Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Sio amewakomboa. Amelaaniwa. Usitake kuipinga biblia hadharani.
Yeye na shetani wote wamelaaniwa. Yeyote anayetundikwa msalabani amelaaniwa. Kila mtu atabeba dhambi zake mwenyewe.
Kosa afanye Adam mimi niwajibike. Hizi bangi mnazovuta sio mchezo. Nakuongezea Ezekieli 18:20. Hakuna mtu anabeba maovu ya mwingine.
Sijaweka maneno matupu Bali maandiko.
Angalia kwenye biblia. Usije kusema nimetunga😀

Shida Yako kubwa ni kutokujua dini Yako, Allah anasema atachukua dhambi za waislamu awabebeshe wakristo na wayahudi, unamdhalilisha Sana Allah 😂😂😂😂😂😂
Soma
Muslim and narrated by Abu Moosa al-Ash’ari that the Prophet said: “There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as mountains, and Allah would forgive these sins for them and place them on the Jews and the Christians.”
 
Mbona Yesu alizariwa na akafa kwa hiyo moja kwa moja hana sifa ya kuitwa Mungu anabaki na sifa ya Utume kama mitume wengine
Ile ni human flesh , Yesu alikuwepo toka misingi ya ulimwengu hajazaliwa na wala hafi
 
Shida Yako kubwa ni kutokujua dini Yako, Allah anasema atachukua dhambi za waislamu awabebeshe wakristo na wayahudi, unamdhalilisha Sana Allah 😂😂😂😂😂😂
Soma
Muslim and narrated by Abu Moosa al-Ash’ari that the Prophet said: “There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as mountains, and Allah would forgive these sins for them and place them on the Jews and the Christians.”
Usibadilishe mada. Wewe umesema Allah hawezi. Nakushangaa unakuwa kigeugeu kijana😀. Tupe hoja kwenye maandiko yako. Mi sitaki maneno matupu. Huku unaweza kunukuu. Ukija kwenye biblia unanipa maneno hayapo kwenye vitabu😀.
Mi nimekupa simple logic. Hiyo hapo chini. Usiniwekee maneno matupu sijui mwili unalaaniwa ila roho hailaaniwa. Vitu havipo kwenye vitabu.

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
. Kila mtu atabeba dhambi zake mwenyewe.
Kosa afanye Adam mimi niwajibike. Hizi bangi mnazovuta sio mchezo. Nakuongezea Ezekieli 18:20. Hakuna mtu anabeba maovu ya mwingine.
Sijaweka maneno matupu Bali maandiko.
Angalia kwenye biblia. Usije kusema nimetunga😀

Tukiwa na debate chunga kumdhalilisha muhammad na Allah , unamdhalilisha Muhamma peupe mbele za watu
Huyu hapa Muhamma na Allah anasema kama sio dhambi za waisrael nyama zisinge oza na akasema kama sio dhambi ya Eva hakuna mwanamke ange msaliti mume wake , kwa nini Muhamma anasema mmerithi dhambi na wewe unampinga 😂😂😂😂😂😂😂
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399
 
Ile ni human flesh , Yesu alikuwepo toka misingi ya ulimwengu hajazaliwa na wala hafi
Kijana mbona unaleta bangi. Kuna mwanadamu asiyekuwa na roho? Utaeleza hapa vitu ambavyo havina logic umetoa wapi

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Usibadilishe mada. Wewe umesema Allah hawezi. Nakushangaa unakuwa kigeugeu kijana😀. Tupe hoja kwenye maandiko yako. Mi sitaki maneno matupu. Huku unaweza kunukuu. Ukija kwenye biblia unanipa maneno hayapo kwenye vitabu😀.
Mi nimekupa simple logic. Hiyo hapo chini. Usiniwekee maneno matupu sijui mwili unalaaniwa ila roho hailaaniwa. Vitu havipo kwenye vitabu.

