Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Anaswaliwa
Ni amri ya Allah aliyowaamrisha waumini waislamu. Na Kwa kufanya hivyo tunajikurubisha Kwa Allah kutokana na utii. Na tunaitakiqidi kuwa tutapata malipo yaliyokuwa makubwa.
Screenshot_20220606-040409.png
 
9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
kwa vilwe umeamua kuendelea kupingana na maneno na mafundisho halisi ya Bw,Yesu Mwenyewe.
Na Umeshikamana na Maongezi ya waandishi na waenezaji wa Injili kwa tafsiri zao binafsi,
Mimi sina la kukufanya,
Maana sitaacha maneno ya Mwalimu, (yesu Kristo) na mafundisho yake eti halafu nichukua mafundisho mengine yaasiyowiana kabuisa.
Hilo kwangu ni kosa.
Nahisi nifute mikono yangu kwenye mjadala huu kwa kukualika kuisoma Qur-an ili ikusaidie kuelewa Ukweli kuhusu Yesu.
Namaliza kwatafakuri hii (Unabii wa Isaya Isaya 9:6-7) uliosheheni ukweli usioeleweka kwako.

Isaya 9:6-7​

Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepewa mtoto wa kiume. Naye atapewa mamlaka ya kutawala. Ataitwa: “Mshauri wa Ajabu”. “Mungu Mwenye Nguvu”, “Baba wa Milele”, “Mfalme wa Amani”. Utawala wake utastawi daima, amani ya ufalme wake haitakoma. Atachukua wadhifa wa mfalme Daudi na kutawala juu ya ufalme wake; ataustawisha na kuuimarisha, kwa haki na uadilifu, tangu sasa na hata milele. Hayo atayafanya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.

Utabiri huu wa isaya unatimia leo kwakuwa Yesu amepewa sifa zisizokuwa zake kama alivyosema isaya (taitwa na siyo atajiita) .Waliompa sifa hizo Yesu walimkweza mno na wamekosea.
Qur-an imekuja kuyaweka sawa hayo ili watu wa Mungu wamuabudu bila ya kukoseakosea.
Mungu atabaki kuwa Mungu Mmoja wa Pekee kwa muibu wa mafunzo ya Yesu.
Hivyo hivyo Muhammad ametufunza nakuwakosoa wale waliosema Yesundiye Mungu mwenyewe.
Ikiwa Hutaki kuelewa hilo Juwa kwamba utawajibika mbele za Mungu mwenyewe siku ya Ujio wa Bw. Yesu na atakusuta kwa kusema

Marko 7:7 SRUVDC​

''Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu''

Amin nakuambia, Yesu ni mtumishi muaminifu wa Mungu mwenye karama na vipawa tele alivyopewa na Mungu.
Lakini yeye si Mungu,balini Nabii Mkuu katika wakuu.
 
Yohane 7:16-17 BHN​

Hapo Yesu akawajibu, “Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma. Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe.
 
MIMIM NA WEWE TUNAPISHANA KWENYE Mungu na yesu.
---Wewe wasema Yesu Ndiye Mungu Mwenyewe, bali kajigeuza kuwa mtu ili aje kuteseka na hatimae auwawe ili amuokowe kila amuaminie apate uokovu kupitia kifo chake msalabani..
---Mimi Nasema Hapana , Yesu ni Mtumishi wa Mungu, yeye mwenyewe anakiri hilo kuwa Katumwa na Mungu.
--Wewe uantumia maelezo ya waandishi wa injili na si direct speech za yesu.
--Mimi natumi maneno ya Yesu mwenyewe ambayo wewe huyataki na huyaamini kamwe.
shida inakuja hapo.
Hivi wewe unaiamini Biblia,? utasema ndiyo,
Hivi unayakubali na kuyaamini maneno ya Yesu?
Utajibu ndiyo
Hivi unajuwa kuwa maneno ya Yesu na yale ya waandishi na wachambuzi yapingana,? utasema hapana.
sasa, kwa nini maneno ya yesu yako wzi na mepesi, wewe unachukua ya waandishi yaliyokatika fubo na magumu, utasema eti unafundishwa hivyo na Roho.
sasa hapo ndiokwenye shida.
Ndiyo maana Isaya akasema kuwa

