Wewe wasema, lakiniMuhammad alitahiriwa kwa mujibuwa Mafundishoya Ibrahim na Babuyake Ismail.Tuanze na unae muamini kwa nini hakuna andiko alitahiriwa na kwa nini alikuwa govinda
Kwahiyo Muhammad ndio mtume pekee wa waarabu? Hakuna kabla na baada yake? Hii ni risk kubwa sana waislamu mmeichukua, maisha yenu yote mmeyajenga juu ya lone standing guy asiyekuwa na backup yoyote.Kama Vitabu vya dini vimesita kulizungumzia jambo, elea halina maslahi kwako wewe muumini.
Ridhika na Maneno ya Mwenyezimungu aliposema,
Nimetuma waonyaji kwa kila Taifa, ili watu wjuwe kuwa Kuna Mungu MMOJA na kuna siku ya Hukumu.
Onyesha andiko linalosema muhammad alitahiriwa.Wewe wasema, lakiniMuhammad alitahiriwa kwa mujibuwa Mafundishoya Ibrahim na Babuyake Ismail.
N mimi hapa nimetahiriwa vile vile kwa kufuata andiko lile la AGANO LA MUNGU KWA IBRAHIM
Qur-an yakutosha kukuelimisha.kwa nini hakuna andiko alitahiriwa na kwa nini alikuwa govinda
Ukristo sio dini. Ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai. Dini ni kwa ajili ya watu wanaotafuta kumfahamu Mungu wa kweli. Dini zipo nyingi kama waislamu, buddha, bahaya, confusius nk.
Mpaka pale mwanadamu anapopata msamaha wa dhambi kupitia damu ya Yesu Kristo, hakuna raha, pumziko wala uzima wa milele. Njoo kwa Yesu Kristo. Achana na dini.
HUUJUI UKRISTO...Ukristo sio dini. Ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai. Dini ni kwa ajili ya watu wanaotafuta kumfahamu Mungu wa kweli. Dini zipo nyingi kama waislamu, buddha, bahaya, confusius nk.
Mpaka pale mwanadamu anapopata msamaha wa dhambi kupitia damu ya Yesu Kristo, hakuna raha, pumziko wala uzima wa milele. Njoo kwa Yesu Kristo. Achana na dini.
Have a safe trip to hell. You will arrive there and regret for the rest of eternity or repent now and get saved by the blood of Jesus Christ. The choice is yours.HUUJUI UKRISTO...
USOME UKRISTO KWANZA NDIO UJE ULETE HOJA... KWENYE UKRISTO WEWE BADO MTUPU...
Wakristo mnafuata ukristo kibubusa tu... Hamuujui Ukristo... SOMENI KWANZA...
Jibu maswali niliyo kuuliza.Swali lako allah kajibu ninkweli waliona Yesu kasulubiwa sasa nilikuuliza hupendi jibu la Allah au vipi?
Leta andiko muhammad katahiriwaWewe wasema, lakiniMuhammad alitahiriwa kwa mujibuwa Mafundishoya Ibrahim na Babuyake Ismail.
N mimi hapa nimetahiriwa vile vile kwa kufuata andiko lile la AGANO LA MUNGU KWA IBRAHIM
Usisahau kubusu jiweBw. Championship na Bw. Mokiti
Nawasalimu kwa jina la Mungu aliye umba Mbingu na Ardhi,Wanyama ,Bahari na vitu vyotetuvijuavyo na tusivyovijua .
Namsifu Mungu huyo Muumba na Namshukuru kwa Rehema zake kwetu Mimi na Nyiyi wote .
Namshukuru kwa kutujaalia Afya ,Utlivu na Uvumilivu baina yetu.
Mungu akimtakia mtu Kheri Humuongoza katika Nuru yake na kumpa ufahamu wa Ile Kweli,
Namuomba Mungu Huyo Akupeni Nyinyi na mimi uwezo wa kumjuwa, kumuabudu na kumsifu vile inavyostahiki.
Natarajia mutafutilia bango langu No #846 hapo juu.
kama mumekwazika musione tabu kunifuatilia.
