Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Sasa hapa unakubali kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Na kama ni hivyo basi asili yake ni ya uungu vilevile.

Yohana 20:21 NEN​

Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”

-->Maneno haya ya Yesu yanathibitisha kuwa yeye ni Mtumishi tu wa baba(MUngu)
lakini mbona wewe hulitaki hili kuwa Kuna Mungu kuna na Yesu?

Unasimama na maneno ya Tomaso?
28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Huoni kuwa maneno haya ya jazba zaidi yanapingana na Ujumbe wa yesu na Mafundisho yake!

Nadhani wewe Hutaki hata kusikia Ujumbe wa Yesu kwa wanadamu. he soma tena hili andiko
Yoh: 17: 3 na uzima wa milele ndio huu...wakujuwe wewe Mungu wa Kweli na Wa Pekee. na yesu Kristo uliyemtuma

Maneno haya ya Yesuu Huyataki?/ au Huyaelewi? au unayakwepa Kusudi ili ubaki na Doctrine yako ya Uungu wa Yesu?
 
Aliongea hivi kwasababu yeye ni Mungu wa mile.
Kwa nenolako hili ,huu ni ufahamu tofauti na alivyofundisha Yesu.
Hebu Elewa Hili andiko linaloonesha kuwa Yesu alipaa kenda Kwa Mungu juumbinguni,
Yoh.20:16 Yesu akamwita, “Maria!”Ndipo Maria akamgeukia Yesu na kusema naye kwa Kiebrania, “Rabboni!” (Maana yake Mwalimu).
17 Yesu akamwambia, “Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”

Hata neno hili nalo hulielewi? aundio unampinga yesu na maneno yake yote? na unashikamana na Maneno ya Wafasiri na watowa maelezo binafsi akina Petro na Yoahana?
Hilije?
" Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. " Waefeso 1:2

Mungu ni munguna yesu ni Mtumishiwa mungu aitwaye Mwana, na wewe ukiwa mtumishimwema utaitwaMwana wa Mungu pia .
 
Yohana 20:21 NEN​

Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”

-->Maneno haya ya Yesu yanathibitisha kuwa yeye ni Mtumishi tu wa baba(MUngu)
lakini mbona wewe hulitaki hili kuwa Kuna Mungu kuna na Yesu?

Unasimama na maneno ya Tomaso?
28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Huoni kuwa maneno haya ya jazba zaidi yanapingana na Ujumbe wa yesu na Mafundisho yake!

Nadhani wewe Hutaki hata kusikia Ujumbe wa Yesu kwa wanadamu. he soma tena hili andiko
Yoh: 17: 3 na uzima wa milele ndio huu...wakujuwe wewe Mungu wa Kweli na Wa Pekee. na yesu Kristo uliyemtuma

Maneno haya ya Yesuu Huyataki?/ au Huyaelewi? au unayakwepa Kusudi ili ubaki na Doctrine yako ya Uungu wa Yesu?
We can argue and argue endlessly. Lakini siku inakuja, itakuwa asubuhi iliyo njema kwa waliokubali msamaha wa Yesu katika damu ya ukombozi wake na itakuwa huzuni ya milele kwa wale waliokataa.

Yatosha sasa kwa maneno haya. Amani iwe pamoja nawe.
 
Yatosha sasa kwa maneno haya. Amani iwe pamoja nawe
Asante kwa muda wako. Nahitimisha kwa
Maneno ya yesu baada ya Kufufuka, pia hakuonesha kuwa yeye ni Mungu.

Yoh.20:17....‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”

Maneno haya yanakanusha Sentensiyako hii
''Mkuu nimeshakueleza sana kwamba unapaswa kutofautisha muda ambao Yesu anaongea kama mwanadamu na muda anapoongea kama Mungu. Wewe unapendelea pale anaongea kama mwanadamu.''
 
Biblical texts are all inspired, there is no verse that is better than another. Verses are interpreted by studying throughout the bible to gain understanding.

