Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Pia unaweza kuua wengi kwa kuruhusu madawa, rushwa, ufisadi, kodi, tozo, pembejeo ziwe juu zaidi.

Mabinti wanaamua kudanga, vijana kuwa wezi, mateja, kubet, ujambazi, wanakuibia wewe na mimi, bibi yako. Mateja ni tatizo kwa familia nzima, ukoo, usumbufu mtupu.

Kukosa ajira inawachanganya vijana wengi wanapata matatizo ya akili. Same kwa Wakulima, wafanyabiashara. Wengi wanajiua.

Sera makini ni muhimu kuliko kitu chochote.
Ni kweli aisee! Hawa wameua watu wengi kuliko huyo mmoja!
 
Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Shukurani sana mkuu, leo nimepata mwanga fulani kwa mbaaali
 
Jinga kabisa baada ya kusikitika na kuwaombea wazazi wako siku wakifariki......wewe upo bize na bichwa nundu jitu lenye roho mbaya JPM,lilale pabaya motoni
Usimpangie..!
Isije ikawa 'Jinga' ni wewe unayehangaika na kupangia watu wengine jinsi ya kufikiri/kuishi.
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
offbeat kaa kwenye mada huna point pita kimyakimya sio mpaka ucomment
 
Hakika ni kundi kubwa la watanzania linajiuliza hili swali.

Tuendelee kumuomba Mungu.

Malipo ni hapa hapa Duniani na huwa hayachelewi.


Ukiua kwa Upanga utakufa kwa Upanga siku zaja.
 
Sasa hao wengine "waliuawa:" kwa sababu walikuwa na athari gani na kwa akina nani kama ambavyo mnajaribu kuaminisha watu kwamba JPM aliuawa kwa sababu alikuwa threat kwa baadhi ya watu?! Btw, kwani utawala wa sasa upo kwenye COVID-19 Denial kama ulivyokuwa utawala wa Magu?! Wakati wenzenu wamechanja, utawala wa Magu ulikuwa unasemaje kuhusu chanjo?! Au unajisahaulisha? Na unataka kujisahaulisha hata Mpango alipoponea tundu la sindano kwa hiyo hiyo COVID-19?
watu wamesahau Mpango aliponea tundu la sindano na akaambiwa aongee na media kuwa yupo salama huku analia............
 
Hakika ni kundi kubwa la watanzania linajiuliza hili swali.

Tuendelee kumuomba Mungu.

Malipo ni hapa hapa Duniani na huwa hayachelewi.


Ukiua kwa Upanga utakufa kwa Upanga siku zaja.
pia hata Tundu Lissu sijui bado malipo yaanasubiriwa au yalishajilipa au..............
 
Sukuma gang. Rejection/denial disorder itawaua. Kubalini tu kwamba mzimu wenu ushaenda. Sasa ukijadili ndiyo atafufuka?

Au unadhani Mzena hospital walitupatia mgomba yeye bado wamemficha?
We ni mwehu kwel yaan, pumbav kabsa
 
Back
Top Bottom