Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza ufahamu wa mambo kabla ya kuweka komenti mtandaoni.hao sio mitume ni machifu wa wakristo
Sasa hapa unakubali kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Na kama ni hivyo basi asili yake ni ya uungu vilevile.
Kwa nenolako hili ,huu ni ufahamu tofauti na alivyofundisha Yesu.Aliongea hivi kwasababu yeye ni Mungu wa mile.
We can argue and argue endlessly. Lakini siku inakuja, itakuwa asubuhi iliyo njema kwa waliokubali msamaha wa Yesu katika damu ya ukombozi wake na itakuwa huzuni ya milele kwa wale waliokataa.Yohana 20:21 NEN
Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”
-->Maneno haya ya Yesu yanathibitisha kuwa yeye ni Mtumishi tu wa baba(MUngu)
lakini mbona wewe hulitaki hili kuwa Kuna Mungu kuna na Yesu?
Unasimama na maneno ya Tomaso?
28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Huoni kuwa maneno haya ya jazba zaidi yanapingana na Ujumbe wa yesu na Mafundisho yake!
Nadhani wewe Hutaki hata kusikia Ujumbe wa Yesu kwa wanadamu. he soma tena hili andiko
Yoh: 17: 3 na uzima wa milele ndio huu...wakujuwe wewe Mungu wa Kweli na Wa Pekee. na yesu Kristo uliyemtuma
Maneno haya ya Yesuu Huyataki?/ au Huyaelewi? au unayakwepa Kusudi ili ubaki na Doctrine yako ya Uungu wa Yesu?
Yaani mpaka Mwenyezi Mungu (Allah) anamswalia Nabii Muhammad?Ni amri ya Allah aliyowaamrisha waumini waislamu. Na Kwa kufanya hivyo tunajikurubisha Kwa Allah kutokana na utii. Na tunaitakiqidi kuwa tutapata malipo yaliyokuwa makubwa.View attachment 2251769
Asante kwa muda wako. Nahitimisha kwaYatosha sasa kwa maneno haya. Amani iwe pamoja nawe
Biblical texts are all inspired, there is no verse that is better than another. Verses are interpreted by studying throughout the bible to gain understanding.Asante kwa muda wako. Nahitimisha kwa
Maneno ya yesu baada ya Kufufuka, pia hakuonesha kuwa yeye ni Mungu.
Yoh.20:17....‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”
Maneno haya yanakanusha Sentensiyako hii
''Mkuu nimeshakueleza sana kwamba unapaswa kutofautisha muda ambao Yesu anaongea kama mwanadamu na muda anapoongea kama Mungu. Wewe unapendelea pale anaongea kama mwanadamu.''
Unaukwepa ukweli ya kuwa Yesu haja wahipo kusema kuwa yeye ni Mungu, wala kujiita Mwana wa Mungu, bali Ajiita Mwana wa Adamu.Biblical texts are all inspired, there is no verse that is better than another. Verses are interpreted by studying throughout the bible to gain understanding.
Tatizo wewe unaamini unaelewa kwa kulazimisha tafsiri fulani unayoitaka. Hakuna andiko lililo bora kuliko mengine ila unatakiwa kutafsiri biblia katika ukamilifu wake
2 Timotheo 3:16-17
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
Unaukwepa ukweli ya kuwa Yesu haja wahipo kusema kuwa yeye ni Mungu, wala kujiita Mwana wa Mungu, bali Ajiita Mwana wa Adamu.
Burudika na
Mjadalas huu hapa chini. kidogo.
WAANDISHI WA BIBLIA WAZOZANA. BIBLIA INAKUBALI ALAFU INAKATAA TENA .. Tukisema BIBLIA imevurugwa na WAANDISHI MNANUNA.. KIROJA 😂😂 👇 👇 .. BIBLIA NA QURAN 👇
Mkristo Mwenye AKILI timamu Akisoma Post hii bila KUFUATA Mkumbo, atasema Mimi na UKRISTO baasi, Ima asiemde Kanisani au Asilimu..