Tatizo wewe unaamini unaelewa kwa kulazimisha tafsiri fulani unayoitaka. Hakuna andiko lililo bora kuliko mengine ila unatakiwa kutafsiri biblia katika ukamilifu wake

2 Timotheo 3:16-17

Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
 
Unaukwepa ukweli ya kuwa Yesu haja wahipo kusema kuwa yeye ni Mungu, wala kujiita Mwana wa Mungu, bali Ajiita Mwana wa Adamu.
Burudika na
Mjadalas huu hapa chini. kidogo.

WAANDISHI WA BIBLIA WAZOZANA. BIBLIA INAKUBALI ALAFU INAKATAA TENA .. Tukisema BIBLIA imevurugwa na WAANDISHI MNANUNA.. KIROJA 😂😂 👇 👇 .. BIBLIA NA QURAN 👇

Mkristo Mwenye AKILI timamu Akisoma Post hii bila KUFUATA Mkumbo, atasema Mimi na UKRISTO baasi, Ima asiemde Kanisani au Asilimu..

IPI BIBLIA SAHIHI, KJV,SNT AU BNL AU NIV? SOMA Anza na hii👇

1 Yohana 5:

Swahili Revised Union Version SRUV

Ushuhuda kuhusu Mwana wa Mungu

6 Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. 7Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. 8 Kwa maana wako watatu washuhudiao

[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. 9 Kisha wako watatu washuhudiao duniani],

Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe.

[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Kisha wako watatu washuhudiao duniani],

MANENO HAYA KATIKA MABANO NI NYONGEZA

HAYAPO KATIKA

MAANDIKO YA ASILI

NI MATOKEA (VERSIONS) CHACHE SANA ZA TAFSILI ZA BIBLIA

NDIYO

ZIMEWEKWA MANENO HAYA YA NYONGEZA KATIKA MABANO

"VERSIONS" NYINGI HAKUNA

NYONGEZA HIYO YA MANENO KATIKA MABANO

KWAHIYO

"MASHAHIDI WA YESU WATATU WALIYOTAJWA KATIKA ANDIKO HILO NI :- "ROHO;MAJI NA DAMU""

HAWA NI MASHAHIDI

SIYO

MIUNGU WALA NAFSI ZA MUNGU

TAFADHALI

SOMA BIBLIA BILA KILEVI AU BANGI KICHWANI

👇👇

ANDIKO LINATAJA

"MASHUHUDA AU MASHAHIDI" WA YESU

MASHAHIDI HAO WA YESU SIYO MIUNGU

WALA SIYO NAFSI ZA MUNGU

HAKIKA

UKRISTO UNAENDESHWA KWA POROJO ;BLABLA NA PROPAGANDA ZA KITOTO

MWENYE AKILI ANAONA

HILO WAZIWAZI

SOMA BIBLIA

1 TIMOTHEO 1:17

1 TIMOTHEO 6:16

YOHANA 5:37

NUKTA MUHIMU

1) MUNGU NI SHAHIDI WA UTUME WA YESU

2) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU

WALA HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YAKE

Mwanzo 22:15

"Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni"

SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA

SIYO SAUTI YA MUNGU

Tafadhali Soma Kwa MAKINI 👆 Kisha 👇

KWA MUJIBU WA BIBLIA

"HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU"

KWA MAANA

MUNGU HAJATOA SAUTI YAKE IKASIKIKA NA WATU

LAKINI

WATU WALISIKIA SAUTI KUTOKA MBINGUNI

SAUTI HIYO

SIYO YA MUNGU

KWANI

HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU

BALI

"SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA WA MUNGU SIYO SAUTI YA MUNGU MWENYEWE"

REJEA

MWANZO 22:15

BIBLIA

KUTOKA 3:1--4

HOJA

Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti;

Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti,

SWALI

JE SAUTI KUTOKA KTK KIJITI NI YA NANI ?

