kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Ni amri ya Allah aliyowaamrisha waumini waislamu. Na Kwa kufanya hivyo tunajikurubisha Kwa Allah kutokana na utii. Na tunaitakiqidi kuwa tutapata malipo yaliyokuwa makubwa.Anaswaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni amri ya Allah aliyowaamrisha waumini waislamu. Na Kwa kufanya hivyo tunajikurubisha Kwa Allah kutokana na utii. Na tunaitakiqidi kuwa tutapata malipo yaliyokuwa makubwa.Anaswaliwa
kwa vilwe umeamua kuendelea kupingana na maneno na mafundisho halisi ya Bw,Yesu Mwenyewe.9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Kanuni za kutafsiri biblia zinakutaka kwanza ufanye observation. Hii maana yake ni kwamba unatakiwa ku-read OUT of the scriptures, not INTO the scriptures.Ndiyo maana Isaya akasema kuwa
''tumepewa mtoto wa kiume,Naye ATAITWA (na watu wasiomjua Mungu) ,..... Mungu Mwenye Nguvu”, “Baba wa Milele.....''
Nashukuru kuwa umekuwa mvulivu kunifuatilia hoja zangu.Kanuni za kutafsiri biblia zinakutaka kwanza ufanye observation. Hii maana yake ni kwamba unatakiwa ku-read OUT of the scriptures, not INTO the scriptures.
Sasa hapa tayari unasoma INTO the scriptures, unaingiza tafsiri yako mwenyewe baada ya kufanya perversion of the text.
Kanuni nyingine inakutaka usome context. Inahusisha kuangalia pretext of the text. Unatakiwa usome other texts along similar lines throughout the bible ndipo upate doctrine.
Pia unatakiwa kuangalia interpretation wakati hiyo text inaandikwa. Hii ni kwasababu lugha inakua (grow) kila wakati. Neno linaweza kuandikwa leo likiwa na maana moja lakini miaka michache ijayo likawa na maana nyingine.
Ni jambo jema kwamba unasoma biblia. Mimi nakushauri upate nafasi ya kusoma namna ya kuitafsiri biblia ili uwe unapata maana sahihi.
Mungu anafanana na mwanadamu maana tumeumbwa kwa sura na mfano wake (in His image and His likeness). Ila yeye ni omnipotent, omniscient na omnipresent na hapo ndio sasa hakuumbwa, ni wa milele.1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja
Kwa maneno haya ,yatosha kusemwa kuwa fulani hana akili, au anaugua kichaa.Mungu aliichukua mwili wa kibinadamu ili apate kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye dhambi.
Biblia inayo majibu kwa kila hoja.Kwa maneno haya ,yatosha kusemwa kuwa fulani hana akili, au anaugua kichaa.
Yaani Mungu,aliyeumba kila kitu na mmiliki wa vyote na hali zote, anahaja gani kuja kutemewa mate,kisha kupigwa bakora naviumbe wake ili iwe ndiyo njia ya kuwakomboa na dhambi zao hao wanaompiga?
Ahhhh.
toomuch.
Kweli kuamini kuna hitaji sana Ufahamu, siyo kuburuzana tuu.
Kwa hili Qur-an inalisemea hivi:
''Molawako msamehevu mwingi wa rehema, husamehe yote waliyotenda wakosefu kwa TOBA YA KWELI na kuacha machafu na kutenda mema.''
Wala Mungu hayafuatilii tena maovu ya walioTUBU, na si vyenginevyo.
Mungu hana haja kabisa ya sisi kujiadhibu au khiliki kwa madhambi yetu, bali anatuaka tutubu,basi.
Hii habari ya Kufa mtu iwe komboleo la dhambi, ni Dctrine iliyoanzishwa na Watu waovu, si ya yesu wala Muhammad , wala Manabii.
Yuko aliyewapelekea watu Ufahamu huo na kuwatoa kwenye RELI.
Kama anaweza kufanya apendalo kwanini asiweze kuja duniani katika umbile la kibinadamu?Huyo ndiyeMungu asiye chezewa na Viummbe Mwenye Kufanya apendalo.
Nimelipenda hili swali,kama hawezi kuja duniani akiwa na mwili wa kibinadamu basis yeye sie Mungu muweza wa yote.Kama anaweza kufanya apendalo kwanini asiweze kuja duniani katika umbile la kibinadamu?
Tatizo hili limekaa kisheitwani sana!Hawapendi watu wahoji kwao japo wao wanapenda sana kuhoji ya wengine.
Mbona umemtaja mungu tena?una maana mungu anapenda ubaya na wema?Ndugu shetani hayupo ila kuna wema na ubaya tuu, jiulize swali dogo tuu wew unavyotenda dhambi shetani hapo anahusikaje,au wew mwenyew wakat mwingine ni shetani afu pia ni mtu mwema? Sasa imefika wakati tutumie akili timamu tuliyojaliwa na Mungu hizi dini zimetuharibu sana.
Mungu hapendi ubaya,kwani aliumba watu wema tuu,isipokuwa watu wenyewe kuchangamana na viumbe wabaya ndo tunakuwa na watu wabaya,Mbona umemtaja mungu tena?una maana mungu anapenda ubaya na wema?
Biblia inayo majibu kwa kila hoja.
Mkuu nimeshakueleza sana kwamba unapaswa kutofautisha muda ambao Yesu anaongea kama mwanadamu na muda anapoongea kama Mungu. Wewe unapendelea pale anaongea kama mwanadamu.Bibilia inakinzana?
Kuna Mafunisho ya Yesu mwenyewe
Kuna Mafundisho wa Mtume wa Mataifa.
Bw.Championship. Ukisoma kwa umakini consept ya Kuabudu Mungu, Utaona tofauti.
Yesu anasema Yeye Katumwa, na anawaita watu wamjuwe MUNGU
Mtume yule wa Mataifa anasema Yesu ndiye Mungu Mwenyewe, na kwa maana hiyo kajituma mwenyewe.
Sisi tuliozowea Vitabu vingine vya dini tunababaishwa na utata huu. na Kimsingi .Yesu hakuwa wa kwanza kuhubiri habari za Uokovu na kumuabudu Mungu.
Wewe kwa nini hutaki kuamini maneno ya YESU ,umengangania yale ya Mtume wa Mataifa ambaye hajawahipo Kuishi na Yesu wala kujifunza kwake?
Sasa hapa unakubali kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Na kama ni hivyo basi asili yake ni ya uungu vilevile.Huyu ndiye Yesu
Math.17:1-5 Petro alipokuwa akizungumza, wingu jeupe liliwafunika. Sauti ikatoka katika wingu na akasema, “Huyu ni Mwanangu, ninayempenda, ninafurahishwa naye. Mtiini yeye!”