Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Vipi kuhusu vifo vya wengine ndani ya miezi mitatu. Sasa hivi hakuna kiongozi anyekufa na Corona, ugonjwa wa moyo, ugonjwa wowote.
Viongozi wengi sasa hivi wamekubali Covid ipo na chanjo imeruhusiwa wamechanja...Angeendelea kuwepo Magufuli wengi zaidi ungekuta wamekufa
 
jpm hakuumwa moyo,epuka matapeli.

sexless yuko kwenye biashara ya mwili humu.
Si kuna kipeperushi kwenye gazeti la Daily news kilitolewa kuwa alienda kutibiwa nje ya nchi tatizo la moyo akiwa anasoma Udsm?
 
Unajua Sweden, Japan hawakuwa na Lockdown, Kesi za Corona zilikuwa ndogo sana.

Walifanyaje,waliwaambia watu chukueni tahadhari. Mjilinde common sense stuffs. Nawa mikono,jilinde.
Na walikuwa wskisema chanjo ni utapeli wa wazungu pia?
 
Daah ulivyoanza sentensi ya mwanzo kwa mkwala nikajua wajua mengi kumbe waungua na jua tuu
emoji13.png
emoji13.png
Tupo hapa>>
Magu kamwingilia kiongozi gani?! Hivi mbali na ku-deal na baadhi tu ya wafabiashara, JPM aliwahi kumshughulikia kiongozi yeyote yule?! Kama yupo, mtaje hapa...
Nasisistiza, MTAJE HAPA kiongozi wa serikali aliyeshughulikiwa na Magu!!
 
Tunapoelekea tunaenda kutukanana maana mimi na wewe ni watu wa aina mbili tofauti.Mwenzako huwa naitumia akili yangu vizuri kuwaza mambo bila ya kuangalia nawaza kipi.
Mbona simple tu uhai ni mali ya Mwenyezi Mungu na aliamua kuuchukua kwa wakati aliopanga
 
kuna mtu anaitwa tumia akili, jaribu kufuatilia nyuzi zake!

ilikua ni mission na ilifanikiwa!

kwa mujibu wa huyu jamaa hawa viongozi waliobaki ndio wazalendo wapenda nchi.
Una maanisha nini hapo kwenye bold?...
 
Magufuli ndiye mtu aliyenisikitisha sana kufariki kwake. R. I. P my president. Hata watu waseme nini, kwangu mimi siku zote nitakuwa upande wa Magufuli.
Jinga kabisa baada ya kusikitika na kuwaombea wazazi wako siku wakifariki......wewe upo bize na bichwa nundu jitu lenye roho mbaya JPM,lilale pabaya motoni
 
Back
Top Bottom