Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

Ila pia kabla hatujajadili wengine tuanze na akina Ben Saanane, Azory, Yule Mzee Ofisa Mratibu wa EU funds, na wengine wengi. Maiti za kwenye viroba ni Nani atazisemea? Kuna watanzania mpaka Leo ndugu zao hawajulikani walipo. Tuwe na balance ya utu. Kila binadamu ana haki ya kuishi hata kama ni masikini au si mtu maarufu.
20210604_172441.jpg


20210604_172617.jpg


20210524_084345.jpg

Aliona raha kuua wenzake..mtu muovu sana yule...May he burn in hell forever!
 
Viongozi wengi sasa hivi wamekubali Covid ipo na chanjo imeruhusiwa wamechanja...Angeendelea kuwepo Magufuli wengi zaidi ungekuta wamekufa

Siku zote ruhusu watu kuwa na uhuru wakitaka kuchanjwa wachanjwe, hawataki wasichanjwe. Sio nafikiri angekubali tu chanjo, ila asingekubali ulazima, lockdown nk.

South Afrika nimeoma leo wamekubali hakutakuwa tena na Track and Trace (Kufuatia idadi, nani ana ugonjwa sehemu gani, gani walimzunguka kwahiyo watakiwa to isolate) sababu wanasema karibu wananchi wote wameshaupata.

Wanategemea wananchi wajiongeze. JPM alikataa hivi vitu toka mwanzo kutangaza vifo, wagonjwa wangapi, kuwafungia watu kunaleta hofu sana kwenye jamii.

labda mfano UK wanasema maambukizi 120,000 kwa siku moja, walikufa 120. wiki nzima waliombukizwa ni 1.7m. Wanaumwa kuletwa hospitali ni 200.

Hiyo inasaidiaje Wananchi.
 

Chanzo? Unajua hapa JF tunaweza kujitungia na kujiaminisha chochote. Wafungwa wa muda mrefu huwa wanahamishwa mara kwa mara. Ni nadra sana kutumikia gereza moja tu.

Kutokana na kwamba yeye ana kesi nyingi sehemu mbalimbali anaweza kuamishwa kuwa karibu na mahakama husika. Kuna vitu alikosea, ila tulite facts tupu, umepata wapi habari yako.

Otherwise hiki kitakuwa kijiwe kichokuwa na maana. Kila mtu analeta anayoyataka.
 
View attachment 2055570

View attachment 2055571

View attachment 2055572
Aliona raha kuua wenzake..mtu muovu sana yule...May he burn in hell forever!


Naona Wazazibar hapo, hayo yote na zaidi yamefanya Tangu Tanganyka, Zanzibar zipate uhuru.

Unajua maana ya mapinduzi matakatifu, utawala Mkapa, Mwinyi, Kikwete wakati walifanya unyama mkubwa kumbuka Dr ulimboka, mwembechai, wakati wa Mkapa mauaji kule Zanzibar, Zitto kabwe alimwagiwa nini, Chacha Wangwe, Sumaye aliambiwa sumu haionjwi, wachimbaji wadogo kule kanda ya ziwa walizikwa hai, kusini kwa ajiri ya gesi walitimuliwa kama mbwa.

Hakuna msafi tukiamua kuchimba makaburi. Wote tusimamie haki, kukemea maovu bila kuchagua mapenzi, misimamo yetu ya kisiasa.
 
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.

Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Mwenyewe hapa najiuliza kuhusu familia yangu, tarehe 1mwezi oktoba mwaka huu nimezika babu yangu, na tarehe 16 mwezi desemba mwaka huuhuu nimezika mama yangu mzazi.
Ni kazi ya mungu tusimtafute mchawi, binafsi mwaka huu umekuwa wa majonzi
 
Pia unaweza kuua wengi kwa kuruhusu madawa, rushwa, ufisadi, kodi, tozo, pembejeo ziwe juu zaidi.

Mabinti wanaamua kudanga, vijana kuwa wezi, mateja, kubet, ujambazi, wanakuibia wewe na mimi, bibi yako. Mateja ni tatizo kwa familia nzima, ukoo, usumbufu mtupu.

Kukosa ajira inawachanganya vijana wengi wanapata matatizo ya akili. Same kwa Wakulima, wafanyabiashara. Wengi wanajiua.

Sera makini ni muhimu kuliko kitu chochote.
 
Chanzo? Unajua hapa JF tunaweza kujitungia na kujiaminisha chochote. Wafungwa wa muda mrefu huwa wanahamishwa mara kwa mara. Ni nadra sana kutumikia gereza moja tu.

Kutokana na kwamba yeye ana kesi nyingi sehemu mbalimbali anaweza kuamishwa kuwa karibu na mahakama husika. Kuna vitu alikosea, ila tulite facts tupu, umepata wapi habari yako.

Otherwise hiki kitakuwa kijiwe kichokuwa na maana. Kila mtu analeta anayoyataka.

Jamaa anatikisa mikono tepetepe kamuulize mwenyewe hali aliyo nayo 😛😛😛😛
 
Mkakati ulikuwa ukipangwa kwa mda mrefu jinsi ya kumuondoa kwa kuwa aliingilia viongozi wengi mali zao walizoiba kwenye chama..na serikalini..Lakini pia alitaka wqlioe kodi kwenye biashara zao..Hili liliwauma sana..Ndo maana kila alipotoa maelekezo,,walioelekezwa walifanya mambo ya ovyo ili kumchonganisha na wananchi..mafno mauaji mbalimbali..kwqni haya yalifqnyikq bilq maelekezo yake bali alishitua limetokea.Bqada ya kumchonganisha na wanachi wake,,wakaonq njiq bora ya kumuondoa ilikuwa kiwqondoa watu wake wa karibu..ndo wakaanza na mkapa, wakafuata watu wa karibu yake kama maalimu ..kijazi nk..Baada ya vifo vingi yeye alikaa mda mrefu chato hadi waziri wa nje wa China na Rais wa msumbiji akaja chato.Wakati huo aliishapata taarifa za mipango ya mauaji yake...akatumia watu anao waamini kwenye systwm wakamuaminishq kuwa sasaa kila kitu kikopoa..ndo akarudi..harafu wapangaji wakampangia ziara za morogoro..na dar ili kwenye msafara wamalize kazi na divyo walivyomumaliza..ila nia kagenge kadogo sana akiwemo kiainaainq,ikweta,,manyuzi..etc
Duh!
 
Back
Top Bottom