''tumepewa mtoto wa kiume,Naye ATAITWA (na watu wasiomjua Mungu) ,..... Mungu Mwenye Nguvu”, “Baba wa Milele.....''
Wajinga ndio watakaomwita Yesu Mungu, na Baba wa Milele kwa vile hawamjui Mungu na sifa zake. Pale Yesu alipofanya miujiza ndio wakaamua kumwita Mungu kitu ambacho si sahihi na kinyume na mafundisho yake yesu mwenyewe.
Yeye yesu Alijiita Mwana wa ADAMU. Hapa ndio utabaini kuwa utabiri wa isaya ni kweli tupu na ndivyo ilivyotokea.
Qur-an imelithibitisha hilo kwa kuwambia Wakiristo waache kusema Mungu ni nafsi tatu au Kusema Mungu ana Mtoto,hilo ni koso kiitikadi ya kumuamini Mungu na ni matusi kwa Mungu.
Na yesu pia aliwaambia kuwa
Marko 12:30Mark 12:30
Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;

nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.
u
 
Ndiyo maana Isaya akasema kuwa

''tumepewa mtoto wa kiume,Naye ATAITWA (na watu wasiomjua Mungu) ,..... Mungu Mwenye Nguvu”, “Baba wa Milele.....''
Kanuni za kutafsiri biblia zinakutaka kwanza ufanye observation. Hii maana yake ni kwamba unatakiwa ku-read OUT of the scriptures, not INTO the scriptures.

Sasa hapa tayari unasoma INTO the scriptures, unaingiza tafsiri yako mwenyewe baada ya kufanya perversion of the text.

Kanuni nyingine inakutaka usome context. Inahusisha kuangalia pretext of the text. Unatakiwa usome other texts along similar lines throughout the bible ndipo upate doctrine.

Pia unatakiwa kuangalia interpretation wakati hiyo text inaandikwa. Hii ni kwasababu lugha inakua (grow) kila wakati. Neno linaweza kuandikwa leo likiwa na maana moja lakini miaka michache ijayo likawa na maana nyingine.

Ni jambo jema kwamba unasoma biblia. Mimi nakushauri upate nafasi ya kusoma namna ya kuitafsiri biblia ili uwe unapata maana sahihi.
 
Nashukuru kuwa umekuwa mvulivu kunifuatilia hoja zangu.
Yawezekana ,hizi fahamu zetu zimezingirwa na 'Doctrine' zetu tulizo nweshwa na watangulizi wa dini zetu.
Hata hivyo, Amin nakuambia.
katika Uislamu Limetukabili tatizo lilowakabili nyinyi wakiristo la kumtweza Mtume Muhammad zaidi ya pale aipostahiki kuwepo.
Hivy hivyo kuna dhehebu wamediriki kuwakweza Viongozi wao wa dini mpaka wanawaomba ili wawaombee kwa mungu.
Kuna wtu ambao hudhaniwa kuwa ni Mawalii(Wachamungu) na kwa hiyohupandishwa hadhi wakati mwingine zaidi ya hata Mungu mwenyewe, na watu huwaomba mabwana hao kuwaondolea matatizo.

Sasa mimi sikushangai wewe na wezako waenye doctrine inayofanana.
Bahati nzuri Qur-an imetupa ''Clear Cutting Age'' kuhusu Mungu na Kuabudiwa kwake.
Naanza kwa jina la Mwei Mungu Mwingi wa rehema mwenye kurehemu
1.
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja
Mungu anafanana na mwanadamu maana tumeumbwa kwa sura na mfano wake (in His image and His likeness). Ila yeye ni omnipotent, omniscient na omnipresent na hapo ndio sasa hakuumbwa, ni wa milele.

