Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

Hajaropoka kabisa.Alichofanya Salma NI kuutaarifu imma kwa kuwa Jambo hili lilikuwa halijulikani
 
Sema huyo taycoon mwenye company ya mitungi ya gesi ni mjinga sana, Hana market strategy nzuri Huwezi kumpa Bure MTU mtungi wa gesi , asiyeweza nunua mtungi wa gesi na kuujaza, hii ni hasara kubwa anapàta, Hawa watu wakimaliza kutumia mitungi wataiacha bila kuitumia Kwa muda mrefu sana.
Kwahiyo ROI itachelewa kurudi Kwa wakati, na kumfanya asupate faida yenye tija.

Nika unasajili lakini ya simu Kwa MTU aneutumia HaliChachi , hautapata faida ya maana kwenye commission yako,
Ngoja tuone hii drama itakavyo isha
 
Hiyo mitungi 100 ya gesi, hao wabunge wanaenda kugawa au?
 
Hyo siyo rushwa ni transparency kwenye utuaji wa HUDUMA za jamii ndo maana tunahoji mkeka wa join the chain hatupati hyo Sasa ndo rushwa
 
Mwalimu wako aliekufundisha hesabu anastahili viboko!!

Mitungi 300 KWA bei ya elfu50 KILA mtungi unapataje Bilioni 1.5 Badala ya milioni 15!?
 
Acha watu wale maisha nyie WaTz kuleni matembele mlale mkashabikie Yanga na Simba
 
Naweza ku bet, Jembe asinge kubali ujinga kama huu.
 
Mwalimu wako aliekufundisha hesabu anastahili viboko!!

Mitungi 300 KWA bei ya elfu50 KILA mtungi unapataje Bilioni 1.5 Badala ya milioni 15!?
Huyo mwalimu wako wa hesabu na wewe mnatakiwa mnyang'anywe certificate zenu ili zichomwe Moto!
Wabunge 300+ times 100 times 50000 unapata 1.5 billion acha uboya!
 
Aiseee hadi nimechoka kabisa
 
Huyo mwalimu wako wa hesabu na wewe mnatakiwa mnyang'anywe certificate zenu ili zichomwe Moto!
Wabunge 300+ times 100 times 50000 unapata 1.5 billion acha uboya!
Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!
 
Fanya hesabu yako vizuri usizue taharuki...
 
Hii ndiyo Tanzania ya CCM!
 
Hiyo mitumgi kama wamepewa wabunge wenyewe kuna walioiuza.

Kuna vijiji wakandarasi (REA) wametandaza nguzo na nyaya ila hakuna transformers miezi inakatika hiyo pesa si ingeelekezwa hata huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…