Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

Ukiingia kwenye uganga Rasmi ukajua mambo yake kiundani utaikumbuka sana coment na.13
.
NB: Hakuna amani wala utajiri wa furaha kwa kumtumikia shetani
 
Mkuu schizophrenia hio,, kuona una special powers,you can talk to the dead...
 
Ushauri wangu fuata kama unavyoelekezwa. Hujui kazi yako ikakufaidia kupata fulsa zaidi mbeleni.
Hata wafalme hawakuchagua ila waliteuliwa na mizimu ya ukoo. Hizi dini tunazosali haijafika miaka 200 tangia ukristo uingie Tanzani ingawa uislam umekuwepo tangia kalne ya 9 na kabla yawezekana maana muingiliano wa pwani haukufika bara mpaka biashara ya pembi na watumwa ilipoaza.
Wewe fuata maono yanavyokwambia. Prince Charles amesoma mpaka chuo kikuu lakini bado anasubiri kuwa mfalme.
 
Hiyo mizimu ulikutana nayo wapi?
 
Nenda kwa Mwamposa,atakusaidia itaendelea kutumia vyeti vyako vya shahada
 
Yaani Msomi mzima unataka kutumikishwa na tu pepo twa ukoo.

Wewe unathamani mara zilioni kupita huto tumizimu.
 
Muone Mwamposa mganga mwenzio akushauri
Ukiingia kwenye uganga Rasmi ukajua mambo yake kiundani utaikumbuka sana coment na.13
.
NB: Hakuna amani wala utajiri wa furaha kwa kumtumikia shetani
unakuwa mtumwaa sana
 
Aliyekwambia MIZIMU unaweza kuikataa Nani?


Utazinguka dunia Hii na hutaeeza kuizuia Mizimu ya UKOO wako labda Kama ni ya jirani yako🤔
nani kakudanganya kuwa mizimu haikataliwi, utajuta baadae
tumia nafasi ya sasa kuikataa, ukiishaanza kazi ya uganga
 
Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.

Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Pesa, Mali, dhahabu si vya bwana ni vya shetani. Unakumbuka Yesu alitaka kupewa Nini na shetani pale mlimani.
 
Hayo maoni yanasemaje kwani ukiwa mganga
 
Mkuu nimejikuta nacheka lakini ndo ivyo, kama una mizimu basi hapo auna namna kabisa ya kuikataa coz kama wamekupoint ww ujue basi ur different from others siku zote mizimu ya uganga inakuwa inachagua si kila mtu itampenda kwa ajili ya kazi yao ww una vitu ambavyo wamevipenda kwa ajili ya kufanya kazi yao
 
Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.

Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Ndugu yangu mizimu ikishakupointi auna namna mana si ya ubaya iyo ingekuwa ya ubaya angeenda kanisani ingekimbia mbali ila ngoja nikupe ushaidi mmoja hivi, kulikuwa kuna mama mmoja enzi za ujana wake iyo mizimu ilitaka awe mganga yule mama akajifanya kwenda kanisani alikesha sana makanisani tena alibadili sana makanisa lakini wapi sasa ile mizimu ilimtesa sana ikafika kipindi alikuwa anaumwa vitu ambavyo avieleweki basi yule mama ikabidi asalimu amri mpk leo mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…