Tumemaliza umekiri tayari waliona tukio la kusulubiwa likitokea na wakaandika walicho ona sasa anapo kuja Allah na muhammad kuelezea walidanganya ni shida kubwa mnoNasubiri majibu ya maswali yangu.
Wewe ruka ruka tu hapa nasubiri majibu ya maswali. Kuna muda huwa nakiri kabisa una matatizo ya akili.Tumemaliza umekiri tayari waliona tukio la kusulubiwa likitokea na wakaandika walicho ona sasa anapo kuja Allah na muhammad kuelezea walidanganya ni shida kubwa mno
Tukio limetoa umeona na kuandika tukio alafu anakuja mtu anakwambia ilikuwa uongo 😂😂😂😂
Ngoja nikutafutie video ya huyo sheikh anasema ata yeye angekuwepo angeona kasulubiwa na akasema Kuna mtu Katia mkono kwenye Koran katunga hiyo Aya , lakini tunajua wazi muhammad Ali copy wapi 😂😂😂😂
Tumemaliza umeshakiri waliona tukio la kusulubiwa , sasa kosa lao nini kuandika walichoona 😂😂😂😂Wewe ruka ruka tu hapa nasubiri majibu ya maswali. Kuna muda huwa nakiri kabisa una matatizo ya akili.
Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.Tumemaliza umeshakiri waliona tukio la kusulubiwa , sasa kosa lao nini kuandika walichoona 😂😂😂😂
Waliona tukio wakaandika walichoona tumeshamalizaNasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.
Kingine ukiwa huwezi kujibu maswali unayo ulizwa hasa mimi, usijadiliane na mimi.
Hujajibu swali kijana, nimeandika kwa Kiswahili chepesi sana.Waliona tukio wakaandika walichoona tumeshamaliza
Ishmael hakuwahi kuwa nabii, alifukuzwa asirithi chochote kwa Abraham.Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali yangu. Nilitegemea hapa ungeanza kuchambua nasaba ya Mtume wetu, kisha ukaonyesha ya kuwa hajatokea kwenyw dhuriya wa nabii Ismaili, hili umeshindwa.
Lakini umezua lingine kwamba manabii na mitume wote walikuwa Mayahudi. Hapa nikashangaa sana, sababu napenda mjihukumi wenyewe. Naomba uthibitishe ya kuwa Manabii wote na mitume walikuwa Mayahudi.
Kisha utuonyeshe je uyahudi ni dini na kabila, kama ni dini, msingi wa dini ya uyahudi ni upi ? Kingine utuambie Uyahudi ulianza lini ? Sababu mpaka nabii Musa anaondoka hapa duniani, Uyahudi ulikuwa haupo. Sasa naomba utuonyeshe hili kielimu.
Unajua mpaka muda huu sijaigusa imani yangu, hapa nakuhoji kwa yale uliyo yasema na mpaka muda huu hujathibitisha hata moja, yaani unakuja na jipya na hilo jipya linakuwa na maswali kwako.Ishmael hakuwahi kuwa nabii, alifukuzwa asirithi chochote kwa Abraham.
Achana na masuala ya wayahudi. Elezea muhammad kwanini yeye katokea from nowhere kama muarabu mtume na hakujawahi kutokea muarabu mwingine kabla yake au baada yake kuwa mtume.
Tetea imani yako na usijifiche kwa wayahudi na maandiko yao au wakristo na biblia yao.
Huna swali , waliona na wakaandika walicho ona ni wakweli , au wewe unawabishia hawakuonaHujajibu swali kijana, nimeandika kwa Kiswahili chepesi sana.
Maswali haya tumeshayajibu sana hamtaki kuelewa.Unajua mpaka muda huu sijaigusa imani yangu, hapa nakuhoji kwa yale uliyo yasema na mpaka muda huu hujathibitisha hata moja, yaani unakuja na jipya na hilo jipya linakuwa na maswali kwako.
Nithibitishie ya kuwa Ismailo hakuwa nabii na kingine onyesha wapi alifukuzwa na baba yake.
Suala la Mayahudi umelileta wewe nalo linahitaji ithibati, na hujaonyesha ya kuwa Mtume ametokea from no where, sababu hata uarabu una maana mbili. Sijui kwanini hamsomi Wakristo ?
Kwahiyo ili sasa usijijazie maswali yakawa mengi, jibu kwanza maswali yangu niliyo kuuliza.
Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali yangu. Soma maswali yangu tena uone umejibu hata swali moja.Huna swali , waliona na wakaandika walicho ona ni wakweli , au wewe unawabishia hawakuona
Hili unatakiwa ulifanye wewe kijana, sababu haya umeuasema wewe.Maswali haya tumeshayajibu sana hamtaki kuelewa.
Sasa hivi nataka wewe ndio uandike muhammad ambaye ni mwarabu katokea wapi akawa mtume pekee na dini yake ya uislam.
Kwanini kabla yake hapakuwahi kuwa na nabii muarabu na hata baada yake?
Kwa hiyo mwana ndiye amelaaniwa?😀. Umenichekesha kweli. Kwa nini unaabudu kiumbe kilicholaaniwa?Mnatia huruma kabisa 😂😂😂😂
Yani unakubali binadamu ni mwili + Roho = to one alafu hapo hapo unapinga Baba + mwana + Roho mtakatifu
Mungu wa wakristo sio physically being ni Roho ndio nature yake na ndio aliyotupulizia ili tuwe hai
Mungu Allah hana uhai ni statue
Soma
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Mwa 1:1-2 SUV
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Nimekuuliza walio ona na kuandika walicho ona je ni waongo au wa kweli ?Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali yangu. Soma maswali yangu tena uone umejibu hata swali moja.
Soma andiko Kwa kuelewa ameitwaa laana sio amelaaniwa , na dhambi za asili azitwaaKwa hiyo mwana ndiye amelaaniwa?😀. Umenichekesha kweli. Kwa nini unaabudu kiumbe kilicholaaniwa?
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Soma andiko Kwa kuelewa ameitwaa laana sio amelaaniwa , na dhambi za asili azitwaa
Soma
Yn 4:24 SUV
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Mwa 1:1-2 SUV
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Kuna kitu kinakushinda kijana jifunze kabla Hujaleta andika nenda kasome commentary ya wakristo hujue Aya inaongea nini , Mimi sijawahi leta Aya humu kabla sijasoma tafsir za waislamu nijihakikishie waislam wanasemaje kuhusu Aya, nakushauri kuliko kurudia rudia Verse kasoma commentary ya wakristo alafu rudiLabda uniambie wewe upo sahihi kuliko biblia. Nimekuwekea rangi kabisa
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”