Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

Sidhani kama umeelewa muktadha wa hoja. Nadhani umesahau Magu alienda kuji ficha kwa muda! Yeye mwenyewe alisema wananchi waombe tu! Aliepuka kama kawaida yake.

So I was talking about a miracle. And more to come. Kwani hata rais si alisikilizia kwanza? Alipoona Poa ndo akaibuka na yeye! Lakini kwasababu alitaja “Mungu”, wale “wajasiria dini”, wakadandia.
Kwa hiyo wewe na bichwa lako unadhani mungu ndo kaleta huo muujiza?

Hakuna cha muujiza wala nini.

Corona ilipaishwa sana kuliko ilivyo hatari.
 
Unapingana na Rais ambaye amepewa tuzo juzi? Kifupi, hapa hujanielewa, wananchi, wengi wao wanaamini ni maombi! Na kama mambo yangekuwa mabaya, hii mikusanyiko ya Lissu isingekuwepo.
 
Binadamu tunatofautiana uwezo wa kufirikiri kwasababu tulio wengi niwavivu wa kufikiri 'We differ in thinking capacity because we do not excercise much of our brains'
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Pole.
 
Ukisoma na kuweka pembeni ushabiki hili Bandiko la jmushi1 utaielewa vizuri sana....ebu rudia huku ukiweka ukijani pembeni
Amen to that! Wengine itabidi warudie kusoma. Uelewa ni wa tofauti sana.
 
Unapingana na Rais ambaye amepewa tuzo juzi? Kifupi, hapa hujanielewa, wananchi, wengi wao wanaamini ni maombi! Na kama mambo yangekuwa mabaya, hii mikusanyiko ya Lissu isingekuwepo.
Kwa nini nisipingane na rais?

Ulichokiandika si rocket science we Mangi.

Kimeeleweka kabisa.

Hata kama wananchi ndivyo wanavyoamini, hilo halina maana kuwa mungu ndo kaepusha hilo janga la COVID-19.

Corona imepaishwa tu. Si kali kama tulivyoambiwa.
 
Utakuwa huwafahamu watanzania vizuri we ngosha! Kama mtanzania haamini dini, basi ni uchawi. Wengi wanaamini ni Mungu, waliobakia wanaamini ni nyungu! Kwa wengine wachache wanaamini ni suala la “demographics”

Kuna wanaoamini kuwa kupona kwa Lissu ni mwujiza tu kama huo wa corona na una sababu maalum.
 
Nawajua fika kabisa.

Naona ni wewe ambaye hujanielewa!!!
 
Back
Top Bottom