Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kama hawatuwazi basi wachukue kampuni lao waende nalo, tuone nani mwenye hasaraThis transformation is not limited to Tanzania. It aligns with Axian Telecom Group’s broader strategy to unify its subsidiaries across Africa under a single, robust brand to enhance its pan-African identity and strength.
Nyie mitanganyika msidhani makampuni yanawawaza nyie tu. Jina limebadilishwa nchi zote.
We acha tu!Huko Tanzania kuna mtandao unaitwa NyasH 😂
Halafu mtandao wa hiyo yas haupo tangu saa Tisa alasiri hapo dar es salaam na hawajatoa taarifa yoyote.
Sheria za zenu ni mbovu, wacha wakamue tu.dhambi mbaya sana, yaani ukitaka kudhurumu jambo lolote akili yako inakuwa haiko sawa unakuwa unafanya mambo kama mtu ambaye hakwenda shule..ndicho wanakifanya sasa hivi hao mabwana. Nahisi kuna kodi inakwepwa hapo....hii si kawaida kabisa!!!..wasituzugishe. Wanakwepa jambo hao
Kama hawatuwazi basi wachukue kampuni lao waende nalo, tuone nani mwenye hasara
hamna namna, anayemsimamia naye mwizi, anayesimamiwa mwizi...hadi wanamsindikiza kuzindua jina jipya 😎Sheria za zenu ni mbovu, wacha wakamue tu.
tunapigwa kila kona yaani, bibi ana shamba kubwaHaaahaa sisi watu wa FINANCE tumesha smell fish.
Na yupo mtu mmoja mdau mkubwa sana Tz alinipenyezea za ndaan before hata hamjatangaziwa sisi tulikua tunajua TIGO Sasa itabadilishwa na kua YAS na TIGO PESA kua MIXX BY YAS
Na moja ya sabb ni hiyo uliyo itajaa wewe.
Natafuta mwanasheria nimekatwa na mixx by yas tsh 700000 kwenye account yangu ya tigo pesa,mimi nilikua nadaiwa na tigo pesa sio hawa sijapewa taarifa kama deni langu wameuziwa wao siwatambuiHivi madeni yetu tigo pesa si ndio yatakua yamekufa au