Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume wote pamoja na manabii ni uzao wa Abraham, Isaac and Jacob (Israel). Nashangaa sana nyie mnamuita muhammad mtume wakati katokea kwa Ishmael. Nitajie nabii yoyote wa kale aliyetokea kwa Ishmael.
Kwa hiyo Ismaiel si mzao wa Ibrahimu?
 
Kwa hiyo Ismaiel si mzao wa Ibrahimu?
Alizaliwa na Abraham kupitia kijakazi. Hakuwa mrithi wa Abraham. Tena alitengwa na kuondolewa kwenye familia ya Abraham akiwa na miaka 13. Mtoto wa ahadi alikuwa Isaka.

Nitajie nabii yoyote aliyetokea uzao wa Ishmael.
 
Mtume Muhammad.
 
Weka andiko ambalo Yesu anasema yeye ni Mungu.
 
Kuna swali nimekuuliza nitajie watu watano tu walio ona Yesu akisulubiwa. Hujajibu hili swali.
 
Kisai kazi ya uongo ni ya Lucifer yeye ndie baba wa uongo na kweli haimo ndani yake

Kwa ni sayansi ndogo Sana ya nyama kuoza Muhammad alikuwa hajui 😂😂😂😂
Weka andiko ambalo Yesu anasema yeye ni Mungu.
 
Nyie ndio mnatakiwa kuwa na mashaka makubwa maana muhammad hakurudi kuwaambia kama ahera ipo na mtakuwa mnafanya ngono kama alivyowaahidi. Alizikwa na akaoza.

Sisi Yesu Kristo alirudi na kaburi li wazi, tunajua tunapoenda.
Ukweli utaujua siku utakapokufa,na hutapewa mda wa kuwaambia wenzako sababu mda wako wa kuishi duniani utakuwa umekwisha,Siku utakapoulizwa kaburini Mungu wako nani?Dini yako dini

Ukiwa ndani ya Yesu Kristo hauhitaji dini. Yeye ni yote katika yote. Kila anayekufa nje ya Yesu Kristo anakuwa na mateso na majuto ya milele.
 
Mtume Muhammad.
🤣🤣🤣🤣 Swali mnalikimbia. Tunasema muhammad kaja from nowhere kuwapotosha watu na tunawauliza kuna nabii gani mwingine kabla yake aliyetokea nje ya uzao wa Abraham, Isaac na Jacob (Israel)?
 
Ukiwa ndani ya Yesu Kristo hauhitaji dini. Yeye ni yote katika yote. Kila anayekufa nje ya Yesu Kristo anakuwa na mateso na majuto ya milele.
Ndugu yangu Mungu asingemuumbia mwanadamu bila Dini,hata huyo Yesu alikuta wazazi wake wana Dini na aliabudu kwa kupitia dini ya wazazi wake na mpaka anaondoka hakuihasi dini yake,
 
Weka andiko ambalo Yesu anasema yeye ni Mungu.
Kila saa mnarudia hili swali. Tunawajibu tena mnalirudia.

Yesu Kristo ni Mungu, pata kionjo kidogo hapa akijieleza:

Yohana 17:5 SUV​

Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako
 
Ndugu yangu Mungu asingemuumbia mwanadamu bila Dini,hata huyo Yesu alikuta wazazi wake wana Dini na aliabudu kwa kupitia dini ya wazazi wake na mpaka anaondoka hakuihasi dini yake,
Yesu hajawahi kuwa na dini. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai na hahitaji dini. Wafuasi wa Yesu Kristo tunao uhusiano na ushirika na Mungu aliyehai hivyo hatuhitaji dini.
 
Hivi ndugu yangu tuongee ukweli wa kumuogopa mwenyezi Mungu,Yesu hakuwa kuwa na Dini?Mitume wote wa Mwenyezi Mungu walikuwa wana Dini na ndiyo maana walikuwa hawapingani,na wote wanatoka kwa Ibrahimu ambaye ndiye baba yao
 
Niambie tafsiri yako, dini ni nini?
 
Shukrani zote ni zake Allaah, tunamshukuru, tunategemea msaada wake, tunafuata maongozi Yake, tunajilinda Kwake kutokana na shari za nafsi zetu na amali zetu zilizo ovu. Atakayeongozwa na Allaah hapana wa kumpotosha (kumpoteza) na Atakayeachwa kupotea (kwa sababu ya kukataa kwake kufuata uongofu), hatapata mwengine wa kumuongoza.

Nashuhudia kwamba hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ni mja wake na mwisho wa Mitume yake na mjumbe Wake na kipenzi Chake na mbora wa viumbe Vyake. Ameulingania ujumbe, ameifikisha amana, amewanasihi umma na kuwaondolea dhiki, amewatoa watu kutoka katika kiza cha kufru na kuwaingiza katika Nuru ya Uislamu, na amepigana Jihaad katika njia ya Allaah kwa ukamilifu kama inavyostahiki.

Tunakuomba Ee Mola wetu Umpe rahmah na Umpe amani Mtume wako huyu mtukufu uliyemleta akiwa ni Rahma kwa walimwengu(Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam).

Allaah Anasema:

وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلا رَحْمَةً لِّلْعَالَمِينَ

“Na hatukukutuma (hatukukuleta) ila uwe rehema kwa walimwengu.”
Al-Anbiyaa- 107
 
Alizaliwa na Abraham kupitia kijakazi. Hakuwa mrithi wa Abraham. Tena alitengwa na kuondolewa kwenye familia ya Abraham akiwa na miaka 13. Mtoto wa ahadi alikuwa Isaka.

Nitajie nabii yoyote aliyetokea uzao wa Ishmael.
Kwa hiyo Mungu wa Ibrahim ambaye ndiye Yesu kwa mujibu wa mitazamo yenu alimtenga Ishamael mwana wa Ibrahim kwa Hajira na kumfukuza? Au hayo ni maoni yako tuu binafsi?
 
Mungu wa Abraham, Yesu Kristo alimuahidi mtoto atakayekuwa mrithi wake kupitia kwa mke wake Sarah.

Baada ya Abraham kumuomba Mungu, Ishmael pia alipewa baraka na kuwa na uzao wa watoto 12.
 
🤣🤣🤣🤣 Swali mnalikimbia. Tunasema muhammad kaja from nowhere kuwapotosha watu na tunawauliza kuna nabii gani mwingine kabla yake aliyetokea nje ya uzao wa Abraham, Isaac na Jacob (Israel)?
Sasa nimekimbia swali vipi na umeuliza nabii gani ametokea katika uzao wa Isamili nimekutajia Muhammad, sasa swali limekimbiwa kivipi ?

Unaweza kuthibitisha ya kuwa Mtume ametokea from no where, kwanza unawezaje kutokea from no where ?

Kingine nakupa faida tu, nabii Ibrahiim aliomba kwa Mola wake manabii watokee katika kizazi chake na ikawa hivyo.
 
Swali zuri hata sisi pia sote tulikuwepo, kwahiyo hii si hoja.

Kingine haya masimulizi ameyasimulia nani kutoka kwa nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…