OkUna swali la ajabu sana. Ulitaka atoe wakati gani? Kila mtu yuko huru kutoa maoni yake wakati ambao anaona inafaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkUna swali la ajabu sana. Ulitaka atoe wakati gani? Kila mtu yuko huru kutoa maoni yake wakati ambao anaona inafaa.
Nimeshindwa kukuelewa.Better late than never. Kama hoja haina mashiko mwanamke isiyo huru iundwe na upinzani peke yake?
Kwanini kuwa hollow kiwango hiki?
Nimeshindwa kukuelewa.
Kwanza KATIBA MPYA alafu hayo mengine yatafanyiwa reformation na takwa kuu la katiba mpya.
Kwanini huamini anaongea ukweli? Hata kama huamini basi muunge mkono ili umlazimishe ku carry on na kauli yake hii!Kama mzee Pinda anaongea kutoka moyoni na nia ya dhati kwa maslahi mapana ya nchi, namuunga mkono. Ikipatikana tume huru ya uchaguzi na kipengere Cha kuhoji matokeo ya urais jumlisha na mahakama huru, katiba mpya itapatikana.
Mkuu naunga mkonoKwanini huamini anaongea ukweli? Hata kama huamini basi muunge mkono ili umlazimishe ku carry on na kauli yake hii!
WAKORA sana Mama.Tume huru ya uchaguzi lazima ianze na katiba, uwezi kutunga Sheria iliyo kinyume cha katiba. Mzee Pinda atusaidie yeye hiyo tume huru inaundwaje endapo katiba inabaki ileile?
Je hiyo tume itatokana na wananchi au itatokana na wanasiasa? Nadhani kujadili kuwa na tume huru ni makosa na nimchongo wa TCD kupunguza Kasi ya mambo yanayoendelea Sasa. Tumekwama na tumekuwa watu wakulumbana Kwa miaka Sasa, malumbano yalianza baina ya viongozi lakini Sasa yamekwenda Hadi Kwa wananchi wa chini, hakuna mwenye Imani na mfumo wa kisiasa na hata waliopitishwa na mfumo uliopo wa siasa hakuna mwenye uwezo wakusimama mbele ya wananchi kusema walimchagua.
Hoja ibaki moja TU ya katiba mpya, ndani ya katiba mpya mengine yote yatapata ufumbuzi. TCD waache agenda za michongo, wasimame kuhesabiwa kwa kudai Kati mpya SIYO kuitia Katiba viraka.
Mwisho, wanapojadili Tum huru wajiulize bunge lakupitisha hiyo sheria ya kuunda tume huru ni lipi? Bing la Sasa linaweza kupitisha sheria ya Tume huru? Bunge la chama kimoja lipitishe sheria ya kuunda tume huru.....labda wapewe maelekezo.
Tukitaka tume huru tutengeneze bunge jipya la katiba , la sivyo hata bunge la kubadili sheria Kwa sasa halikidhi vigezo vya mabunge ya kidemokrasia
Hahahaaaaaa we jamaa wewe
Hahahaaaaaa we jamaa wewe
KabisaApumzike kwa amani Jabari la Muziki
Nilidhani peke yangu ndio sielewiNimeshindwa kukuelewa.
Tume huru ya Uchaguzi sio kitisho sana kwa CCM
Kama Ccm inaweza kuwa na Wazalendo hadi ndani ya vyama vikuu vyenyewe vya Upinzani ndio itakosa 'Wazalendo' kwny hiyo Tume huru
Hatutaki Tume huru bila Katiba mpya