Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!
Kila mbunge ni mitungi 100 tumia kichwa kifikiri mbulala wewe wabunge wako miat tatu so zidisha 395x1000 x50000 =

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Sasa rushwa inaingia mpaka bungeni wazi wazi, Spika Tulia anaona huo ujinga nae anajaribu kuuficha, hii ni kashfa iliyolichafua bunge inayostahili Tulia ajiuzulu, Makamba mtoa rushwa nae ajiuzulu.

Akili ndogo za wabunge wasiojua nini cha kuongea sasa zinasababisha wajivue nguo wenyewe, aibu kwao, na mamlaka ya uteuzi ndio ipo kimya kama haijui kinachotokea, hii awamu taifa limepata hasara sana.
Ni kazi sana kuuficha uovu. Walioufanya ni ushetani, na ushetani haujifichi hata kama watataka ufichwe.

Ingekuwa ni nchi ambazo watu wanajitambua, huyo Waziri, Spika aliyeuficha uovu, waliopokea hiyo hongo, wote wangezisahau nafasi zao na kuishia mahakamani.
 
Mbona sasa na nyinyi mnatembelea chopa wakati ofsi hamna. hamuoni Kama hyo mitungi ya ges itapunguza matumizi ya kuni na mkaa na kufanya mazingira yetu yabakie Salama kwa MAISHA yetu na viumbe wengine.
Achaneni na pinga pinga ya kila kitu
Kwa hiyo kila jimbo lina kaya 100?

Mambo haya yaliyofanyika, ukiwa una akili utajua wazi ni mambo ya kuleta corruption.

Mitungi 100 utawagawia watu gani? Utatumia kigezo gani? Hiyo pesa ilitoka kwenye bajeti gani? Mbona hatujasikia kuwa kuna bajeti imepitishwa ya kuwanunulia wananchi mitungi ya gas, hata kama kila mwaka kila jimbo ni watu 100, wangekuwa na nia njema, ingewekwa wazi, na vigezo vingewekwa wazi pia ili kusifanyike upendeleo au ubaguzi.

Kllichofanyika kwa sasa, ni uchafu. Ni corruption.
 
Kila mbunge ni mitungi 100 tumia kichwa kifikiri mbulala wewe wabunge wako miat tatu so zidisha 395x1000 x50000 =

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Usipende kudandia ili ucomment tujue upo....

Hata usipoandika....tunatambua uwepo wako anti...!

Umesoma my last comment!? wee shosti!?....ama unadandia tu!? Mm sio danga
 
Kwa hiyo kila jimbo lina kaya 100?

Mambo haya yaliyofanyika, ukiwa una akili utajua wazi ni mambo ya kuleta corruption.

Mitungi 100 utawagawia watu gani? Utatumia kigezo gani? Hiyo pesa ilitoka kwenye bajeti gani? Mbona hatujasikia kuwa kuna bajeti imepitishwa ya kuwanunulia wananchi mitungi ya gas, hata kama kila mwaka kila jimbo ni watu 100, wangekuwa na nia njema, ingewekwa wazi, na vigezo vingewekwa wazi pia ili kusifanyike upendeleo au ubaguzi.

Kllichofanyika kwa sasa, ni uchafu. Ni corruption.
Hiyo mitungi 100 ni yakuanzia kamanda si sawa na kukosa kabisa
 
January Makamba ufisadi upo kwenye DNA? Kupitisha bajeti tu, umewanunulia wapiga kelele 320 mjengoni 'coupon' za majiko ya gesi ili wasipige kelele?

Kila kichwa mjengoni majiko 100. Hapo ni majiko 32,000, Mtungi wa 6kg ni Sh. 40,000. Hii ni Sh1.28 bilioni. Gharama hizi analipa nani?

Pesa hizi zimetoka katika bajeti ipi?
 
🤔
 
Hiyo mitungi 100 ni yakuanzia kamanda si sawa na kukosa kabisa
Ni lini Serikali imepitisha uamuzi wa kuwagawia wananchi wote mitungi ya gas? Kama inagawiwa kwa awamu, ni vigezo gani vinatumika huyi apate sasa na huyu afuatie, mpaka mtu wa mwisho?

Kwa hiyo sasa hivi mjongoni mwa majukumu ya mbunge ni kuwagawia mitungi ya gas wananchi? Imekwishawekwa kwenye katiba?
 
Hapana nikuwagawia hela za join the chain ili zikaongezee ruzuku ya mbolea
 
Endelea kuota ndoto Cha mchana...wekeza nguvu zako kwenye uzalishaji...syo badae mje kulalamikia Bei za maharage
Yale mauchawi yenu ya kupumbaza Watanzania yanaendelea kumaliziwa na Mungu. Katika siku isiyokuwa na jina wa Tz watainuka!
 
Mbona sasa na nyinyi mnatembelea chopa wakati ofsi hamna. hamuoni Kama hyo mitungi ya ges itapunguza matumizi ya kuni na mkaa na kufanya mazingira yetu yabakie Salama kwa MAISHA yetu na viumbe wengine.
Achaneni na pinga pinga ya kila kitu
Chopa ni ya serikali??...huna akili chawa weww
 
Elewa wewe mbuzimaji! Kila mbunge atapewa mitungi 100 akaigawe jimboni kwake. Sasa wabunge ni 300+ zidisha Mara mitungi 100 zidisha Mara shilingi 50,00/= kwa Kila nyingi uatapata kiasi Cha fedha zilizotumika. Haya, chukua kisimu chako Cha kitochi uingie kwenye calculator ufanye hiyo homework na najua takuletea figure ambazo screen ya simu yako Haina uwezo wa kuandika yote!
Ww mnasihi inanyesha elimu Yako ni ndogo unashindwa kumuelekeza mtu wote ni vilaza sema ww ukilaza wako unaafadhali yaan hesabu ipo hiv50000x300x100,Sasa ww unaandika 5000 badala ya 50000,labda kama mtungi umeshuka Hadi elfu tano,mjadala nimeufunga.
 
Ukibeba mitungi 100. Ukawagea wanachuo 100. Hakika unawadugange pasipo shaka yoyote. Utelezi murua miaka mitano ya pale mjengoni. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
 
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.

My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.

MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji1241][emoji2969]
TANZANIA NI MOJA KATI YA NCHI ZA HOVYO SANA
 
Awamu ya huyu bibi ni aibu tupu .we citizens of Republic of Tanzania need to do something to reclaim our power from these little monsters .
 
Back
Top Bottom