Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

Hapa vijana wa muhammad na allah wanapita kimyakimya, mungu wao kapiga bonge moja la uongo.
Ukweli uko wapi ?

Huoni mnajidanganya wenyewe kwa maandiki yenu ambayo yanasema yule aliye sulubiwa msalabani amelaaniwa ? Maana yake mungu wenu amelaaniwa ? Sasa haya ni matusi ya wazi kwa nabii wa Allah.

Allah alimuokoa mja wake kutokana na udhalimu wa watu waovu, na huu ndiyo utaratibu wa Allah. Sasa uongo uko wapi ?

Wakristo laiti kama mngekuwa mnahoji na kufanya utafiti juu ya maandiko asingesalia mkristo hata mmoja.
 
Usirudie tena kusema hakuna mtu kubeba dhambi za mwingine , nimekupiga kwenye kidonda , hujui dini Yako kabisa 😂😂😂😂😂😂 nitakufundisha kama navyo mfundishaga Kisai
Halafu kwa kuandika ujinga kama huu, mtu aendelee kujadiliana na wewe.

Wewe wa puuzwa maana hata ule upumbavu unaelekea kuuzidi.
 
Wewe andiko lako linasema dhambi za waislamu Allah atawabebesha wakristo na wayahudi , sasa unaamnin andiko lako au andiko la wakristo 😂😂😂😂
Wewe kwenye biblia nataka uniambie umenukuu wapi?
Hiyo hadith inapingana na Ezekieli 18:20. Yaani leo umeamua kupinga andiko hadharani? Hii hatari.

Ezekieli 18:20​

Atakayetenda dhambi ndiye atakayekufa. Mtoto hatawajibika kwa uovu wa baba yake, wala baba hatawajibika kwa uovu wa mtoto wake. Uadilifu wa mwadilifu utamfaa yeye mwenyewe: Na uovu wa mwovu ataubeba yeye mwenyewe.
 
Halafu kwa kuandika ujinga kama huu, mtu aendelee kujadiliana na wewe.

Wewe wa puuzwa maana hata ule upumbavu unaelekea kuuzidi.
Ujinga ni nyie mnatuandikia sasa Eva kafanya dhambi wanawake wa kiislamu wamerithi kwa nini 😂😂😂😂😂

Soma
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399

Muhammad mjinga Sana eti mpaka nyama kuoza ni dhambi za waisrael 😂😂😂😂😂
 
Ukweli uko wapi ?

Huoni mnajidanganya wenyewe kwa maandiki yenu ambayo yanasema yule aliye sulubiwa msalabani amelaaniwa ? Maana yake mungu wenu amelaaniwa ? Sasa haya ni matusi ya wazi kwa nabii wa Allah.

Allah alimuokoa mja wake kutokana na udhalimu wa watu waovu, na huu ndiyo utaratibu wa Allah. Sasa uongo uko wapi ?

Wakristo laiti kama mngekuwa mnahoji na kufanya utafiti juu ya maandiko asingesalia mkristo hata mmoja.
Allah alimbadilisha Issa halafu akaweka issa mwingine? Huyu aliyeuwawa alikuwa nani? Allah aliachaje aumizwe na kuuawa? Kwahiyo Allah akakaa miaka 600 ndio akasema kwamba alifanya mabadiliko ya issa?
 
Wewe kwenye biblia nataka uniambie umenukuu wapi?
Hiyo hadith inapingana na Ezekieli 18:20. Yaani leo umeamua kupinga andiko hadharani? Hii hatari.

Kubali biblia ipo sahih kuliko MAANDIKO Yako ndio tuendelee
 
Ukweli uko wapi ?

Huoni mnajidanganya wenyewe kwa maandiki yenu ambayo yanasema yule aliye sulubiwa msalabani amelaaniwa ? Maana yake mungu wenu amelaaniwa ? Sasa haya ni matusi ya wazi kwa nabii wa Allah.

Allah alimuokoa mja wake kutokana na udhalimu wa watu waovu, na huu ndiyo utaratibu wa Allah. Sasa uongo uko wapi ?

Wakristo laiti kama mngekuwa mnahoji na kufanya utafiti juu ya maandiko asingesalia mkristo hata mmoja.
Uongo alifanya Allah Kuweka Isa mwingine , na kwa uongo wake akatengeza watu walio amini uongo wake , Allah ni Lucifer yeye ndie baba wa uongo na kweli haimo ndani yake

Kisai islam without lie dies
 
Ukitaka kuangalia toka Mtume Ibrahimu,Nuhu,Musa,Yesu,Mpaka Mtume Muhamad na mitumee wengine wote walichokuwa wakihubiri ni kuhusu kutambua Mungu mmoja, Muumba wa vitu vyote,na wanaofwata hayo mafundisho ni Waisilamu peke yao.
Ukienda upande mwingine ukataka kumuongezea Mungu mwingine tayali unapingana na mafundisho yao,hata kama utakuwa unatenda matendo Mema,hiyo ni kazi bure
 
Nenda kasome surah inaitwa jini ni surah Yao mapepo yanaongea

Nimesoma, Kumbe bora majiniwanawuelewa kuliko binadamu kama wewe,!
Wao walijua kuwa kuna Mungu na wakamuuamini, lakini wewe hutaki kumamini Mungu wa Yesu?
Hii ni ajabu sana
72.Surat Al-Jinn

Imeshuka MakkaIna aya 28

1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema (MUHAMMAD): Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu ( sisi majini) walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu (Eti Mungu ana Mtoto).

