Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Hakuna kitu kama hicho,kalibu kwenye Uisilamu upate Elimu ya kweli isiyokuwa na kupingana,inamaana ili wewe umsamehee mjukuu wako badala ya kumtandika fimbo badala yake yeye ndiye anayekutandika.Huo siyo upendo ili ujinga na usitarajie huyo mjukuu kama atakuheshimu tena
Uislamu upi huo Shia ,au ahamadiya? Au sunni
 
Nimecheka sana,Mungu aliyeumba milima,bahari, wanyama wakubwa kama nyangumi anamuogopa binadamu aliyemuumba, wakati vizazi viliyopita alikuwa anatuma Malaika wake tu wakaviteketeze
Mungu ana kanuni na utaratibu wake na kimsingi ulimwengu wa roho una utaratibu .

labda kama ungehitaji uelezw kwanini Yesu alitolewa sadaka
 
Bwana we hizi injili mnahubiri daily mmezitoa wap? Mbona ktk zile barua zake za makanisa7 hakuna hata moja iliyo watag watu wa bara la africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Do you know why?, sababu ni kuwa hizo dini ni biashara na mifumo ya watu weupe wa Asia, ulaya na marekani, ninyi watu weusi kihele hele cha kupokea hayo mainjili feki ndiko kunapelekea umasikini kuendelea kukua africa.
 
Yesu aliishi Africa alipokuwa mtoto.
 
Mungu hakuzaliwa,Mungu hazai,Mungu hanamfano wa kitu au hana sura,Mungu hafi,Mungu hanamshrika yaani yuko peke yake.Sasa sijui Yesu hapo anaingia vipi?
Wew ndo umeongea vema kbs Mungu hafananishwi na kiumbe chochote,
 
Aisee, kweli mioyo yenu imejaa giza.
Yaani wewe umtangaze Mungu kufanywa ndafu msalabani halafu unashangaa mambo ya kawaida , hivi nyie mko sawa sawa kweli, umesahau hata Yakobo alibarikiwa na Mungu pamoja kuwa alitumia uongo kupata baraka kutoka kwa baba yake Isiaka
 
Back
Top Bottom