IPI BIBLIA SAHIHI, KJV,SNT AU BNL AU NIV? SOMA Anza na hii👇
1 Yohana 5:
Swahili Revised Union Version SRUV
Ushuhuda kuhusu Mwana wa Mungu
6 Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu. 7Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. 8 Kwa maana wako watatu washuhudiao
[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. 9 Kisha wako watatu washuhudiao duniani],
Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe.
[mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Kisha wako watatu washuhudiao duniani],
MANENO HAYA KATIKA MABANO NI NYONGEZA
HAYAPO KATIKA
MAANDIKO YA ASILI
NI MATOKEA (VERSIONS) CHACHE SANA ZA TAFSILI ZA BIBLIA
NDIYO
ZIMEWEKWA MANENO HAYA YA NYONGEZA KATIKA MABANO
"VERSIONS" NYINGI HAKUNA
NYONGEZA HIYO YA MANENO KATIKA MABANO
KWAHIYO
"MASHAHIDI WA YESU WATATU WALIYOTAJWA KATIKA ANDIKO HILO NI :- "ROHO;MAJI NA DAMU""
HAWA NI MASHAHIDI
SIYO
MIUNGU WALA NAFSI ZA MUNGU
TAFADHALI
SOMA BIBLIA BILA KILEVI AU BANGI KICHWANI
👇👇
ANDIKO LINATAJA
"MASHUHUDA AU MASHAHIDI" WA YESU
MASHAHIDI HAO WA YESU SIYO MIUNGU
WALA SIYO NAFSI ZA MUNGU
HAKIKA
UKRISTO UNAENDESHWA KWA POROJO ;BLABLA NA PROPAGANDA ZA KITOTO
MWENYE AKILI ANAONA
HILO WAZIWAZI
SOMA BIBLIA
1 TIMOTHEO 1:17
1 TIMOTHEO 6:16
YOHANA 5:37
NUKTA MUHIMU
1) MUNGU NI SHAHIDI WA UTUME WA YESU
2) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU
WALA HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YAKE
Mwanzo 22:15
"Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni"
SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA
SIYO SAUTI YA MUNGU
Tafadhali Soma Kwa MAKINI 👆 Kisha 👇
KWA MUJIBU WA BIBLIA
"HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU"
KWA MAANA
MUNGU HAJATOA SAUTI YAKE IKASIKIKA NA WATU
LAKINI
WATU WALISIKIA SAUTI KUTOKA MBINGUNI
SAUTI HIYO
SIYO YA MUNGU
KWANI
HAKUNA ALIYESIKIA SAUTI YA MUNGU
BALI
"SAUTI KUTOKA MBINGUNI NI SAUTI YA MALAIKA WA MUNGU SIYO SAUTI YA MUNGU MWENYEWE"
REJEA
MWANZO 22:15
BIBLIA
KUTOKA 3:1--4
HOJA
Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti;
Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti,
SWALI
JE SAUTI KUTOKA KTK KIJITI NI YA NANI ?
MALAIKA AU MUNGU ?
SASA TWENDE KWENYE MABISHANO 👇
HESABU 12:8
"MUNGU ATAONGEA NA MUSA 'MDOMO KWA MDOMO' -- MOUTH TO MOUTH"
Soma hapo 👆 juu Kwa MAKINI
Soma na hapa 👇
BIBLIA
KUTOKA 33:11
Naye Bwana akasema na Musa "uso kwa uso," kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.
KUTOKA 33:11
"MUNGU ALIONGEA NA MUSA 'USO KWA USO' -- FACE TO FACE"
👇
KUTOKA / Exodus 33:23
"you will see my back; but my face must not be seen.”
" let you see me from behind. But my face will not be seen.”
