Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

natumia nusulita yote kwa siku moja tena ausubuhi then natengeneza mpya kwawiki moja...
Kila siku nusu lita ndani ya wiki moja
Unaweza kuongeza glasi zikawa mbili kwa siku lakini interval ya saa 8+ kutoka moja mpaka nyingine
 
Mungu akubariki kwa ushuhuda huu.

Tuwasaidie wanadamu wenzetu waliokata tamaa. Tiba ipo na imetuzunguka ni suala la mtu anayejua kitu fulani kushare na wengine kuokoa maisha
Ni kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwa

Ni kweli Haina haja ya kufichana maarifa
 
Ni kweli,Tena hata Leo nilikuwa na huyo bi mkubwa tukawa tunaongelea bamia,aisee ana ushuhuda mkubwa

Ni kweli Haina haja ya kufichana maarifa
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
 
Kutwa nakunywa mara ngapi
Ukiandaa usiku kabla ya kulala unakunywa ahsubuhi dk 10 kabla ya kifungua kinywa.

Ukiiandaa ahsubuhi kabla ya kuondoka unakunywa jioni mara tu unaporudi kutoka mihangaikoni. Au unaweza kutembea na chupa ya maji isiyo transparent ukasubiri saa 8+ zipite unywe.

Mara moja au mbili inatosha
 
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
UMESHALITOA SOMO HILI??
 
Usiwasahau na wanaume wa dar, nadhani umenielewa
 
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.

Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) View attachment 2633788
2. Bilauri ya maji (nusu lita)

Maelekezo

  1. Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. View attachment 2633787
  2. Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
  3. Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi. View attachment 2633791
  4. Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
    eagle-industries-diabetic-try-okra-water-jpg.2633792
  5. Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
  6. Kunywa maji uliyochuja
Muhimu
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.

Unaweza kufanya maandalizi ya bamia usiku kabla ya kwenda kulala ili ahsubuhi uyatumie yale maji kabla haujapata kifungua kinywa.

Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.

Kama una matatizo ya

  1. Vidonda vya tumbo
  2. Diabet
  3. Joints kuuma
  4. Kupoteza ute kwenye joints
  5. Upungufu wa CD4
  6. Vidonda (sugu au vya diabetic)
  7. Kupoteza hamu ya kula
  8. Unataka anti-aging
  9. Etc
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika

Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.

Tupendane


picha kwa msaada wa mitandao
Bamia 2 tu? 3,4,5 je?
 
Ngoja nijaribu maana jana nimenunua ba100

Kwa hivyo ni ba100 mbili kwa maji nusu lita kwa siku kwa siku 7 siyo mkuu?
Effectivelly kabisaa.

Fanya hivyo kama maelezo ya awali hapo juu. Nilisema unatumia kwa intervals kwa miezi 3 kisha stop pima matokeo ndo upange kuendelea zaidi.

Ukiona matokeo ni chanya pls usiwe mchoyo share na wengine kuokoa maisha
 
Back
Top Bottom