Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Kwahio wale wa kuomba tigo watakua wanaomba yas
 
Yani watu na kampuni yao na mipango yao ambayo wameshakamilisha kila kitu leo uje uwapangie cha kufanya?
Mamlaka za serikali kwani hawakuliona hilo?
Hivi watumiaji wao iliyokuwa Tigopesa ni waswahili pekee?
 
Yani watu na kampuni yao na mipango yao ambayo wameshakamilisha kila kitu leo uje uwapangie cha kufanya?
Mamlaka za serikali kwani hawakuliona hilo?
Hivi watumiaji wao iliyokuwa Tigopesa ni waswahili pekee?
Huu mtandao upo Tanzania ambao watumiaji wake wanatumia lugha ya kiswahili.

Sasa bibi wa kule nakapanya umwambie aseme mixx by Yas ataweza kweli?
 
Tigo rebranded to YAS as part of a strategic initiative by its parent company, Axian Telecom, to unify its mobile operations across several African markets. This rebranding aims to position the company as a pan-African, multi-market telecom provider with a cohesive brand identity. YAS is seen as a step toward leveraging synergies, enhancing customer experiences, and driving sustainable growth across its operations in Tanzania, Madagascar, Senegal, Togo, and Comoros. The move also reflects Axian’s commitment to providing innovative and inclusive technology solutions under a single, recognizable identity.
 
Asante kwa historia fupi.

Ila hilo jina lao wabakie nalo , wateja wapewe jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…