Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

Hayo maono hayakukuambia usipoteze ada bure hautapata kazi?

[emoji38][emoji38][emoji38]aiseeeeee
Nilikua nataka nikapate tiba kwake ila nimeahirisha…
 
Mzimu ni mapepo ya mababu, ingawa yenyewe hutamba kwamba ndiyo malinzi ya ukoo husika - kazi yanayofanya ni yanaangalia makubaliana ama sheria ambazo mababu zako waliangana - yenyewe huwa hayafi sababu hayana mwili na ndiyo maana yanatambua ukoo wenu mwanzo mwisho na ukishachaguliwa huwa huna namna bali ni kukubaliana nayo maana yana mikwara balaa.

Kwa hiyo kama ukigoma yatakupa adhabu za kijinga ila pambana nazo kwa damu ya Yesu utashinda, belive me.
 
wewe utakuwa mganga wa ukweli,maana kwanza una digiriii!!
Nakutakia heri ,kiringeni!! Ila usisahau kumualika mshana ,siku utakapoanza kazi rasmi.atie baraka! utu uzima dawa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.

Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chuo ulisomea ushirikina?????

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ila waafrika katika maeneo tuliyokamatwa ni kwenye imani.

Ukimuabudu babu yako aliekufa (ambae unamfahamu kabisa kwamba ni babu yako) unaambiwa huyo ni mzimu!

Lakini wakati huo huo unaambiwa muabudu mzungu/muarabu aliekufa (ambae humfahamu wala hujui kama ni kweli aliwahi kuishi)

Hakuna imani isiyoabudu watu waliokufa!
 
28 -8 = 20yrs

Ulimaliza shahada na 20 years.
 
Ukiwa na Nia unaweza kabisa kuikataaa ..Mimi Nina ushahidi pia muhimu usimame na Mungu kweli kweli
 
Asisikilize maneno ya watu humu pamoja na wewe.



JESUS IS SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…