Mungu aliichukua mwili wa kibinadamu ili apate kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye dhambi. Maria alimzaa Yesu, hakumzaa Kristo (maana tàyari alikuwepo na ni wa milele). Hivyo uko sahihi, Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
 
Changamoto iliyopo ni kwamba waislam na wakristo wanaabudu miungu tofauti. Wakristo wana yehova/yesu na waislam wana Allah ambaye hana jina maana hilo jina kwa kiswahi ni mungu, English is God.
 
Mungu aliichukua mwili wa kibinadamu ili apate kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye dhambi.
Kwa maneno haya ,yatosha kusemwa kuwa fulani hana akili, au anaugua kichaa.
Yaani Mungu,aliyeumba kila kitu na mmiliki wa vyote na hali zote, anahaja gani kuja kutemewa mate,kisha kupigwa bakora naviumbe wake ili iwe ndiyo njia ya kuwakomboa na dhambi zao hao wanaompiga?
Ahhhh.
toomuch.
Kweli kuamini kuna hitaji sana Ufahamu, siyo kuburuzana tuu.
Kwa hili Qur-an inalisemea hivi:
''Molawako msamehevu mwingi wa rehema, husamehe yote waliyotenda wakosefu kwa TOBA YA KWELI na kuacha machafu na kutenda mema.''
Wala Mungu hayafuatilii tena maovu ya walioTUBU, na si vyenginevyo.

Mungu hana haja kabisa ya sisi kujiadhibu au khiliki kwa madhambi yetu, bali anatuaka tutubu,basi.
Hii habari ya Kufa mtu iwe komboleo la dhambi, ni Dctrine iliyoanzishwa na Watu waovu, si ya yesu wala Muhammad , wala Manabii.
Yuko aliyewapelekea watu Ufahamu huo na kuwatoa kwenye RELI.
 
Qur-an sura ya 48
4. Yeye (Mungu)ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za Waumini ili wazidi Imani juu ya Imani yao. Na Mwenyezi Mungu ndiye mwenye majeshi ya mbingu na ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye ujuzi, Mwenye hikima''
10. Bila ya shaka wanao fungamana nawe, kwa hakika wanafungamana na Mwenyezi Mungu. Mkono wa Mwenyezi Mungu uko juu ya mikono yao. Basi avunjaye ahadi hizi anavunja kwa kuidhuru nafsi yake; na anaye tekeleza aliyo muahadi Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu atamlipa ujira mkubwa.

Huyo ndiyeMungu asiye chezewa na Viummbe Mwenye Kufanya apendalo.
 
Kwa maneno haya ,yatosha kusemwa kuwa fulani hana akili, au anaugua kichaa.
Yaani Mungu,aliyeumba kila kitu na mmiliki wa vyote na hali zote, anahaja gani kuja kutemewa mate,kisha kupigwa bakora naviumbe wake ili iwe ndiyo njia ya kuwakomboa na dhambi zao hao wanaompiga?
Ahhhh.
toomuch.
Kweli kuamini kuna hitaji sana Ufahamu, siyo kuburuzana tuu.
Kwa hili Qur-an inalisemea hivi:
''Molawako msamehevu mwingi wa rehema, husamehe yote waliyotenda wakosefu kwa TOBA YA KWELI na kuacha machafu na kutenda mema.''
Wala Mungu hayafuatilii tena maovu ya walioTUBU, na si vyenginevyo.

Mungu hana haja kabisa ya sisi kujiadhibu au khiliki kwa madhambi yetu, bali anatuaka tutubu,basi.
Hii habari ya Kufa mtu iwe komboleo la dhambi, ni Dctrine iliyoanzishwa na Watu waovu, si ya yesu wala Muhammad , wala Manabii.
Yuko aliyewapelekea watu Ufahamu huo na kuwatoa kwenye RELI.
Biblia inayo majibu kwa kila hoja.