MALAIKA AU MUNGU ?

SASA TWENDE KWENYE MABISHANO 👇

HESABU 12:8

"MUNGU ATAONGEA NA MUSA 'MDOMO KWA MDOMO' -- MOUTH TO MOUTH"

Soma hapo 👆 juu Kwa MAKINI

Soma na hapa 👇

BIBLIA

KUTOKA 33:11

Naye Bwana akasema na Musa "uso kwa uso," kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.

KUTOKA 33:11

"MUNGU ALIONGEA NA MUSA 'USO KWA USO' -- FACE TO FACE"
👇
KUTOKA / Exodus 33:23

"you will see my back; but my face must not be seen.”

" let you see me from behind. But my face will not be seen.”

MUSA ATAMUONA MUNGU KWA NYUMA/MGONGONI

LAKINI

HATAONA USO WA MUNGU

MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA

KUTOKA 33:20

"HUWEZI KUNIONA USO WANGU; MAANA MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"

* “you cannot see my face, for no one may see me and live.”*

MUNGU KASEMA KATIKA

HESABU 12:8

"MUSA ATALIONA UMBO LA MUNGU"

HE SEES THE FORM OF THE GOD

Umeona KIROJA 😂👆

KATIKA BIBLIA

KUNA MAFUNDISHO YANAYOPINGANA YENYEWE KWA YENYEWE

1) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU WALA KUSIKIA SAUTI YAKE

2) MUSA ALIONGEA NA MUNGU

"MDOMO KWA MDOMO"

KWA MAANA ALISIKIA SAUTI INAYOTOKA MDOMONI KWA MUNGU MOJA KWA MOJA

"USO KWA USO"

KWA MAANA MUSA ALIONGEA NA MUNGU WAKITIZAMANA USO KWA USO

KWA HIYO

MUSA ALIONA USO WA MUNGU NA KUSIKIA SAUTI YAKE

3) MUSA ALIONA "UMBO LA MUNGU KWA NYUMA"

HAKUONA SURA YAKE

MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA

KUTOKA 33:20

"MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"

* “no one may see me and live.”*

MUSA HAKUFA SABABU YA KUMUONA MUNGU

WAZAZI WA SAMSONI WANADAI KUMUONA MUNGU NA HAWAKUFA

YAKOBO ALIPIGANA MIELEKA NA MUNGU

NA KUSEMA NAE

ALIMUONA SURA NA KUSIKIA SAUTI YAKE

LAKINI

YAKOBO HAKUFA SABABU YA KUMUONA NA KUPIGANA NA MUNGU

HAKIKA

BIBLIA IMEJAA POROJO;UTATA NA UONGO WA WAANDISHI

UNAKUTA

ATA MWANDISHI MMOJA KATIKA KITABU KIMOJA ANASIMULIA STORI MOJA KATIKA KITU KIMOJA

LAKINI KATIKA MAANDIKO YANAYOPINGANA

KWAHIYO

KUTENGENEZA MISIMAMO ZAIDI YA MMOJA KATIKA KITU KILEKILE KIMOJA

QURAN SURA AL AN’AM

SOMA

QURAN 6:102--106

QURAN 6:103

"NO VISION (EYESIGHTS) CAN PERCEIVE HIM"

HAKUNA JICHO LITAKALOMFIKIA/LITAKALOMUONA

لَا تُدْرِكُهُ الْأَبْصَارُ

La tudrikuhu alabsaru

“And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, ‘My Lord, show me (Yourself) that I may look at You.’ (God) said,

‘You will not see Me'

QURAN 7:143

"Mwenyezi Mungu akasema: "HUTONIONA"

MWENYEZIMUNGU

AMEISIFU HII QURAN KUWA NI:-

"KITABU KISICHO SHAKA"