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu (kusema eti mungu ana Mtoto).

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

7. Na kwa hakika wao (majini) walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi binaamu washirikina, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.

8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo. 8

9. Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali. 11

12. Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia. 12

13. Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa. 13

Ujinga ni nyie mnatuandikia sasa Eva kafanya dhambi wanawake wa kiislamu wamerithi kwa nini 😂😂😂😂😂

Soma
Muhammad said, "Were it not for Bani Israel, meat would not decay; and were it not for Eve, no woman would ever betray her husband."Sahih al-Bukhari 3399

Muhammad mjinga Sana eti mpaka nyama kuoza ni dhambi za waisrael 😂😂😂😂😂
Poa.
 
Yesu Kristo ni wa milele, muumbaji asiyeumbwa.
Yesu ameumba nini?
Mtu aliyezaliwa miaka 2000 iliyopita na kabla ya hapo hakuna aliyemjua wala kumtaja,na ulimwengu ulikuwepo na ulimTambua Yehova tuu na baada ya yeye kupaa hakuna tena tena isipokuwa kushangiliwa kwa matendo yake aliyotenda alipokuwapo duniani.
Uko wapi umilele wake?
 
Allah alimbadilisha Issa halafu akaweka issa mwingine? Huyu aliyeuwawa alikuwa nani? Allah aliachaje aumizwe na kuuawa? Kwahiyo Allah akakaa miaka 600 ndio akasema kwamba alifanya mabadiliko ya issa?
Unahoji kitoto sana, mpaka akabadilishwa ujue huyo hakuwa tena Isa bali alikuwa wa kufanana naye, hili kwa Allah ni dogo sana. Hakuwa Isa bali afananizwa, kwahiyo anajua Allah. Sababu Allah akitaka jambo liwe linakuwa tu.

Alitaka iwe hivyo, na huenda pia hakuumizwa pia.

Naam, hata ingekuwa zaidi ya miaka elfu hiyo pia siyo hoja sababu Allah anafanya jambo kwa hekima zake.
 
Uongo alifanya Allah Kuweka Isa mwingine , na kwa uongo wake akatengeza watu walio amini uongo wake , Allah ni Lucifer yeye ndie baba wa uongo na kweli haimo ndani yake

Kisai islam without lie dies
Ukurasa wa kujadiliana na wewe nimeshaufunga.
 
Nimesoma, Kumbe bora majiniwanawuelewa kuliko binadamu kama wewe,!
Wao walijua kuwa kuna Mungu na wakamuuamini, lakini wewe hutaki kumamini Mungu wa Yesu?
Hii ni ajabu sana
72.Surat Al-Jinn

Imeshuka MakkaIna aya 28

1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema (MUHAMMAD): Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu ( sisi majini) walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu (Eti Mungu ana Mtoto).

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu (kusema eti mungu ana Mtoto).

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

7. Na kwa hakika wao (majini) walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi binaamu washirikina, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.

8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo. 8

9. Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali. 11

12. Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia. 12

13. Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa. 13

Sawa hiyo ndio surah ya demons mapepo ndani ya Koran , kwa nini ulijifanya hujui 😂😂😂😂
 
wewe ndie usie juwa
Kama Umesoma contentst za sura hii, usingelii taja, maana inakufanya wewe uonekane hujui unalosema
 
Unahoji kitoto sana, mpaka akabadilishwa ujue huyo hakuwa tena Isa bali alikuwa wa kufanana naye, hili kwa Allah ni dogo sana. Hakuwa Isa bali afananizwa, kwahiyo anajua Allah. Sababu Allah akitaka jambo liwe linakuwa tu.

Alitaka iwe hivyo, na huenda pia hakuumizwa pia.

Naam, hata ingekuwa zaidi ya miaka elfu hiyo pia siyo hoja sababu Allah anafanya jambo kwa hekima zake.
Kwahiyo hicho alichofanya allah ni hekima na alifanya kwasababu anaweza kufanya chochote? Alichofanya hapo sio udanganyifu?

Kwanini basi unabisha tunapokuambia Mungu anao uwezo wote na aliamua kuja kama mwanadamu ili atukomboe kutoka dhambini?
 
wewe ndie usie juwa
Kama Umesoma contentst za sura hii, usingelii taja, maana inakufanya wewe uonekane hujui unalosema
Hayo ni mapepo Yana surah Yao 😂😂😂😂 kwenye Koran
 
Back
Top Bottom