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
Usirudie tena kusema hakuna mtu kubeba dhambi za mwingine , nimekupiga kwenye kidonda , hujui dini Yako kabisa 😂😂😂😂😂😂 nitakufundisha kama navyo mfundishaga Kisai
 
Unataka kichekesho? Soma quran 4:157-158. Allah kawadanganya wayahudi halafu anawahukumu kwa kuamini uongo wake.
IMG_20220626_145934_1.jpg

Haya Qur'an 4:157-158
 
Attachments

  • IMG_20220626_145839_1.jpg
    IMG_20220626_145839_1.jpg
    150.7 KB · Views: 2
Kijana mbona unaleta bangi. Kuna mwanadamu asiyekuwa na roho? Utaeleza hapa vitu ambavyo havina logic umetoa wapi
Roho ndio nature ya Mungu wa wakristo na ndio aliyotupulizia kidogo
mungu lah yeye ni physical being creature na hana Roho ni hollow inside kama vampire 😂😂😂😂😂
 
Roho ndio nature ya Mungu wa wakristo na ndio aliyotupulizia kidogo
Mungu lah yeye ni physical being creature na hana Roho ni hollow inside kama vampire 😂😂😂😂😂
Kumbe aliwapulizia wakristo tu😀. Huyu kristo aliyelaaniwa pamoja na shetania pia hamna tofauti wote kumbe mnashare roho moja. Tunarudi palepale. Uliniongopea kabeba laana Ezekieli 18:20 kila mmoja na mzigo wake
Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Usirudie tena kusema hakuna mtu kubeba dhambi za mwingine , nimekupiga kwenye kidonda , hujui dini Yako kabisa 😂😂😂😂😂😂 nitakufundisha kama navyo mfundishaga Kisai
Tunaendelea kama kawaida.

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Kumbe aliwapulizia wakristo tu😀. Huyu kristo aliyelaaniwa pamoja na shetania pia hamna tofauti wote kumbe mnashare roho moja. Tunarudi palepale. Uliniongopea kabeba laana Ezekieli 18:20 kila mmoja na mzigo wake
Nimekwambia acha kumtukana Allah na Muhamma, Allah kasema kupitia muhammad dhambi za waislamu atawabebesha wakristo na wayahudi na pia akasema mmebeba dhambi za waisrael na za Eva

Ungekuwa kwa talebani wangeshapita na shingo Yako 😂😂😂😂😂😂
 
Maajabu haya. Kitabu unachokiamini unapinga aya zake kutumia biblia? Hivi we una akili timamu😀? Kwa hiyo biblia imesema uongo sio😀?
Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Nimekwambia acha kumtukana Allah na Muhamma, Allah kasema kupitia muhammad dhambi za waislamu atawabebesha wakristo na wayahudi na pia akasema mmebeba dhambi za waisrael na za Eva

Ungekuwa kwa talebani wangeshapita na shingo Yako 😂😂😂😂😂😂
Unanifurahisha sana. Unazipinga aya za biblia wazi wazi kwa kutumia vyanzo vingine😀.

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Ni kweli Mungu hakuzaliwa wala hakuzaa na wala hafi.

Yesu Kristo anazo sifa hizi zote.
Ila amelaaniwa

Kristo=laana
Shetani=laana
Kristo=Shetani
Sababu wote wamelaaniwa.

A=B
B=C
A=C

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”

Mwanzo 3:14​

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia nyoka, “Kwa kuwa umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko wanyama wote wa kufugwa, na kuliko wanyama wote wa porini.

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Maajabu haya. Kitabu unachokiamini unapinga aya zake kutumia biblia? Hivi we una akili timamu😀? Kwa hiyo biblia imesema uongo sio😀?
Kubali kwanza Kuna kurith dhambi , Yani kubaliana na muhammad na Allah kwanza ,

Umempinga Allah mbele za watu 😂😂😂
 
Nikuulize wewe Ezekieli 18:20 na nukuu uliyoweka. Wapi unakubali ukiambiwa uchague maandiko😀?
Mi nimetoa kwenye biblia. Mi nakuuliza kutokana na maandiko yenu.
Hili andiko uliamini?