MUSA ATAMUONA MUNGU KWA NYUMA/MGONGONI
LAKINI
HATAONA USO WA MUNGU
MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA
KUTOKA 33:20
"HUWEZI KUNIONA USO WANGU; MAANA MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"
* “you cannot see my face, for no one may see me and live.”*
MUNGU KASEMA KATIKA
HESABU 12:8
"MUSA ATALIONA UMBO LA MUNGU"
HE SEES THE FORM OF THE GOD
Umeona KIROJA 😂👆
KATIKA BIBLIA
KUNA MAFUNDISHO YANAYOPINGANA YENYEWE KWA YENYEWE
1) HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU WALA KUSIKIA SAUTI YAKE
2) MUSA ALIONGEA NA MUNGU
"MDOMO KWA MDOMO"
KWA MAANA ALISIKIA SAUTI INAYOTOKA MDOMONI KWA MUNGU MOJA KWA MOJA
"USO KWA USO"
KWA MAANA MUSA ALIONGEA NA MUNGU WAKITIZAMANA USO KWA USO
KWA HIYO
MUSA ALIONA USO WA MUNGU NA KUSIKIA SAUTI YAKE
3) MUSA ALIONA "UMBO LA MUNGU KWA NYUMA"
HAKUONA SURA YAKE
MUNGU KAMWAMBIA MUSA KATIKA
KUTOKA 33:20
"MWANADAMU HATANIONA AKAISHI"
* “no one may see me and live.”*
MUSA HAKUFA SABABU YA KUMUONA MUNGU
WAZAZI WA SAMSONI WANADAI KUMUONA MUNGU NA HAWAKUFA
YAKOBO ALIPIGANA MIELEKA NA MUNGU
NA KUSEMA NAE
ALIMUONA SURA NA KUSIKIA SAUTI YAKE
LAKINI
YAKOBO HAKUFA SABABU YA KUMUONA NA KUPIGANA NA MUNGU
HAKIKA
BIBLIA IMEJAA POROJO;UTATA NA UONGO WA WAANDISHI
UNAKUTA
ATA MWANDISHI MMOJA KATIKA KITABU KIMOJA ANASIMULIA STORI MOJA KATIKA KITU KIMOJA
LAKINI KATIKA MAANDIKO YANAYOPINGANA
KWAHIYO
KUTENGENEZA MISIMAMO ZAIDI YA MMOJA KATIKA KITU KILEKILE KIMOJA
QURAN SURA AL AN’AM
SOMA
QURAN 6:102--106
QURAN 6:103
"NO VISION (EYESIGHTS) CAN PERCEIVE HIM"
HAKUNA JICHO LITAKALOMFIKIA/LITAKALOMUONA
لَا تُدْرِكُهُ الْأَبْصَارُ
La tudrikuhu alabsaru
“And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, ‘My Lord, show me (Yourself) that I may look at You.’ (God) said,
‘You will not see Me'
QURAN 7:143
"Mwenyezi Mungu akasema: "HUTONIONA"
MWENYEZIMUNGU
AMEISIFU HII QURAN KUWA NI:-
"KITABU KISICHO SHAKA"
BASI
KINABAISHA UKWELI NA UONGO
WA
WAANDISHI
WA VITABU VYA WAYAHUDI KATIKA AGANO LA KALE
NA VITABU VYA WAKRISTO KATIKA AGANO JIPYA
BIBLIA IMEFUNDISHA MISIMAMO MITATU INAYOPINGANA
KWA MUSA KUMUONA MUNGU
1) HAKUMUONA KABISA
2) AMEMUONA MBELE TU; UPANDE WA SURA YAKE /USONI
3) AMEMUONA NYUMA/ MGONGONI TU
MWENYEZIMUNGU AMENYOOSHA MANENO KATIKA
QURAN 6:103
NA
QURAN 7:143
HAKUNA MTU YOYOTE HAPA DUNIA
ALIYEMUONA WALA ATAKAYEMUONA MUNGU
SI MUSA WALA MTU MWINGINE
KWA MUJIBU WA
QURAN 7:143
NA
HADITHI
MUSA ALIOMBA KUMUONA MUNGU
MUNGU AKASEMA "HAUTONIONA"
LAKINI
GEUKA KUANGALIA MLIMA
IKIWA UTABAKI KAMA ULIVYO BASI "UTANIONI"
MUSA AKAGEUKA KUANGALIA MLIMA
MUNGU AKAPELEKA NURU--MLIMA UKAYEYUKA MBELE YA MACHO YA MUSA
MUSA AKAANGUKA NA KUZIMIA
MUSA ALIPOAMKA
AKAJUTA NA KUTUBU KWA KUTAKA KWAKE KUMUONA MUNGU
"MUSA HAKUMUONA MUNGU"
YESU KASEMA KTK
YOHANA 5:37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, "wala sura yake hamkuiona."
