Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

Kwani mizimu ni nini?
Je kila mfu ni mzimu?
Si kila mtu anaweza kuwa mzimu wenye nguvu iwe hasi au chanya.. Mizimu mingine ni poyoyo tuu
Mizimu yenye nguvu huanzia huku duniani ambapo mtu husika alikuwa na uwezo ama nguvu za ziada katika jamii..

Hawa kiasili hata kuzaliwa kwao kuliambata na matukio kadhaa yasiyo ya kawaida ama kukitabiriwa na wengine walikuwa na alama maalum kwenye miili yao
Wengi wao walikuwa na nguvu kwenye jamii na kutumainiwa na wengine..walikuwa kwa sehemu kubwa ni viongozi wa kaya, koo, nknk.. Na hawa walikufa vifo vya asili bila mateso

Kuna mizimu mibaya pia .. Hii watu wake walikufa kwa lazima bila wakati wao kutimia hivyo kusaka kisasi
 
Asante kwa kutolea ufafanuzi hilli, kwamaana hata kama huamini kitu haina maana hakipo na au hata kama unaaamini kitu, vivyo hivyo huwezi dhibitisha kipo
 
Si kila mtu anaweza kuwa mzimu wenye nguvu iwe hasi au chanya.. Mizimu mingine ni poyoyo tuu
Mizimu yenye nguvu huanzia huku duniani ambapo mtu husika alikuwa na uwezo ama nguvu za ziada katika jamii..

Hawa kiasili hata kuzaliwa kwao kuliambata na matukio kadhaa yasiyo ya kawaida ama kukitabiriwa na wengine walikuwa na alama maalum kwenye miili yao
Wengi wao walikuwa na nguvu kwenye jamii na kutumainiwa na wengine..walikuwa kwa sehemu kubwa ni viongozi wa kaya, koo, nknk.. Na hawa walikufa vifo vya asili bila mateso

Kuna mizimu mibaya pia .. Hii watu wake walikufa kwa lazima bila wakati wao kutimia hivyo kusaka kisasi
Ukifa, naamini wewe utakuwa mzimu mwema wenye nguvu
 
Halafu mtu akifa anageuka kuwa mzimu, kesho mnaenda kumuomba alete mvua, huu upuuzi tumeupata wapi? Mfu anapata wapi Nguvu za kuleta mvua?
Mtu au kiumbe chochote kikifa hakiwezi kusikia, kuona, kuhisi wala kujibu chochote.

Kwahiyo kuamini kuwa mizimu inaweza kuleta mvua au kufanya chochote ni Upumbavu na Ujinga.
 
Mizimu ni nini?
 
Hakika NOTHING FAILS LIKE PRAYER: The farmer pray for precipatation,and they say "in gods-GOD we trust/..then along comes a drought and dries their crops out/..and turns their prayers into dust/.. The next time they need assistance they should take the advice of mark twain who said "ITS BETTER TO CHECK THE WEATHER REPORT BEFORE YOU PRAY FOR RAIN"
 
NOTHING FAILS LIKE PRAYER/NOTHING FAILS LIKE PRAYER,Use your mind and you will find that nothing fails like prayer.
 
Asilimia 99.3 ya watu katika jamii ni superstition,jamii yetu inaelea katika misingi ya superstition.: SUPERSTITION = HOFU & UJINGA ULIOTOPEA.: Mkutano wa COP27 EGYPT umekaribia-climate change conferences.
 
Back
Top Bottom