Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mkuu nifundishe vizuri, ukimuombea rehema mtu yeyote ni kutaka yule anayeombwa asilipe sawasawa na matendo ya muombewaji.

Nini tafsiri ya kuomba rehema katika dini ya Allah?
Mola Mlezi kwa kuwa RADHI NA WALE WOTE WALIOISHI AU WANAOISHI KWA KUFUATA KANUNI NA TARATIBU ALIZOZIWEKA, ameweka utaratibu wa watu hawa ikiwa wako Hai basi huombewa HIFADHI YA MOLA MLEZI kutokana na mabala mbalimbali na hata kuondoka duniani wakiwa wameridhiwa...

Kwa waliotangulia hutakiwa ziada ya Rehema na Amani ya Mola Mlezi kwa kuwa tayari wameondoka akiwa AMERIDHIKA NAO... na Waovu mama kina FIRAUNI utasikia wakiombewa makasiriko ya MOLA MLEZI kwani wameondoka DUNIANI akiwa amewakasirikia!!!!

Ukisikia Mola Mlezi mwingi Rehema ni pamoja na kuweka Mlango huo kwa WAJA WAKE WEMA .... wanaombewa na kutajwa vema hata na malaika...

NA ALITAJWA YEYE MOLA MLEZI huwa anatukuzwa kwa UKUU NA UTUKUFU WAKE yaani kuukiri... Mfano utasikia Allah Subhanah Wataala..

Ni ELIMU PANA WAKIJA WAJUVI WATAKUELIMISHA ZAIDI...

Ila kiufupi UKIONDOKA DUNIANI NA HALI YA KUWA UMEPINGANA NA MOLA MLEZI BASI JUA HADI VIUMBE WASIONEKANA WATAKUOMBEA ADHABU NA UKIWA MWEMA WATAKUOMBEA ZIADA YA REHEMA, SALAMA NA AMANI YA MOLA MLEZI....

kama kulivyo na mfumo wa BONUS katika maisha ya kawaida BASI vivyo hivyo KWA MOLA MLEZI....

leo ukiacha mtoto mwema baada ya kufa kwako KWA KULE KUFANYA JITIHADA ZA KUMLEA KWA WEMA NA KUMUELIMISHA JUU YA HAKI ZA MOLA MLEZI JUU YAKE yaani AMWABUDU YEYE PEKEE YAKE NA AMTAKASIE IBADA YAKE NA ASIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE, BASI MOLA MLEZI ANAKUPA BONUS YA MTOTO HUYO KUENDELEA KUKUOMBEA HADI BAADA YA KUWA UMEONDOKA DUNIANI LAKINI SHARTI UONDOKE UKIWA WEWE MWENYE UMEJITAHIDI KATIKA HILO...

Haombewi aliyeondoka AKIWA AMEKINZANA NA MOLA MLEZI....

kwa hiyo ni kwa MITUME WOTE TANGU ADAMA ADAM MPAKA MUHAMMAD, WAJA WEMA WOTE WALIOPITA KATIKA ULIMWENGU HUU....
 
Mkuu kwahiyo hapa unamaanisha kwamba mtu akiwa muislam safi mpaka anapokufa anakuwa tayari na heri huko alipo, haya maombi ya kuombewa na waliopo huku duniani yanamnufaisha vipi yule aliyekwisha kufa?

Na yule muislam asiyekuwa safi naye akiombewa na watu huku duniani hatma yake inabadilika?
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?

Labda tukuulize na hao uliowaita mitume,wanasifa gani za kuitwa mitume na nani aliyewapa utume?
 
Mkuu kwahiyo hapa unamaanisha kwamba mtu akiwa muislam safi mpaka anapokufa anakuwa tayari na heri huko alipo, haya maombi ya kuombewa na waliopo huku duniani yanamnufaisha vipi yule aliyekwisha kufa?

Na yule muislam asiyekuwa safi naye akiombewa na watu huku duniani hatma yake inabadilika?
Mtu akifa hali ya kuwa AMEKINZANA NA MOLA MLEZI HAKUNA UOMBEZI.....

Nimesema Mola wetu Mlezi ni mwingi wa Rehema kwa viumbe wake HIVYO ameweka utaratibu huo ni darasa pana LINAHITAJI MUDA.....

Huwezi kukuta anayeelewa atataja Jina la Mola Mlezi, Mitume, wanafunzi wao, waja WEMA waliotangulia bila ya nyongeza ya maneno kama [S.W, A.S, S.A.A.W, R.A, R.A]... nimeabdika vifupisho tu lakini vinatakiwa kutajwa kwa ukamilifu wake...

Aliyetakasika ni Moja Tu [Mola Mlezi] ndiyo maana kwake TUNALITUKUZA JINA LAKE...

UOMBEZI huongeza katika Mizani za WAJA WEMA zingatia hapo [tayari wao waliyaishi hayo] na ni BONUS YA MOLA MLEZI KWA WAJA WAKE WEMA na hakuna uombezi kwa ALIYEFARIKI AKIWA AMEKINZANA NA MOLA MLEZI [uombezi haumfai ambaye hakuishi na kuridhia kanuni na taratibu za Mola wake Mlezi].

BONUS huja baada ya kutimiza majukumu yako ya msingi kadri uwezavyo LAKINI Kinyume chake ni PENALTY
 
Okay, asante sana. Bonus hizo zinaweza kuwa kama vitu gani anapewa mja mwema?

Niliwahi kusikia muislamu yoyote hawezi kupewa adhabu milele, je adhabu za waislamu wasio safi ni zipi?
 
