chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Tunataka Tume huru itakayo letwa na katiba mpya sio tume huru ya michongo."Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda
View attachment 2047118
Hii inatoka moyoni akimaanisha tume huru kweli kweli?! Au ni chezo CCM wanataka kutufanya mazuzu tuingie kwenye 18?
Tumeshuhudia mahakama ikijidhirisha kutokuwa huru, tumeona tume huru ya Jecha wa Jecha ilichofanya kule Zanzibar.
Tumuunge mkono Pinda kwa tahadhari kubwa sana, atazamwe kwa jicho la tatu.
Tume ya Je,,,, ilikuwa ya maigizo (the comedy)"Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda
View attachment 2047118
Hii inatoka moyoni akimaanisha tume huru kweli kweli?! Au ni chezo CCM wanataka kutufanya mazuzu tuingie kwenye 18?
Tumeshuhudia mahakama ikijidhirisha kutokuwa huru, tumeona tume huru ya Jecha wa Jecha ilichofanya kule Zanzibar.
Tumuunge mkono Pinda kwa tahadhari kubwa sana, atazamwe kwa jicho la tatu.
KWANI ILI TUME IWE HURU INABIDIIWEJE?"Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda
View attachment 2047118
Hii inatoka moyoni akimaanisha tume huru kweli kweli?! Au ni chezo CCM wanataka kutufanya mazuzu tuingie kwenye 18?
Tumeshuhudia mahakama ikijidhirisha kutokuwa huru, tumeona tume huru ya Jecha wa Jecha ilichofanya kule Zanzibar.
Tumuunge mkono Pinda kwa tahadhari kubwa sana, atazamwe kwa jicho la tatu.
Hakuungwa mkono Pinda. Bashiru naye katelekezwa.Aungwe mkono Mizengo Kayanza Pinda kwenye hoja hii.
KATIBA MPYA NA TUME HURU NI MAPACHA ILI IWE TUME HURU LAZIMA UFUMUE KATIBA, kwa vile itagusa kipengele cha uteuzi, madaraka ya Rais kuhusiana na Tume hiyo, uwajibikaji, aina ya wajumbe mfumo wa uongozi na usimamizi kuanzia juu hadi chini,kutoingiliwa na vyombo vingine,matokeo ya uchaguzi kupingwa mahakamani na viwango vilivyowekwa vya uendeshaji na masuala ya fedha. Mengi ili yakae sawa lazima ku overhaul Katiba, mimi ninashauri kwa kuanzia tupigie kura kaitba ya SITA tuanzie hapo