BASI

KINABAISHA UKWELI NA UONGO

WA

WAANDISHI

WA VITABU VYA WAYAHUDI KATIKA AGANO LA KALE

NA VITABU VYA WAKRISTO KATIKA AGANO JIPYA

BIBLIA IMEFUNDISHA MISIMAMO MITATU INAYOPINGANA

KWA MUSA KUMUONA MUNGU

1) HAKUMUONA KABISA

2) AMEMUONA MBELE TU; UPANDE WA SURA YAKE /USONI

3) AMEMUONA NYUMA/ MGONGONI TU

MWENYEZIMUNGU AMENYOOSHA MANENO KATIKA

QURAN 6:103

NA

QURAN 7:143

HAKUNA MTU YOYOTE HAPA DUNIA

ALIYEMUONA WALA ATAKAYEMUONA MUNGU

SI MUSA WALA MTU MWINGINE

KWA MUJIBU WA

QURAN 7:143

NA

HADITHI

MUSA ALIOMBA KUMUONA MUNGU

MUNGU AKASEMA "HAUTONIONA"

LAKINI

GEUKA KUANGALIA MLIMA

IKIWA UTABAKI KAMA ULIVYO BASI "UTANIONI"

MUSA AKAGEUKA KUANGALIA MLIMA

MUNGU AKAPELEKA NURU--MLIMA UKAYEYUKA MBELE YA MACHO YA MUSA

MUSA AKAANGUKA NA KUZIMIA

MUSA ALIPOAMKA

AKAJUTA NA KUTUBU KWA KUTAKA KWAKE KUMUONA MUNGU
"MUSA HAKUMUONA MUNGU"
YESU KASEMA KTK

YOHANA 5:37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, "wala sura yake hamkuiona."

KAULI HII

INAWEZA KUKUBALIANA NA UKWELI WA QURAN

"HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU"

MANABII WOTE WAMEMFUNUA MUNGU

KWA MAANA

WAMEFUNDISHA HABARI ZAKE

SIYO KUMUONA

Biblia :Yohana 1:18 na Yohana 5:37

&

Quran 6:103

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu"

Quran 42:11

"...Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona"

1 YOHANA 4:12

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote."

Mathayo 5:8

"Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu."

* "No man can see Me and live!"*

(Exodus 33:20).

John 1:18 and 1 John 4:12 both say,

*"No one has seen God at any time." *

1 Timothy 6:16 declares that God

"no man has seen or can see Him"

1 TIMOTHEO 1:17

"asiyeonekana, Mungu peke yake,"

na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.

HOJA

WAKRISTO WANADAI KWA KUFUATA KAULI ZA WAANDISHI WA BIBLIA YESU NI MUNGU LAKINI HAKUNA KAULI YA YESU KUWA YEYE NI MUNGU BALI TUNGO ZA WATU NDIO WANAO SEMA YESU NI MUNGU.

NA KWA MUJIBU WA BIBLIA NA QURAN MUNGU AJAWAI KUONEKANA. ... NA HAKUNA MTU ATAKAE MUONA MUNGU AKAISHI.

WAKRISTO WANADAI NA KULISHANA KUWA, MTU AWEZI KUELEWA BIBLIA KAMA HANA ROHO MTAKATIFU.

SWALI

JE YESU AJAONEKANA?

JE WAANDISHI WA BIBLIA WAMEONGOZWA NA ROHO GANI YA KUANDIKA BIBLIA ?

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKÀ UISLAMU 🤝

Mtayarishi ✍️ Abdillah Salami Salami Horance 🌍
 
Mimi namsubiri Yesu atakaporejea ili aje kudhihirisha ukweli, na kuufuta Uzushi wa waandishi kuhusu kumsingizia UUngu na kumfanya awe yeye ndio anaabudiwa.
''Alisema
Nawatahadharisha naManabii wa Uongo.

