nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ndio kundi la wezi wa ccm wasiogusika.Yule tumia akili unaonesha dhahiri Kuna kitu nyuma ya pazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kundi la wezi wa ccm wasiogusika.Yule tumia akili unaonesha dhahiri Kuna kitu nyuma ya pazia
Magufuli alikuwa na mipango mibaya sana na Tanzania. Likiwemo kukataa kuondoka madarakani (rejea namna alivyodhibiti bunge kuwa la chama kimoja)Jikite kwenye mada
Alifanya hivyo kwa sababu vyombo vilishindwa kuupasha umma juu ya hali ya raisi!Mimi ninachojuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa ya kutokuonekana kwa magufuli ni Tundu Antipas Lissuu. Huyu ndo mtu wa kwanza kuleta hizi habari huko Twitter na ndo sintomfahamu na taharuki ikaanzia hapa,Rais yupo wapi Rais yupo wapi mpaka kutangazwa kwa kifo chake. Sasa lisu ana majibu sahihi
Serikali ina msemaji wa serikali. Vyombo vya habari vinasikiliza kwake. Sasa hivyo vyombo vingesema nini kama msemaji hajazungumza? Na Lissu Hakuwa rafiki wa serikali wala wa Rais iweje aje from nowhere kuuliza hali ya Rais kama hakufahamu Kuna jamboAlifanya hivyo kwa sababu vyombo vilishindwa kuupasha umma juu ya hali ya raisi!
Hata haya yanayoendelea mitandaoni ni matokeo ya usiri juu ya afya yake wakati anaumwa. Mliiacha mitandao itengeneze habar juu ya afya ya raisi. Sasa inatengeneza habar juu yah kifo chake
Mtulieeee
Kwani Mungu kazi yake ni kuua watu?Kauawa na Mungu mwenyewe kwa kushupaza shingo yake. Ametenda maovu ya kutisha wakati wa uhai wake.
Dhambi ni mauti
Binafsi nmepata majibu kwenye uzi wakekuna mtu anaitwa tumia akili, jaribu kufuatilia nyuzi zake!
ilikua ni mission na ilifanikiwa!
kwa mujibu wa huyu jamaa hawa viongozi waliobaki ndio wazalendo wapenda nchi.
Huyo msemaji wa serikali naye ni chombo cha serikali siyo mtu. Hakufanya kazi yake ndo maana watu wa kina lisu wakatafuta habar wanapopajua na kuhabarisha watu.Serikali ina msemaji wa serikali. Vyombo vya habari vinasikiliza kwake. Sasa hivyo vyombo vingesema nini kama msemaji hajazungumza? Na Lissu Hakuwa rafiki wa serikali wala wa Rais iweje aje from nowhere kuuliza hali ya Rais kama hakufahamu Kuna jambo
Magufuli ni ujeuri wake na kudharau Rona ikamuonyesha Cha mtemakuni.Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Hujajibu swali langu la msingiBen alifika pale kwa sababu ya Ticha.
Unataka kufikilia Nini ??Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Hizo nyumba ni kwa akina Ndungai, ndio maana ana hasira, mikopo haijawasaidia
"Wapangaji wakampangia ziara za Morogoro... na Dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza.... " Kimla kwenye msafara walitumia utalaamu upi kumumaliza???Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Vifo vyao vichunguzweUnataka kusema je
USSR
Tusidanganyane! Lissu anafahamu ukweliHuyo msemaji wa serikali naye ni chombo cha serikali siyo mtu. Hakufanya kazi yake ndo maana watu wa kina lisu wakatafuta habar wanapopajua na kuhabarisha watu.
Badala ya kulaumu vyomb vya serikali wewe unamlaumu lisu????
PM alisema raisi anachapa kazi zake kumbe yupo MZENA ! Hawa wote unatakiwa uwalaumu siyo kina lisu! Wale ni wapuliza filimbi tu
Acha kulazimisha yasiyowekana ndugu yangu. Lisu alikuwa na taarifa kutoka kwa haohao watu wenu wa kitengo TISS. sasa unataka lisu ashtakiwe kwamba alihusika na kufa kibudu kwa magufuli?Tusidanganyane! Lissu anafahamu ukweli
Hujui influence ya waziri wa ulinzi?Waziri wa Ulinzi alikuwa na influence gani?