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Mungu alikuja duniani akivaa mwili wa mwanadamu, hii haimfanyi kuacha kuwa Mungu. Kufa sio kuacha kuwepo ulimwenguni (death is not ceasing to exist) na hivyo Yesu Kristo alipouacha mwili hakuacha kuendelea na nafasi yake kama Mungu.
Kwa hiyo tusimamie wapi,pale wanaposema Yesu

Kwa hiyo tusimamie wapi wale wanaosema yesu ni mtume kama mitume wengine na ni kati ya viumbe vya mwenyezi Mungu,na Yupo Mungu mwenyewe ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa hana mwanzo wala mwisho.
Nakushauli soma Dini kwa akili yako usikubali kukalilishwa vitu na watu bila kutumia akili yako aliyokupa Mwenyezi Mungu.Siku ya kiama utaulizwa maswali peke yako waliokukalilisha kwa faida zao wanazozijua watakuluka futi mia,mtafute Mwenyezi Mungu wako wa kweli aliyekuumba,aliyekupa uwezo wa kusikia wa kuona na kila kitu,Mungu akufanyie wepesi
 
Nikuulize wewe Ezekieli 18:20 na nukuu uliyoweka. Wapi unakubali ukiambiwa uchague maandiko😀?
Mi nimetoa kwenye biblia. Mi nakuuliza kutokana na maandiko yenu.
Hili andiko uliamini?

Ezekieli 18:20 BHN​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
Wewe andiko lako linasema dhambi za waislamu Allah atawabebesha wakristo na wayahudi , sasa unaamnin andiko lako au andiko la wakristo 😂😂😂😂
 
Kwa hiyo tusimamie wapi,pale wanaposema Yesu

Kwa hiyo tusimamie wapi wale wanaosema yesu ni mtume kama mitume wengine na ni kati ya viumbe vya mwenyezi Mungu,na Yupo Mungu mwenyewe ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa hana mwanzo wala mwisho.
Nakushauli soma Dini kwa akili yako usikubali kukalilishwa vitu na watu bila kutumia akili yako aliyokupa Mwenyezi Mungu.Siku ya kiama utaulizwa maswali peke yako waliokukalilisha kwa faida zao wanazozijua watakuluka futi mia,mtafute Mwenyezi Mungu wako wa kweli aliyekuumba,aliyekupa uwezo wa kusikia wa kuona na kila kitu,Mungu akufanyie wepesi
Yesu Kristo ndiye njia, kweli na uzima. Unasimamia pale utakapopachagua. Aidha Yesu Kristo wa Nazareth kama alivyoandikwa na eye witnesses au mambo ya issa aliyeandikwa na mtume wa mapangoni aliyeshushiwa maono miaka 600 baada ya Yesu.
 
Kwa hiyo tusimamie wapi,pale wanaposema Yesu

Kwa hiyo tusimamie wapi wale wanaosema yesu ni mtume kama mitume wengine na ni kati ya viumbe vya mwenyezi Mungu,na Yupo Mungu mwenyewe ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa hana mwanzo wala mwisho.
Nakushauli soma Dini kwa akili yako usikubali kukalilishwa vitu na watu bila kutumia akili yako aliyokupa Mwenyezi Mungu.Siku ya kiama utaulizwa maswali peke yako waliokukalilisha kwa faida zao wanazozijua watakuluka futi mia,mtafute Mwenyezi Mungu wako wa kweli aliyekuumba,aliyekupa uwezo wa kusikia wa kuona na kila kitu,Mungu akufanyie wepesi
Jifunze R na L kuziweka mahala pake
Ni nani ka kwambia Mungu anazaa ?
 
Back
Top Bottom