Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Uislamu upi huo Shia ,au ahamadiya? Au sunni
 
Kwahiyo mungu anakufa? Maana siku ya ijumaa kuu yesu alikufa kwahiyo siku hiyo duniani mungu hakiwepo?

Kwa uelewa wako Mungu anaweza kuwa zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja ?
 
Nimecheka sana,Mungu aliyeumba milima,bahari, wanyama wakubwa kama nyangumi anamuogopa binadamu aliyemuumba, wakati vizazi viliyopita alikuwa anatuma Malaika wake tu wakaviteketeze
Mungu ana kanuni na utaratibu wake na kimsingi ulimwengu wa roho una utaratibu .

labda kama ungehitaji uelezw kwanini Yesu alitolewa sadaka
 
Bwana we hizi injili mnahubiri daily mmezitoa wap? Mbona ktk zile barua zake za makanisa7 hakuna hata moja iliyo watag watu wa bara la africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Do you know why?, sababu ni kuwa hizo dini ni biashara na mifumo ya watu weupe wa Asia, ulaya na marekani, ninyi watu weusi kihele hele cha kupokea hayo mainjili feki ndiko kunapelekea umasikini kuendelea kukua africa.
 
Yesu aliishi Africa alipokuwa mtoto.
 
Sasa hapa kuna shida gani ? ulitaka Mungu awaache wamuue Nabii ? ndio aliwachezea mboni zao wakaishia kuuana wenyewe , maana wote walikuwa na nia ovu
Aisee, kweli mioyo yenu imejaa giza.
 
Mungu hakuzaliwa,Mungu hazai,Mungu hanamfano wa kitu au hana sura,Mungu hafi,Mungu hanamshrika yaani yuko peke yake.Sasa sijui Yesu hapo anaingia vipi?
Wew ndo umeongea vema kbs Mungu hafananishwi na kiumbe chochote,
 
Aisee, kweli mioyo yenu imejaa giza.
Yaani wewe umtangaze Mungu kufanywa ndafu msalabani halafu unashangaa mambo ya kawaida , hivi nyie mko sawa sawa kweli, umesahau hata Yakobo alibarikiwa na Mungu pamoja kuwa alitumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake Isiaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…