Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Mola Mlezi kwa kuwa RADHI NA WALE WOTE WALIOISHI AU WANAOISHI KWA KUFUATA KANUNI NA TARATIBU ALIZOZIWEKA, ameweka utaratibu wa watu hawa ikiwa wako Hai basi huombewa HIFADHI YA MOLA MLEZI kutokana na mabala mbalimbali na hata kuondoka duniani wakiwa wameridhiwa...Mkuu nifundishe vizuri, ukimuombea rehema mtu yeyote ni kutaka yule anayeombwa asilipe sawasawa na matendo ya muombewaji.
Nini tafsiri ya kuomba rehema katika dini ya Allah?
Kwa waliotangulia hutakiwa ziada ya Rehema na Amani ya Mola Mlezi kwa kuwa tayari wameondoka akiwa AMERIDHIKA NAO... na Waovu mama kina FIRAUNI utasikia wakiombewa makasiriko ya MOLA MLEZI kwani wameondoka DUNIANI akiwa amewakasirikia!!!!
Ukisikia Mola Mlezi mwingi Rehema ni pamoja na kuweka Mlango huo kwa WAJA WAKE WEMA .... wanaombewa na kutajwa vema hata na malaika...
NA ALITAJWA YEYE MOLA MLEZI huwa anatukuzwa kwa UKUU NA UTUKUFU WAKE yaani kuukiri... Mfano utasikia Allah Subhanah Wataala..
Ni ELIMU PANA WAKIJA WAJUVI WATAKUELIMISHA ZAIDI...
Ila kiufupi UKIONDOKA DUNIANI NA HALI YA KUWA UMEPINGANA NA MOLA MLEZI BASI JUA HADI VIUMBE WASIONEKANA WATAKUOMBEA ADHABU NA UKIWA MWEMA WATAKUOMBEA ZIADA YA REHEMA, SALAMA NA AMANI YA MOLA MLEZI....
kama kulivyo na mfumo wa BONUS katika maisha ya kawaida BASI vivyo hivyo KWA MOLA MLEZI....
leo ukiacha mtoto mwema baada ya kufa kwako KWA KULE KUFANYA JITIHADA ZA KUMLEA KWA WEMA NA KUMUELIMISHA JUU YA HAKI ZA MOLA MLEZI JUU YAKE yaani AMWABUDU YEYE PEKEE YAKE NA AMTAKASIE IBADA YAKE NA ASIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE, BASI MOLA MLEZI ANAKUPA BONUS YA MTOTO HUYO KUENDELEA KUKUOMBEA HADI BAADA YA KUWA UMEONDOKA DUNIANI LAKINI SHARTI UONDOKE UKIWA WEWE MWENYE UMEJITAHIDI KATIKA HILO...
Haombewi aliyeondoka AKIWA AMEKINZANA NA MOLA MLEZI....
kwa hiyo ni kwa MITUME WOTE TANGU ADAMA ADAM MPAKA MUHAMMAD, WAJA WEMA WOTE WALIOPITA KATIKA ULIMWENGU HUU....