Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataitwa mamba na ule msura wakeMbowe alipowasha moto wa kudai katib mpya aliitwa gaidi.
Huyu kaja na tume huru ya uchaguzi ataitwa nani?
Sawa Chief, ngoja tusubiri tuone litaishaje hili, muda utaamuaHakuna cha waziri mkuu
Samia ndio anatakiwa na sio waziri mkuu anaetumwa
Uelewe hilo
Bila yeye hakuna maelewano....
Kama anataka maelewano kwanini atume watu?Halafu yeye anatutaka tuwepo ila yeye anatuma watu?
Hakuna mazungumzo yeyote iwapo watu wetu wapo magerezani...mazungumzo ya nini wakati umefunga watu hao hao unaowataka kwenye mazungumzo?
Atapewa kesi ya ugaidi na Ile sura yake sasa. Watasema ndiyo kuu la magaidiAungwe mkono Mizengo Kayanza Pinda kwenye hoja hii.
Hahahaaa acha tuHawa ndio washauri wa Hangaya Chief, mambo yakimzidi huwa anawacheki hawa
Kwa upande wangu naunga mkono hoja ya mzee pinda bila kufanya prejudice ya dhamira yake.Kwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Kuu la magaidiMbowe alipowasha moto wa kudai katib mpya aliitwa gaidi.
Huyu kaja na tume huru ya uchaguzi ataitwa nani?
Wewe nawe unajibadili mithili ya kinyonga. Unajulikana wewe ni Taga Tena ccm chotara na mlipinga jitihada zote za kudai katiba mpya zilizoanzishwa na wananchi wazalendo wa nchi hii na Hadi Sasa mnawashikilia zaidi ya 189 kwenye magereza yenu! Leo unawageuka wenzako?Endeleeni kushupaza shingo, hamjifunzi, huku kushupaza shingo kwenu ndiyo kulisababisha tukose katiba mpya 2014
Atapewa kesi ya ugaidi na Ile sura yake sasa. Watasema ndiyo kuu la magaidi
Hii ni plan, huu ni mpango watatokea wengine kuunga mkono. Rais kiundani anapenda katiba mpya lakini kikwazo ni ccm conservatives. tatizo kubwa walionalo ni woga wa kuanguka kwa ccm. Yaani watailinda hatakama nchi inapata hasara ili mradi tu ccm isife.Tangu lini likawa jema? Si mnasema tume yenu ni huru Leo mnaongelea lugha za wapinzani?
Kama ni kuandika katiba mpya na kuwa na tume huru ya uchaguzi basi waachiwe wananchi chini ya wataalam wasio wanasiasa kuifanya hiyo shughuli. Tukikubali tu wanasiasa hasa CCM wachukuwe uongozi wa kuandika katiba mpya tumekwisha. Mimi nina mawazo kama wewe. Pinda amesema haya kukiwa na mkakati maalumu nyuma yake. Hii ni baada ya kuona kila mtu analia tupate katiba mpya basi CCM wameamua kuvaa ''uongozi'' wa kufanya mchakato wenye manufaa kwao."Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda
View attachment 2047118
Hii inatoka moyoni akimaanisha tume huru kweli kweli?! Au ni chezo CCM wanataka kutufanya mazuzu tuingie kwenye 18?
Tumeshuhudia mahakama ikijidhirisha kutokuwa huru, tumeona tume huru ya Jecha wa Jecha ilichofanya kule Zanzibar.
Tumuunge mkono Pinda kwa tahadhari kubwa sana, atazamwe kwa jicho la tatu.
Pinda haaminiki nachojua ametumwa wawazubaishe watu, wale pesa za vikao na mtaona kama hayo maazimio yatafanyika
Wapinzani wajifunze kufanya negotiation kwa win win scenario kuliko kupata au kukosa kabisa....Tukikubaliana kwenye tume huru then tunaendea hatua ya pili ya katiba mpyaKwa nini mnapenda kupinga, kukashfu na kubeza kila kitu, as long as kinatoka upande ambao hamkubaliani nao? Kwa style hii itachukua muda mrefu sana wapinzani kutoboa
Tena kwa nguvu zote kama kweli tunaipenda nchi yetu na siyo vyama vyetuTumuunge mkono Mzee Pinda.
Katiba haiandikwi hivyo ndugu!But ilikuwa bora zaidi ya hii, ilikuwa ni sehemu nzuri ya kuanzia
Wapinzani wajifunze kufanya negotiation kwa win win scenario kuliko kupata au kukosa kabisa....Tukikubaliana kwenye tume huru then tunaendea hatua ya pili ya katiba mpya