Illa nawaaga, nakwenda kwenye Nyumba Tukufu ya Meccka pale alipopelekwa Mama yetu Hagar na Mwanawe Ismail aliyebarikiwa sana na sana na sana nakufanywa kuwa TAIFA KUU .Nakwenda kwenye Kisima Kile alichonywesha maji Ishmael na Malaika wa Bwana Mungu wa Ibrahim.
Nitachukua Majiyale, ili na nyiyi wapendwa mukitamani niwaonjeshe ilimuweze kupata baraka tele ya maji ya kisima kile cha kale.
Leo usiku nitaondoka kwenda safari hiyo TUKUFU sanakuliko Safari zote Ulimwenguni.
Naitika Mwito wa Mungu Muumba aliotuita kwenda pale na kufanya Ibada maalumu katika mji ule.
Kwa nini hautaki majibu ya allah? Nataka nijue shida ipo wapi mpaka haumuamini Allah ?Jibu maswali niliyo kuuliza.
Nabii gani alikuwa anaenda Maka kubusu maweMokit
Naomba soma Bngo langu No.846
Natarajia utakiri kua Waislamu tunafuata Dini ya Ibrahimu na manabii walio tangulia.
Akiwemo ysu.
Allah amekuwaje mtaalam wa kupaka rangi?
138. Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu. 138
Uwe makini katika huo utalii maana iran bado anayo plan ya kulipua mecca na medina. Huo ni mradi wa wajanja wa saudia kupiga hela za utalii, hamna cha ziada.Bw. Championship na Bw. Mokiti
Nawasalimu kwa jina la Mungu aliye umba Mbingu na Ardhi,Wanyama ,Bahari na vitu vyotetuvijuavyo na tusivyovijua .
Namsifu Mungu huyo Muumba na Namshukuru kwa Rehema zake kwetu Mimi na Nyiyi wote .
Namshukuru kwa kutujaalia Afya ,Utlivu na Uvumilivu baina yetu.
Mungu akimtakia mtu Kheri Humuongoza katika Nuru yake na kumpa ufahamu wa Ile Kweli,
Namuomba Mungu Huyo Akupeni Nyinyi na mimi uwezo wa kumjuwa, kumuabudu na kumsifu vile inavyostahiki.
Natarajia mutafutilia bango langu No #846 hapo juu.
kama mumekwazika musione tabu kunifuatilia.
Illa nawaaga, nakwenda kwenye Nyumba Tukufu ya Meccka pale alipopelekwa Mama yetu Hagar na Mwanawe Ismail aliyebarikiwa sana na sana na sana nakufanywa kuwa TAIFA KUU .Nakwenda kwenye Kisima Kile alichonywesha maji Ishmael na Malaika wa Bwana Mungu wa Ibrahim.
Nitachukua Majiyale, ili na nyiyi wapendwa mukitamani niwaonjeshe ilimuweze kupata baraka tele ya maji ya kisima kile cha kale.
Leo usiku nitaondoka kwenda safari hiyo TUKUFU sanakuliko Safari zote Ulimwenguni.
Naitika Mwito wa Mungu Muumba aliotuita kwenda pale na kufanya Ibada maalumu katika mji ule.
* 138. Waambieni: Hakika Mwenyezi Mungu ametuongoa sisi kwa uwongofu wake mwenyewe, na ametuonyesha hoja zake. Na hapana mbora zaidi kwa uwongofu na hoja kuliko Mwenyezi Mungu. Na sisi hatumnyenyekei ila Mwenyezi Mungu. Na wala hatufuati ila anavyo tuongoa na kutuongoza Yeye. (Hilo ndilo pambo, au batizo, au kutia rangi kwa Mwenyezi Mungu--S'ibghatu Llahi).Allah amekuwaje mtaalam wa kupaka rangi?
Sasa unaunda mada nyingine?Nabii gani alikuwa anaenda Maka kubusu mawe
Umekiri muhammad Ali copy kutoka Ibrahim alafu unauliza tena ukristo unasemajeSasa unaunda mada nyingine?
Jibu swali kama uetahiriwa, ?
na Ukiristo unasemaje kuhusu kutahiri.?
wacha kurukia rukia ,au ndiounapotezea?
Weka ushahidi wa muhammad kutahiriwa.Soma qur-an upate faida Ndugu.
Mbona sisi tunasoma Biblia,!
Au ndio unaogopa Majini, ?
Si huwa munakemeaga Mapepo nyinyi