KAULI HII
INAWEZA KUKUBALIANA NA UKWELI WA QURAN
"HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU"
MANABII WOTE WAMEMFUNUA MUNGU
KWA MAANA
WAMEFUNDISHA HABARI ZAKE
SIYO KUMUONA
Biblia :Yohana 1:18 na Yohana 5:37
&
Quran 6:103
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu"
Quran 42:11
"...Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona"
1 YOHANA 4:12
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote."
Mathayo 5:8
"Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu."
* "No man can see Me and live!"*
(Exodus 33:20).
John 1:18 and 1 John 4:12 both say,
*"No one has seen God at any time." *
1 Timothy 6:16 declares that God
"no man has seen or can see Him"
1 TIMOTHEO 1:17
"asiyeonekana, Mungu peke yake,"
na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.
HOJA
WAKRISTO WANADAI KWA KUFUATA KAULI ZA WAANDISHI WA BIBLIA YESU NI MUNGU LAKINI HAKUNA KAULI YA YESU KUWA YEYE NI MUNGU BALI TUNGO ZA WATU NDIO WANAO SEMA YESU NI MUNGU.
NA KWA MUJIBU WA BIBLIA NA QURAN MUNGU AJAWAI KUONEKANA. ... NA HAKUNA MTU ATAKAE MUONA MUNGU AKAISHI.
WAKRISTO WANADAI NA KULISHANA KUWA, MTU AWEZI KUELEWA BIBLIA KAMA HANA ROHO MTAKATIFU.
SWALI
JE YESU AJAONEKANA?
JE WAANDISHI WA BIBLIA WAMEONGOZWA NA ROHO GANI YA KUANDIKA BIBLIA ?
WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
KARIBU KATIKÀ UISLAMU 🤝
Mtayarishi ✍️ Abdillah Salami Salami Horance 🌍
18 Yesu akawakaribia akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.Hapo Yesu anaongea kama Mungu.
Hapo Yesu alikuwa ameshafufuka kwahiyo alisharudia mamlaka aliyokuwa nayo tangu milele.18 Yesu akawakaribia akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Hivi uliwahikujiuliza ,ni nani aliyempa Yesu Mamlaka hayo?
Maneno haya ni sawia,Hakuna awezae kusamehe dhambi ila Mungu peke yake.
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.
Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.
Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.
Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.
Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.
Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Nadhani uzi ufungwe jibu tosha hiliUkiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....
kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah
Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....
MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...
KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!
Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....
HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???
Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...
Yesu aliuacha utukufu wake kabla hajaja duniani ili afanye utumishi kama mwanadamu.Maneno haya ni sawia,
Lakini hukunijibu swalilangu.
Ninani aliyempa mamlaka yote Yesu?
Mathayo 18....“Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.......
Mstari huu unaonesha udhaifu wa yesu kuwa hawezi kufanya bila ya kuomba kwa Mungu aliyemtuma.Yohana 17:5
Yesu katika hali ya ubinadamu wake alikuwa akimtegemea Baba yake katika mambo yote. Hilo liko wazi. Na mara nyingi ameongea kwa mamlaka kama Mungu.Mstari huu unaonesha udhaifu wa yesu kuwa hawezi kufanya bila ya kuomba kwa Mungu aliyemtuma.
Mimi sikatai kuwa Yesu alikuwa na utukufu kabla ya ulimwengu kuwepo, Yamkini hilo na si ajabu kwa Mungu.
Lakini haimfanyi yeye kuwa Mungu, bali kama alivyojinasibu kuwa yeye ni mwana wa ADAM
Mbona unalikataa hili la udhaifu wa Yesu kutoweza kufanya lolote ila kwa IDHINI YA BABA(MUNGU)?
Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenituma.