Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Waliokua wanatoa 'Tigo' nimesikia sasa hivi eti anadai wanatoa 'Yas'.
 
This transformation is not limited to Tanzania. It aligns with Axian Telecom Group’s broader strategy to unify its subsidiaries across Africa under a single, robust brand to enhance its pan-African identity and strength.

Nyie mitanganyika msidhani makampuni yanawawaza nyie tu. Jina limebadilishwa nchi zote.
 
Mixx kiswahili urojo.
 
Ndiyo yale ya Young Africans kushindwa kutamkwa badala yake ikawa Yanga😀😀
 
Haaahaa sisi watu wa FINANCE tumesha smell fish.

Na yupo mtu mmoja mdau mkubwa sana Tz alinipenyezea za ndaan before hata hamjatangaziwa sisi tulikua tunajua TIGO Sasa itabadilishwa na kua YAS na TIGO PESA kua MIXX BY YAS

Na moja ya sabb ni hiyo uliyo itajaa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…