Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Ni nondo kweli ndiyo maana hakuna aliyeweza kujibu😀
Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
Jua hizo tofauti kwanza
Allah = physical being creature
Jehovah = spiritual being

Ulisema.umeshatambua utofauti ndio utakuwa umejijibu
 
Unarudia rudia unajiona umeandika nondo 😂😂😂😂

Jua hizo tofauti kwanza
Allah = physical being creature
Jehovah = spiritual being

Ukiweza hapo maswali Yako utajicheka mwenyewe
Tunahitaji majibu na wenzako.

Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Jua hizo tofauti kwanza
Allah = physical being creature
Jehovah = spiritual being

Ulisema.umeshatambua utofauti ndio utakuwa umejijibu
Hayo ni madai. Weka ushahidi wa biblia nikukamate vizuri useme Jehova spiritual being. Hatutaki maneno matupu. Twende kazi
Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Ni nondo kweli ndiyo maana hakuna aliyeweza kujibu😀
Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
Hiyo human flesh ilibeba laana zote na dhambi zote Yesu akaitoa na akaifufua mwenyewe

Ndio maana nakwambia elewa utofauti Kati ya Allah ambae ni creature physical unaweza kukiona na macho ya damu na nyama na Jehovah ambae ni spiritual ambae haonekani kwa macho ya damu na nyama

Biblia ni tamu Sana soma
1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........
 
Kwa hiyo huyo Jehova kumbe anaingia watu kama mapepo wanavyoingia watu? Hakuna tofauti. Wewe ushawahi kuingiwa au Kristo aliyelaaniwa kwa maandiko yako?
Huku tukiendelea na logic ya kulaaniwa. Kujadiliana na wafuasi wa Brian Deacon raha Sana😀
Kristo=laana
Shetani=laana
So Kristo=shetani

A=B
B=C
So A=C

Ngoja tukufundishe hesabu za logic kidogo. Naona una kichwa kigumu. Tunaenda kwa mifano😀

Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka,“Kwa kuwa umefanya hivyo,umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa,na kuliko wanyama wote wa porini.Kwa tumbo lako utatambaa,na kula vumbi siku zote za maisha yako.
 
Hiyo human flesh ilibeba laana zote na dhambi zote Yesu akaitoa na akaifufua mwenyewe

Ndio maana nakwambia elewa utofauti Kati ya Allah ambae ni creature physical unaweza kukiona na macho ya damu na nyama na Jehovah ambae ni spiritual ambae haonekani kwa macho ya damu na nyama

Biblia ni tamu Sana soma
1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........
Nimefurahi na kuhuzunika pia😀. Hiyo nitaongezea kwenye maandiko yangu . Endelea kuleta vitu watu waelewe. Wengine hawaelewi mambo 😀. Kwa hili andiko lako. Jehova kumbe anavaa watu kwenye miili. Huu msiba mkubwa Sana.
 
Kwa hiyo huyo Jehova kumbe anaingia watu kama mapepo wanavyoingia watu?
Umeanza kuelewa , Mungu ni Roho kwa wakristo , Yesu alikuja aka manifest in human flesh hichi kitendo Allah hawezi maana yeye tayari ni creature physical , Yesu alikuwa ndani ya human flesh ndio maana Kuna mda akiongea anaongea kama binadamu na mda mwingine anajidhirisha Mungu anaongea

1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........
 
Nimefurahi na kuhuzunika pia😀. Hiyo nitaongezea kwenye maandiko yangu . Endelea kuleta vitu watu waelewe. Wengine hawaelewi mambo 😀. Kwa hili andiko lako. Jehova kumbe anavaa watu kwenye miili. Huu msiba mkubwa Sana.
😂😂😂😂 Umesahau Allah iliiga akavaa mti akaongea na musa
 
Umeanza kuelewa , Mungu ni Roho kwa wakristo , Yesu alikuja aka manifest in human flesh hichi kitendo Allah hawezi maana yeye tayari ni creature physical , Yesu alikuwa ndani ya human flesh ndio maana Kuna mda akiongea anaongea kama binadamu na mda mwingine anajidhirisha Mungu anaongea

1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........
Huyu nimemkubali. Amejiingia mwenyewe kwenye mwili wa Kristo aliyelaaniwa. Baadae akawa anaanza kulia mwenyewe. Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha😀😀😀.
Ina maana kristo yule aliyelaaniwa ameact kama hardware na Jehova ni software. Hardware bila software haifanyi kazi.
Kama binadamu, roho yake ni software na mwili ni hardware. Umenipa logic nyingine. Wewe roho yako unaitaje😀?Kristo roho yake umesema inaitwa Jehova.

Huku naendelea usinitoe kusudi langu. Still bado amelaaniwa.

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
😂😂😂😂 Umesahau Allah iliiga akavaa mti akaongea na musa
Umesema mara hawezi mara anaweza. Tushike lipi😀

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Umesema mara hawezi mara anaweza. Tushike lipi😀

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Allah hawezi ila anajibadili , soma maandiko yako allah ajibadili maumbo ila hawezi kuwa ndani ya umbo , maandiko yenu yanasema siku ya mwisho atajibadili mtamkataa
 
Umesema mara hawezi mara anaweza. Tushike lipi😀

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Ndio kristo ametukumboa kutoka laana ya Sheria , na akatwaa hiyo laana
 
Kwa kukuongezea Mungu hakuzaliwa wala hakuzaa,wala hafi,Sasa nikuulize hizo sifa Yesu anazo?
Ngoja Allah akurajie sifa za Mungu na Yesu anajitaja mwenyewe

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Ndio kristo ametukumboa kutoka laana ya Sheria , na akatwaa hiyo laana
Sio amewakomboa. Amelaaniwa. Usitake kuipinga biblia hadharani.
Yeye na shetani wote wamelaaniwa. Yeyote anayetundikwa msalabani amelaaniwa. Kila mtu atabeba dhambi zake mwenyewe.
Kosa afanye Adam mimi niwajibike. Hizi bangi mnazovuta sio mchezo. Nakuongezea Ezekieli 18:20. Hakuna mtu anabeba maovu ya mwingine.
Sijaweka maneno matupu Bali maandiko.
Angalia kwenye biblia. Usije kusema nimetunga😀

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.
 
Mbona Yesu alizariwa na akafa kwa hiyo moja kwa moja hana sifa ya kuitwa Mungu anabaki na sifa ya Utume kama mitume wengine
Mungu alikuja duniani akivaa mwili wa mwanadamu, hii haimfanyi kuacha kuwa Mungu. Kufa sio kuacha kuwepo ulimwenguni (death is not ceasing to exist) na hivyo Yesu Kristo alipouacha mwili hakuacha kuendelea na nafasi yake kama Mungu.
 
Back
Top Bottom