Matayo 24:23-27​

Neno: Bibilia Takatifu​

23 Wakati huo mtu aki waambia, ‘Tazama! Kristo yuko hapa!’ au ‘Kristo yule pale!’ msi sadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo na manabii wa uongo na watafanya ishara za ajabu na miujiza mingi ili kuwadanganya, hata ikiwezekana, wateule wa Mungu. 25 Angalieni, nawatahadharisha mapema.
26 “Kwa hiyo wakiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msitoke. Au wakisema, ‘Yuko chumbani 27 Kwa maana kama vile umeme unavyotokea mashariki na kuangaza mpaka magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwangu mimi Mwana wa Adamu.
😊

Mt 24:5 SUV​

Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba(MUNGU) peke yake.
Wewe endelea kukataa kuwa yesu ni Binadamu aliyepewa kipawa na miujiza kedekede ,lakini kamwe si ungu bali ni Mwana wa Adamu

37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
 
Unaukwepa ukweli ya kuwa Yesu haja wahipo kusema kuwa yeye ni Mungu, wala kujiita Mwana wa Mungu, bali Ajiita Mwana wa Adamu.
Burudika na
Mjadalas huu hapa chini. kidogo.

WAANDISHI WA BIBLIA WAZOZANA. BIBLIA INAKUBALI ALAFU INAKATAA TENA .. Tukisema BIBLIA imevurugwa na WAANDISHI MNANUNA.. KIROJA 😂😂 👇 👇 .. BIBLIA NA QURAN 👇

Mkristo Mwenye AKILI timamu Akisoma Post hii bila KUFUATA Mkumbo, atasema Mimi na UKRISTO baasi, Ima asiemde Kanisani au Asilimu..

IPI BIBLIA SAHIHI, KJV,SNT AU BNL AU NIV? SOMA Anza na hii👇

1 Yohana 5:

Swahili Revised Union Version SRUV

Ushuhuda kuhusu Mwana wa Mungu

6 Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. 7Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. 8 Kwa maana wako watatu washuhudiao

[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. 9 Kisha wako watatu washuhudiao duniani],

Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe.

[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Kisha wako watatu washuhudiao duniani],

MANENO HAYA KATIKA MABANO NI NYONGEZA

HAYAPO KATIKA

MAANDIKO YA ASILI

NI MATOKEA (VERSIONS) CHACHE SANA ZA TAFSILI ZA BIBLIA

NDIYO

ZIMEWEKWA MANENO HAYA YA NYONGEZA KATIKA MABANO

"VERSIONS" NYINGI HAKUNA

NYONGEZA HIYO YA MANENO KATIKA MABANO

KWAHIYO

"MASHAHIDI WA YESU WATATU WALIYOTAJWA KATIKA ANDIKO HILO NI :- "ROHO;MAJI NA DAMU""

HAWA NI MASHAHIDI

SIYO

MIUNGU WALA NAFSI ZA MUNGU

TAFADHALI

SOMA BIBLIA BILA KILEVI AU BANGI KICHWANI

👇👇

ANDIKO LINATAJA

"MASHUHUDA AU MASHAHIDI" WA YESU

MASHAHIDI HAO WA YESU SIYO MIUNGU

WALA SIYO NAFSI ZA MUNGU

HAKIKA

UKRISTO UNAENDESHWA KWA POROJO ;BLABLA NA PROPAGANDA ZA KITOTO

MWENYE AKILI ANAONA

HILO WAZIWAZI

SOMA BIBLIA

1 TIMOTHEO 1:17

1 TIMOTHEO 6:16

YOHANA 5:37

NUKTA MUHIMU

1) MUNGU NI SHAHIDI WA UTUME WA YESU

2) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU

WALA HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YAKE

Mwanzo 22:15

"Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni"

SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA

SIYO SAUTI YA MUNGU

Tafadhali Soma Kwa MAKINI 👆 Kisha 👇

KWA MUJIBU WA BIBLIA

"HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU"

KWA MAANA

MUNGU HAJATOA SAUTI YAKE IKASIKIKA NA WATU

LAKINI

WATU WALISIKIA SAUTI KUTOKA MBINGUNI

SAUTI HIYO

SIYO YA MUNGU

KWANI

HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU

BALI

"SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA WA MUNGU SIYO SAUTI YA MUNGU MWENYEWE"

REJEA

MWANZO 22:15

BIBLIA

KUTOKA 3:1--4

HOJA

Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti;

Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti,

SWALI

JE SAUTI KUTOKA KTK KIJITI NI YA NANI ?

