Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akubariki kwa ushuhuda huu.Ni kweli,nimeshuhudia mgonjwa wa kisukari ikishuka na joints kulegea
Ni kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwaMungu akubariki kwa ushuhuda huu.
Tuwasaidie wanadamu wenzetu waliokata tamaa. Tiba ipo na imetuzunguka ni suala la mtu anayejua kitu fulani kushare na wengine kuokoa maisha
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asiliNi kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwa
Ni kweli Haina haja ya kufichana maarifa
Kutwa nakunywa mara ngapiMwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili
Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....
Tumalize hili la bamia kwanza
Nitag pleaseMwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili
Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....
Tumalize hili la bamia kwanza
Ukiandaa usiku kabla ya kulala unakunywa ahsubuhi dk 10 kabla ya kifungua kinywa.Kutwa nakunywa mara ngapi
UMESHALITOA SOMO HILI??Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili
Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....
Tumalize hili la bamia kwanza
Bamia 2 tu? 3,4,5 je?Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) View attachment 2633788
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
Muhimu
- Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. View attachment 2633787
- Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
- Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi. View attachment 2633791
- Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
![]()
- Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
- Kunywa maji uliyochuja
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.
Unaweza kufanya maandalizi ya bamia usiku kabla ya kwenda kulala ili ahsubuhi uyatumie yale maji kabla haujapata kifungua kinywa.
Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.
Kama una matatizo ya
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika
- Vidonda vya tumbo
- Diabet
- Joints kuuma
- Kupoteza ute kwenye joints
- Upungufu wa CD4
- Vidonda (sugu au vya diabetic)
- Kupoteza hamu ya kula
- Unataka anti-aging
- Etc
Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.
Tupendane
picha kwa msaada wa mitandao
Effectivelly kabisaa.Ngoja nijaribu maana jana nimenunua ba100
Kwa hivyo ni ba100 mbili kwa maji nusu lita kwa siku kwa siku 7 siyo mkuu?
Huu uzi ulishauleta ?Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili
Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....
Tumalize hili la bamia kwanza
Mbona hatuhuoni huo Uzi??Yes mkuu