Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

natumia nusulita yote kwa siku moja tena ausubuhi then natengeneza mpya kwawiki moja...
Kila siku nusu lita ndani ya wiki moja
Unaweza kuongeza glasi zikawa mbili kwa siku lakini interval ya saa 8+ kutoka moja mpaka nyingine
 
Mungu akubariki kwa ushuhuda huu.

Tuwasaidie wanadamu wenzetu waliokata tamaa. Tiba ipo na imetuzunguka ni suala la mtu anayejua kitu fulani kushare na wengine kuokoa maisha
Ni kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwa

Ni kweli Haina haja ya kufichana maarifa
 
Ni kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwa

Ni kweli Haina haja ya kufichana maarifa
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
 
Kutwa nakunywa mara ngapi
Ukiandaa usiku kabla ya kulala unakunywa ahsubuhi dk 10 kabla ya kifungua kinywa.

Ukiiandaa ahsubuhi kabla ya kuondoka unakunywa jioni mara tu unaporudi kutoka mihangaikoni. Au unaweza kutembea na chupa ya maji isiyo transparent ukasubiri saa 8+ zipite unywe.

Mara moja au mbili inatosha
 
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
UMESHALITOA SOMO HILI??
 
Usiwasahau na wanaume wa dar, nadhani umenielewa
 
Bamia 2 tu? 3,4,5 je?
 
Ngoja nijaribu maana jana nimenunua ba100

Kwa hivyo ni ba100 mbili kwa maji nusu lita kwa siku kwa siku 7 siyo mkuu?
Effectivelly kabisaa.

Fanya hivyo kama maelezo ya awali hapo juu. Nilisema unatumia kwa intervals kwa miezi 3 kisha stop pima matokeo ndo upange kuendelea zaidi.

Ukiona matokeo ni chanya pls usiwe mchoyo share na wengine kuokoa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…