MALAIKA AU MUNGU ?

SASA TWENDE KWENYE MABISHANO 👇

HESABU 12:8

"MUNGU ATAONGEA NA MUSA 'MDOMO KWA MDOMO' -- MOUTH TO MOUTH"

Soma hapo 👆 juu Kwa MAKINI

Soma na hapa 👇

BIBLIA

KUTOKA 33:11

Naye Bwana akasema na Musa "uso kwa uso," kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.

KUTOKA 33:11

"MUNGU ALIONGEA NA MUSA 'USO KWA USO' -- FACE TO FACE"
👇
KUTOKA / Exodus 33:23

"you will see my back; but my face must not be seen.”

" let you see me from behind. But my face will not be seen.”

MUSA ATAMUONA MUNGU KWA NYUMA/MGONGONI

LAKINI

HATAONA USO WA MUNGU

MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA

KUTOKA 33:20

"HUWEZI KUNIONA USO WANGU; MAANA MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"

* “you cannot see my face, for no one may see me and live.”*

MUNGU KASEMA KATIKA

HESABU 12:8

"MUSA ATALIONA UMBO LA MUNGU"

HE SEES THE FORM OF THE GOD

Umeona KIROJA 😂👆

KATIKA BIBLIA

KUNA MAFUNDISHO YANAYOPINGANA YENYEWE KWA YENYEWE

1) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU WALA KUSIKIA SAUTI YAKE

2) MUSA ALIONGEA NA MUNGU

"MDOMO KWA MDOMO"

KWA MAANA ALISIKIA SAUTI INAYOTOKA MDOMONI KWA MUNGU MOJA KWA MOJA

"USO KWA USO"

KWA MAANA MUSA ALIONGEA NA MUNGU WAKITIZAMANA USO KWA USO

KWA HIYO

MUSA ALIONA USO WA MUNGU NA KUSIKIA SAUTI YAKE

3) MUSA ALIONA "UMBO LA MUNGU KWA NYUMA"

HAKUONA SURA YAKE

MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA

KUTOKA 33:20

"MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"

* “no one may see me and live.”*

MUSA HAKUFA SABABU YA KUMUONA MUNGU

WAZAZI WA SAMSONI WANADAI KUMUONA MUNGU NA HAWAKUFA

YAKOBO ALIPIGANA MIELEKA NA MUNGU

NA KUSEMA NAE

ALIMUONA SURA NA KUSIKIA SAUTI YAKE

LAKINI

YAKOBO HAKUFA SABABU YA KUMUONA NA KUPIGANA NA MUNGU

HAKIKA

BIBLIA IMEJAA POROJO;UTATA NA UONGO WA WAANDISHI

UNAKUTA

ATA MWANDISHI MMOJA KATIKA KITABU KIMOJA ANASIMULIA STORI MOJA KATIKA KITU KIMOJA

LAKINI KATIKA MAANDIKO YANAYOPINGANA

KWAHIYO

KUTENGENEZA MISIMAMO ZAIDI YA MMOJA KATIKA KITU KILEKILE KIMOJA

QURAN SURA AL AN’AM

SOMA

QURAN 6:102--106

QURAN 6:103

"NO VISION (EYESIGHTS) CAN PERCEIVE HIM"

HAKUNA JICHO LITAKALOMFIKIA/LITAKALOMUONA

لَا تُدْرِكُهُ الْأَبْصَارُ

La tudrikuhu alabsaru

“And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, ‘My Lord, show me (Yourself) that I may look at You.’ (God) said,

