Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada


Waambie mizimu waende kiteknolojia!! Waingie kwanya computer tuje utuscan!!
 
Tuwekee namba basi,Kabla hujaanza Usanii.
 
Kazi yako ya kwanza maliza vita ya Ukraine
 
Isiwe TU kukosa ajira ndio sababu ya kugeuka uganga🏃
 
Bwana huyo anataka watu wake wawe masikini ili waende mbinguni.

Bwana wenu ana bifu na matajiri, akawaambia ni ngumu tajiri kuingia mbinguni kama ilivyo ngamia kupenya kwenye tundu la sindano🥵🥵🥵
Ujaelewa huo mstari,sasa bila matajiri hio injili itaendaje sasa
 
Sitaifanya kitapeli mkuu.... Nakuwa original haswaa Hii kitu ipo damuni ni nature
Dawa ya tezi ndugu maana operation inaweza kuniacha sina uwezo wa kupiga mambo yetu....fanya mambo MGANGA ili nilete ushuhuda
 
naweza kujua Mengi ya sirini yanayonihusu Na hata ya watu, DAWA na TIBA mbalimbali.
Shirki haijawahi kuwa nzuri .,,...ndio maana Mwenyezimungu amewatangazia adhabu Kali watu wa namna hii
 
Au huyu ni Yule wa Lindi SEMA Nini sijataja Mtu Hapo
 
miaka 8 Jobless? Uliishije?

jitibu sasa upate ajira kwanza halafu uendelee kutibu na wengine
Unashangaa miaka 8?watu wamepiga muongo,wameamua kupambana na hali zao tu
 
Nenda kwenye makanisa ya kiroho, ukapate msaada wa maombi na ushauri
 
utaalamu wowote ktk ulimwengu huu unajitaji akili na umeshaipata, hata huko uliko shahada yako itafanya kazi.

saidia watu na sio kuharibu.
 
Anyway, sometimes usiendekeze maono maana siyo yote yanayotoka kwa Mungu.

Kwako challenge ni kipato, jishauri kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…