Imeandikwa, 1 Wakorintho 1:18-23

18. Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu

19. Kwa kuwa imeandikwa,
Nitaiharibu hekima yao wenye hekima,
Na akili zao wenye akili nitazikataa.

20. Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?

21. Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa

22. Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;

23. bali sisi tunamhubiri Kristo, aliyesulibiwa; kwa Wayahudi ni kikwazo, na kwa Wayunani ni upuzi; 24bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wayunani, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu
 
Ndugu shetani hayupo ila kuna wema na ubaya tuu, jiulize swali dogo tuu wew unavyotenda dhambi shetani hapo anahusikaje,au wew mwenyew wakat mwingine ni shetani afu pia ni mtu mwema? Sasa imefika wakati tutumie akili timamu tuliyojaliwa na Mungu hizi dini zimetuharibu sana.
Mbona umemtaja mungu tena?una maana mungu anapenda ubaya na wema?
 
Mbona umemtaja mungu tena?una maana mungu anapenda ubaya na wema?
Mungu hapendi ubaya,kwani aliumba watu wema tuu,isipokuwa watu wenyewe kuchangamana na viumbe wabaya ndo tunakuwa na watu wabaya,
 
Bibilia inakinzana?
Biblia inayo majibu kwa kila hoja.

Kuna Mafunisho ya Yesu mwenyewe
Kuna Mafundisho wa Mtume wa Mataifa.
Bw.Championship. Ukisoma kwa umakini consept ya Kuabudu Mungu, Utaona tofauti.
Yesu anasema Yeye Katumwa, na anawaita watu wamjuwe MUNGU
Mtume yule wa Mataifa anasema Yesu ndiye Mungu Mwenyewe, na kwa maana hiyo kajituma mwenyewe.
Sisi tuliozowea Vitabu vingine vya dini tunababaishwa na utata huu. na Kimsingi .Yesu hakuwa wa kwanza kuhubiri habari za Uokovu na kumuabudu Mungu.

Wewe kwa nini hutaki kuamini maneno ya YESU ,umengangania yale ya Mtume wa Mataifa ambaye hajawahipo Kuishi na Yesu wala kujifunza kwake?
 
Huyu ndiye Yesu
Math.17:1-5 Petro alipokuwa akizungumza, wingu jeupe liliwafunika. Sauti ikatoka katika wingu na akasema, “Huyu ni Mwanangu, ninayempenda, ninafurahishwa naye. Mtiini yeye!”
 
Mkuu nimeshakueleza sana kwamba unapaswa kutofautisha muda ambao Yesu anaongea kama mwanadamu na muda anapoongea kama Mungu. Wewe unapendelea pale anaongea kama mwanadamu.

Msome hapa Yesu anakubali kuitwa Mungu baada ya kufufuka:

Yohana 20:26-29

26. Siku nane baada ya haya, wanafunzi walikuwa pamoja tena katika chumba kimoja na Tomaso pia alikuwepo. Milango ilikuwa imefungwa, lakini Yesu akawatokea akasimama kati yao akawaambia, “Amani iwe nanyi.”

27 Ndipo akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa; tazama mikono yangu halafu nyoosha mkono wako uguse ubavu wangu. Usiwe na mashaka bali uamini.”

28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!”

29 Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
 
Huyu ndiye Yesu
Math.17:1-5 Petro alipokuwa akizungumza, wingu jeupe liliwafunika. Sauti ikatoka katika wingu na akasema, “Huyu ni Mwanangu, ninayempenda, ninafurahishwa naye. Mtiini yeye!”
Sasa hapa unakubali kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Na kama ni hivyo basi asili yake ni ya uungu vilevile.

Yesu amekuwa akiwafundisha wanafunzi wake wamfuate yeye kama suluhisho la maisha yao yote ya duniani na mbinguni. Hutapata mtu mwingine aliyewahi kutoa ahadi kubwa hivi kwa wanaomfuata. Aliongea hivi kwasababu yeye ni Mungu wa mile.

Mathayo 11:28-30

Njoni kwangu
, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
 
Back
Top Bottom