‘You will not see Me'

QURAN 7:143

"Mwenyezi Mungu akasema: "HUTONIONA"

MWENYEZIMUNGU

AMEISIFU HII QURAN KUWA NI:-

"KITABU KISICHO SHAKA"

BASI

KINABAISHA UKWELI NA UONGO

WA

WAANDISHI

WA VITABU VYA WAYAHUDI KATIKA AGANO LA KALE

NA VITABU VYA WAKRISTO KATIKA AGANO JIPYA

BIBLIA IMEFUNDISHA MISIMAMO MITATU INAYOPINGANA

KWA MUSA KUMUONA MUNGU

1) HAKUMUONA KABISA

2) AMEMUONA MBELE TU; UPANDE WA SURA YAKE /USONI

3) AMEMUONA NYUMA/ MGONGONI TU

MWENYEZIMUNGU AMENYOOSHA MANENO KATIKA

QURAN 6:103

NA

QURAN 7:143

HAKUNA MTU YOYOTE HAPA DUNIA

ALIYEMUONA WALA ATAKAYEMUONA MUNGU

SI MUSA WALA MTU MWINGINE

KWA MUJIBU WA

QURAN 7:143

NA

HADITHI

MUSA ALIOMBA KUMUONA MUNGU

MUNGU AKASEMA "HAUTONIONA"

LAKINI

GEUKA KUANGALIA MLIMA

IKIWA UTABAKI KAMA ULIVYO BASI "UTANIONI"

MUSA AKAGEUKA KUANGALIA MLIMA

MUNGU AKAPELEKA NURU--MLIMA UKAYEYUKA MBELE YA MACHO YA MUSA

MUSA AKAANGUKA NA KUZIMIA

MUSA ALIPOAMKA

AKAJUTA NA KUTUBU KWA KUTAKA KWAKE KUMUONA MUNGU
"MUSA HAKUMUONA MUNGU"
YESU KASEMA KTK

YOHANA 5:37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, "wala sura yake hamkuiona."

KAULI HII

INAWEZA KUKUBALIANA NA UKWELI WA QURAN

"HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU"

MANABII WOTE WAMEMFUNUA MUNGU

KWA MAANA

WAMEFUNDISHA HABARI ZAKE

SIYO KUMUONA

Biblia :Yohana 1:18 na Yohana 5:37

&

Quran 6:103

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu"

Quran 42:11

"...Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona"

1 YOHANA 4:12

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote."

Mathayo 5:8

"Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu."

* "No man can see Me and live!"*

(Exodus 33:20).

John 1:18 and 1 John 4:12 both say,

*"No one has seen God at any time." *

1 Timothy 6:16 declares that God

"no man has seen or can see Him"

1 TIMOTHEO 1:17

"asiyeonekana, Mungu peke yake,"

na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.

HOJA

WAKRISTO WANADAI KWA KUFUATA KAULI ZA WAANDISHI WA BIBLIA YESU NI MUNGU LAKINI HAKUNA KAULI YA YESU KUWA YEYE NI MUNGU BALI TUNGO ZA WATU NDIO WANAO SEMA YESU NI MUNGU.

NA KWA MUJIBU WA BIBLIA NA QURAN MUNGU AJAWAI KUONEKANA. ... NA HAKUNA MTU ATAKAE MUONA MUNGU AKAISHI.

WAKRISTO WANADAI NA KULISHANA KUWA, MTU AWEZI KUELEWA BIBLIA KAMA HANA ROHO MTAKATIFU.

SWALI

JE YESU AJAONEKANA?

JE WAANDISHI WA BIBLIA WAMEONGOZWA NA ROHO GANI YA KUANDIKA BIBLIA ?

WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKÀ UISLAMU 🤝

Mtayarishi ✍️ Abdillah Salami Salami Horance 🌍

Hoja zako ni nyepesi sana. Wewe uko na tatizo lile lile nineshakueleza. Unataka kutafsiri biblia bila kuifahamu misingi ya kufanya tafsiri. Unachukua literal meaning za verse bila kuelewa kilichomaanishwa kwa kuangalia context ya hizo verse.

Usijaribu kutumia quran kutafsiri biblia, unapotea mchana kweupe. Halafu bible versions ni katika kuandika kulingana na ukuaji wa lugha. Original manuscript za biblia zipo na kila anayetafsiri lazima azitumie.

Hapa Yesu anakupa asili na umoja wake na Baba na Roho Mtakatifu:

Mathayo 28:19-20 BHN
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Wafundisheni kushika maagizo yote
niliyowapeni. Nami nipo pamoja nanyi siku zote; naam, mpaka mwisho wa nyakati.”

Hapo Yesu anaongea kama Mungu.
 
18 Yesu akawakaribia akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Hivi uliwahikujiuliza ,ni nani aliyempa Yesu Mamlaka hayo?
Hapo Yesu alikuwa ameshafufuka kwahiyo alisharudia mamlaka aliyokuwa nayo tangu milele.

Wayahudi wanaelewa nini maana ya Mungu:

Luka 5:20-21

20 Alipoona imani yao, Yesu alimwam bia yule mgonjwa, “Rafiki yangu, umesamehewa dhambi zako.”

21 Wale walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kusemezana, “Mbona huyu anakufuru! Anadhani yeye ni nani? Hakuna awezae kusamehe dhambi ila Mungu peke yake.”
 
Hakuna awezae kusamehe dhambi ila Mungu peke yake.
Maneno haya ni sawia,
Lakini hukunijibu swalilangu.
Ninani aliyempa mamlaka yote Yesu?
Mathayo 18....“Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.......
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Ukiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....

kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah

Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....

MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...

KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!

Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....

HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???

Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...
Nadhani uzi ufungwe jibu tosha hili
 
Maneno haya ni sawia,
Lakini hukunijibu swalilangu.
Ninani aliyempa mamlaka yote Yesu?
Mathayo 18....“Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.......
Yesu aliuacha utukufu wake kabla hajaja duniani ili afanye utumishi kama mwanadamu.

Msome hapa chini Yesu anakuambia:

Yohana 17:5

Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

Wewe unapenda sana kuepuka ile mistari inayokuonesha kwamba Yesu ni mwanadamu na Mungu kwa wakati mmoja alipokuwa anafanya kazi hapa duniani.
 
Yohana 17:5
Mstari huu unaonesha udhaifu wa yesu kuwa hawezi kufanya bila ya kuomba kwa Mungu aliyemtuma.
Mimi sikatai kuwa Yesu alikuwa na utukufu kabla ya ulimwengu kuwepo, Yamkini hilo na si ajabu kwa Mungu.
Lakini haimfanyi yeye kuwa Mungu, bali kama alivyojinasibu kuwa yeye ni mwana wa ADAM
Mbona unalikataa hili la udhaifu wa Yesu kutoweza kufanya lolote ila kwa IDHINI YA BABA(MUNGU)?

Yohana 5:30​

Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenituma.
 
Yesu katika hali ya ubinadamu wake alikuwa akimtegemea Baba yake katika mambo yote. Hilo liko wazi. Na mara nyingi ameongea kwa mamlaka kama Mungu.
 
Ok nimewafiki hilo ,
Sasa hili lakusema nimetumwa
Yoh 20:''... 21 Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.” 22 Na alipokwisha kusema haya akawavuvia pumzi yake akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu
 
Halafu hili la kusema Roho wa Baba yenu '' lina maanisha kuwa Huyu Baba si wa Yesu tuu pekeyake''

Kwa hiyo Huyu baba ambaye ndiye Mungu kwa mujibu wa Maandiko ni baba wa kila kiumbe kiwemo Yesu au siyo?
 
Back
Top Bottom