA MUNGU
KWANI
HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU
BALI
"SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA WA MUNGU SIYO SAUTI YA MUNGU MWENYEWE"
REJEA
MWANZO 22:15
BIBLIA
KUTOKA 3:1--4
HOJA
Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti;
Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti,
SWALI
JE SAUTI KUTOKA KTK KIJITI NI YA NANI ?
MALAIKA AU MUNGU ?
SASA TWENDE KWENYE MABISHANO 👇
HESABU 12:8
"MUNGU ATAONGEA NA MUSA 'MDOMO KWA MDOMO' -- MOUTH TO MOUTH"
Soma hapo 👆 juu Kwa MAKINI
Soma na hapa 👇
BIBLIA
KUTOKA 33:11
Naye
Bwana akasema na Musa "uso kwa uso," kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.
KUTOKA 33:11
"MUNGU ALIONGEA NA MUSA 'USO KWA USO' -- FACE TO FACE"
👇
KUTOKA / Exodus 33:23
"you will see my back; but my face must not be seen.”
" let you see me from behind. But my face will not be seen.”
MUSA ATAMUONA MUNGU KWA NYUMA/MGONGONI
LAKINI
HATAONA USO WA MUNGU
MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA
KUTOKA 33:20
"HUWEZI KUNIONA USO WANGU; MAANA MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"
* “you cannot see my face, for no one may see me and live.”*
MUNGU KASEMA KATIKA
HESABU 12:8
"MUSA ATALIONA UMBO LA MUNGU"
HE SEES THE FORM OF THE GOD
Umeona KIROJA 😂👆
KATIKA BIBLIA
KUNA MAFUNDISHO YANAYOPINGANA YENYEWE KWA YENYEWE
1) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU WALA KUSIKIA SAUTI YAKE
2) MUSA ALIONGEA NA MUNGU
"MDOMO KWA MDOMO"
KWA MAANA ALISIKIA SAUTI INAYOTOKA MDOMONI KWA MUNGU MOJA KWA MOJA
"USO KWA USO"
KWA MAANA MUSA ALIONGEA NA MUNGU WAKITIZAMANA USO KWA USO
KWA HIYO
MUSA ALIONA USO WA MUNGU NA KUSIKIA SAUTI YAKE
3) MUSA ALIONA
"UMBO LA MUNGU KWA NYUMA"
HAKUONA SURA YAKE
MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA
KUTOKA 33:20
"MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"
* “no one may see me and live.”*
MUSA HAKUFA SABABU YA KUMUONA MUNGU
WAZAZI WA SAMSONI WANADAI KUMUONA MUNGU NA HAWAKUFA
YAKOBO ALIPIGANA MIELEKA NA MUNGU
NA KUSEMA NAE
ALIMUONA SURA NA KUSIKIA SAUTI YAKE
LAKINI
YAKOBO HAKUFA SABABU YA KUMUONA NA KUPIGANA NA MUNGU
HAKIKA
BIBLIA IMEJAA POROJO;UTATA NA UONGO WA WAANDISHI
UNAKUTA
ATA MWANDISHI MMOJA KATIKA KITABU KIMOJA ANASIMULIA STORI MOJA KATIKA KITU KIMOJA
LAKINI KATIKA MAANDIKO YANAYOPINGANA
KWAHIYO
KUTENGENEZA MISIMAMO ZAIDI YA MMOJA KATIKA KITU KILEKILE KIMOJA
QURAN SURA AL AN’AM
SOMA
QURAN 6:102--106
QURAN 6:103
"NO VISION (EYESIGHTS) CAN PERCEIVE HIM"
HAKUNA JICHO LITAKALOMFIKIA/LITAKALOMUONA
لَا تُدْرِكُهُ الْأَبْصَارُ
La tudrikuhu alabsaru
“And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, ‘My Lord, show me (Yourself) that I may look at You.’ (God) said,
‘You will not see Me'
QURAN 7:143
"Mwenyezi Mungu akasema: "HUTONIONA"
MWENYEZIMUNGU
AMEISIFU HII QURAN KUWA NI:-
"KITABU KISICHO SHAKA"
BASI
KINABAISHA UKWELI NA UONGO
WA
WAANDISHI
WA VITABU VYA WAYAHUDI KATIKA AGANO LA KALE
NA VITABU VYA WAKRISTO KATIKA AGANO JIPYA
BIBLIA IMEFUNDISHA MISIMAMO MITATU INAYOPINGANA
KWA MUSA KUMUONA MUNGU
1) HAKUMUONA KABISA
2) AMEMUONA MBELE TU; UPANDE WA SURA YAKE /USONI
3) AMEMUONA NYUMA/ MGONGONI TU
MWENYEZIMUNGU AMENYOOSHA MANENO KATIKA
QURAN 6:103
NA
QURAN 7:143
HAKUNA MTU YOYOTE HAPA DUNIA
ALIYEMUONA WALA ATAKAYEMUONA MUNGU
SI MUSA WALA MTU MWINGINE
KWA MUJIBU WA
QURAN 7:143
NA
HADITHI
MUSA ALIOMBA KUMUONA MUNGU
MUNGU AKASEMA
"HAUTONIONA"
LAKINI
GEUKA KUANGALIA MLIMA
IKIWA UTABAKI KAMA ULIVYO BASI "UTANIONI"
MUSA AKAGEUKA KUANGALIA MLIMA
MUNGU AKAPELEKA NURU--MLIMA UKAYEYUKA MBELE YA MACHO YA MUSA
MUSA AKAANGUKA NA KUZIMIA
MUSA ALIPOAMKA
AKAJUTA NA KUTUBU KWA KUTAKA KWAKE KUMUONA MUNGU
"MUSA HAKUMUONA MUNGU"
YESU KASEMA KTK
YOHANA 5:37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote,
"wala sura yake hamkuiona."
KAULI HII
INAWEZA KUKUBALIANA NA UKWELI WA QURAN
"HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU"
MANABII WOTE WAMEMFUNUA MUNGU
KWA MAANA
WAMEFUNDISHA HABARI ZAKE
SIYO KUMUONA
Biblia :Yohana 1:18 na Yohana 5:37
&
Quran 6:103
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu"
Quran 42:11
"...Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona"
1 YOHANA 4:12
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote."
Mathayo 5:8
"Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu."
* "No man can see Me and live!"*
(Exodus 33:20).
John 1:18 and 1 John 4:12 both say,
*"No one has seen God at any time." *
1 Timothy 6:16 declares that God
"no man has seen or can see Him"
1 TIMOTHEO 1:17
"asiyeonekana, Mungu peke yake,"
na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.
HOJA
WAKRISTO WANADAI KWA KUFUATA KAULI ZA WAANDISHI WA BIBLIA YESU NI MUNGU LAKINI HAKUNA KAULI YA YESU KUWA YEYE NI MUNGU BALI TUNGO ZA WATU NDIO WANAO SEMA YESU NI MUNGU.
NA KWA MUJIBU WA BIBLIA NA QURAN MUNGU AJAWAI KUONEKANA. ... NA HAKUNA MTU ATAKAE MUONA MUNGU AKAISHI.
WAKRISTO WANADAI NA KULISHANA KUWA, MTU AWEZI KUELEWA BIBLIA KAMA HANA ROHO MTAKATIFU.
SWALI
JE YESU AJAONEKANA?
JE WAANDISHI WA BIBLIA WAMEONGOZWA NA ROHO GANI YA KUANDIKA BIBLIA ?
WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKÀ UISLAMU 🤝
Mtayarishi ✍️ Abdillah Salami Salami Horance 🌍