Ukiwa huna uhakika na unachoandika ni BORA KUTOANZISHA UZI....

kwenye Uislam ukisikia anatajwa Mola Mlezi utasikia kwa mfano Allah Subhanah Wataala, akitajwa Mtume utasikia Rehema na Amani ziwe juu yake, wakitajwa mitume wote waliobakia aliwemo mtume wa Allah Issah utakisikia Alayh Salam, wakitajwa maswahaba utasikia Radhiallah Anhu, Waja wema waliotangulia Rahmahullah au waliopo HAI utasikia hafidhallah

Kwa hiyo siyo kweli UNACHOKISEMA KUWA KWENYE UISLAM MTUME ANAOMBEWA MSAMAHA.....

MOLA MLEZI ameweka utaratibu wa kumtukuza YEYE kila anapotajwa au unapotaja jina la Mola Mlezi, kuwatakia salama na amani Waja wema waliotangulia kwa maana waliishi na kumridhisha YEYE na YEYE amewaridhia na wanaombewa mpaka na malaika...

KINYUME CHAKE kwa kila aliyeishi kwa UJABARI NA KUMUASI MOLA MLEZI KAMA FIRAUNI na wote wanaomfuatia basi utasikia yakitamkwa MKASIRIKO YA MOLA MLEZI NA KUWEKWA MBALI NA REHEMA ZAKE baada ya majina yao!!!!

Kwa aliye hai ataombewa UONGOFU ila akifa mwanadamu kati uasi basi hadi Malaika watamwombea Makasiriko ya Mola Mlezi....

HUJAWAHI ONA MTU ANAFARIKI NA WATU WANAFURAHI KUWA WATAPUMZIKA KUTOKANA NA MAUDHI AU DHULMA ZAKE???? Au MWINGINE ANAFARIKI KILA YUALIA KUTOKANA NA WEMA WAKE KWA WATU???

Basi jua vivyo hivyo kwa wanadamu na Mailaka kumwombea aliyefariki au hata aliye HAI...

Huyo kakosa hata roho ya kibinadamu na kitamaduni inaonekana hata ile R.I.P iliyozoeleka hawezi kuitamka na wala hajui maana yake inapokuja mtu amefariki.--- hiyo ni aina ya roho ngumu kama chuma.
 
Hapa utaanza mjadala mpya lakini ukweli uliodhahiri ni kwamba Bwana Yesu Kristo ndiye Mungu Mwenyenzi, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nipe sifa za Mungu,au Uungu halafu tuendelee na maada
 
Hapa utaanza mjadala mpya lakini ukweli uliodhahiri ni kwamba Bwana Yesu Kristo ndiye Mungu Mwenyenzi, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Unapoanzisha maada ya Dini humu uwe ingalau una Elimu ya Dini,au ueleo,angalia sasa umeamua kuikimbia maada yako
 
Hapa utaanza mjadala mpya lakini ukweli uliodhahiri ni kwamba Bwana Yesu Kristo ndiye Mungu Mwenyenzi, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Ndugu umekosea sana kusema yesu ni mungu,Mungu hakuzaliwa,wala hana baba,wala hana jinsia,hajawahi kuonekana,Mungu ni mwenye vyote,Mungu siyo kiumbe,kwahiyo wew unayesema yesu ni mungu,yesu ni binadamu,ana sifa zote za viumbe,
 
Luka 2:21, Na siku ya 8 ya kuzaliwa kwake Yesu akatahiriwa.

Ni Mungu gani huwa anatahiriwa???
Mwili wa Kristo Yesu ulitahiriwa. Kumbuka mtoto amezaliwa lakini Mwana (wa Mungu) tumepewa.
 
Ndugu umekosea sana kusema yesu ni mungu,Mungu hakuzaliwa,wala hana baba,wala hana jinsia,hajawahi kuonekana,Mungu ni mwenye vyote,Mungu siyo kiumbe,kwahiyo wew unayesema yesu ni mungu,yesu ni binadamu,ana sifa zote za viumbe,
Yesu ni Mungu aliyehai na rafiki wa karibu. Ameumba vyote unavyoona na usivyoona. Mungu huyu alivaa mwili ili kuwakomboa wanadamu.
 
Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake.

Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa.

Mtume Petro naye alikumbusha kuombea huduma na alipomaliza aliwaambia waumini kwamba wakati umefika kwake kuondoka tena itakuwa kutundikwa juu ya msalaba kichwa kikiwa chini na miguu juu.

Hawa wote wawili walikuwa na furaha na kuondoka duniani kwa uhakika na ushindi. Walikuwa wakiwasisitiza waumini wafuate mfano wao.

Sasa nashangaa kuna nabii eti ni wa mwisho na ndio mkuu kwa wote lakini mpaka sasa anaombewa akiwa amefariki.

Alikwama wapi na nini kimemfanya yeye asiwe na uhakika wa kuingia mbinguni mpaka aendelee kuombewa?
Sio mtume tu hata wazazi wetu wakifa tunawaombea, hata waalimu waliotufunza dini tunawaombea,hivyo basi Uislamu unatambua kuwa mtume ndio aliotufunza jambo la kumtambua Mungu hivyo tutaendelea kumuombea hata kama kafa, maana mema yake hayafi
 
Yesu ni Mungu aliyehai na rafiki wa karibu. Ameumba vyote unavyoona na usivyoona. Mungu huyu alivaa mwili ili kuwakomboa wanadamu.
Mungu hawezi kuteswa na watu alio waumba mwenyewe ili awakomboe watu hao hao, hivi ni vichekesho vya karne, unashangaa Mohamadi kuombewa halafu Mungu wako kupigwa mijeledi inakuingia akilini, dunia imejaa vituko
 
Back
Top Bottom