Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa hiyo wewe na bichwa lako unadhani mungu ndo kaleta huo muujiza?Sidhani kama umeelewa muktadha wa hoja. Nadhani umesahau Magu alienda kuji ficha kwa muda! Yeye mwenyewe alisema wananchi waombe tu! Aliepuka kama kawaida yake.
So I was talking about a miracle. And more to come. Kwani hata rais si alisikilizia kwanza? Alipoona Poa ndo akaibuka na yeye! Lakini kwasababu alitaja “Mungu”, wale “wajasiria dini”, wakadandia.
Unapingana na Rais ambaye amepewa tuzo juzi? Kifupi, hapa hujanielewa, wananchi, wengi wao wanaamini ni maombi! Na kama mambo yangekuwa mabaya, hii mikusanyiko ya Lissu isingekuwepo.Kwa hiyo wewe na bichwa lako unadhani mungu ndo kaleta huo muujiza?
Hakuna cha muujiza wala nini.
Corona ilipaishwa sana kuliko ilivyo hatari.
AsanteUwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Pole.
Kwa nini nisipingane na rais?Unapingana na Rais ambaye amepewa tuzo juzi? Kifupi, hapa hujanielewa, wananchi, wengi wao wanaamini ni maombi! Na kama mambo yangekuwa mabaya, hii mikusanyiko ya Lissu isingekuwepo.
Utakuwa huwafahamu watanzania vizuri we ngosha! Kama mtanzania haamini dini, basi ni uchawi. Wengi wanaamini ni Mungu, waliobakia wanaamini ni nyungu! Kwa wengine wachache wanaamini ni suala la “demographics”Kwa nini nisipingane na rais?
Ulichokiandika si rocket science we Mangi.
Kimeeleweka kabisa.
Hata kama wananchi ndivyo wanavyoamini, hilo halina maana kuwa mungu ndo kaepusha hilo janga la COVID-19.
Corona imepaishwa tu. Si kali kama tulivyoambiwa.
Nawajua fika kabisa.Utakuwa huwafahamu watanzania vizuri we ngosha! Kama mtanzania haamini dini, basi ni uchawi. Wengi wanaamini ni Mungu, waliobakia wanaamini ni nyungu! Kwa wengine wachache wanaamini ni suala la “demographics”
Kuna wanaoamini kuwa kupona kwa Lissu ni mwujiza tu kama huo wa corona na una sababu maalum.