Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
"mkapa alipoondoka ghafla tuliuzunika kweli niliumia kweli alikuwa mtu muungwana sana na jirani yangu mzuri mno"hakika niliuzunika sana kilio changu mungu alikijibu kwa mapigo matakatifu "Hilo lipo bayana japokuwa halitufungi kuhoji vifo vyao hasa ikizingatiwa vilijawa na utata
Ili watafune hela za umma vizuri. Ili wafisadi na kujenga mabiashara yao watakavyo. Ili wasafiri na kuishi kifalme. Ili ....Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi.
Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
Hivi mfano nikikutilia sumu kwenye kinywaji kisha nikaenda kumuhonga dokta anyekufanyia postmortem atangaze kuwa ni BP ndio imekuua kuna mtu gani atapinga? Kwenye msiba ni nani ataacha kuja?Mkuu 'BakiliMuluzi'' hapana shaka yoyote juu ya Mahiga, Kijakazi, Mfugale, na hata huyo Kwandikwa kwamba ni gonjwa hilo hilo.
Unachopaswa kujuwa ni kwamba si COVID-19 inayohusika na watu kufaa ila 'complications' zinazoambatana na magonjwa mengine waliyokuwa nayo hao watu kabla ya kuipata COVID-19.
COVID-19 ni kama inakuja kumalizia kwenye matatizo waliyokuwa nayo mwanzo hao watu.
Nikupe mfano: Philip Mpango asingepona kama angekuwa na gonjwa jingine wakati COVID-19 ilipomshambulia ile mbaya.
Pia fahamu kwamba hao watu wote walikuwa wanakutana kwa ukaribu kabisa bila ya kuchukua tahadhari zozote za kinga kwa sababu tu za ujinga wa Magufuli na waliokuwa wakimshauri juu ya gonjwa hilo.
Mwisho, kama unaouwezo wa kumshawishi Samia, jaribu kufuatilia vipimo vya hao marehemu wote kama hawakuwa na tatizo lolote kiafya na wakati wanakufa hawakuwa na COVID-19. Hizi ni taratibu za kawaida kitaaluma mtu anapoaga dunia, sababu husika iliyosababisha kifo huchunguzwa. Sababu zilizotajwa kwa hawa ni mbali na COVID-19, lakini ni lazima watakuwa wamechunguzwa kama walikuwa na COVID-19 walipoaga dunia kwa sababu hizo zilizotajwa.
Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?Delusional mind from a typical Tanzanian. Kumbuka kuwa JPM na hao wengine walikufa wakati Covid 19 ikiwa imepamba moto.
Umetaja wale maarufu mkuu. Bado wale wa tiss tunawajuwa tumesoma nawo tuliishi nawo umri mdogo wako fit kisa walikuwa tishio au kwa maneno yako walikatwa na chaki. Inakula kwetu vibaya mno. Wanajifanya mafias ila malipo na hapo hapa duniani tu.. Rip kwao...Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?
Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
Inafikirisha sana. !!Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?
Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
Hata wale vijana utasema ni walikuwa na Covid-19 dah dunia hadaa kwa kweliUmetaja wale maarufu mkuu. Bado wale wa tiss tunawajuwa tumesoma nawo tuliishi nawo umri mdogo wako fit kisa walikuwa tishio au kwa maneno yako walikatwa na chaki. Inakula kwetu vibaya mno. Wanajifanya mafias ila malipo na hapo hapa duniani tu.. Rip kwao...
Siamini kwamba JPM aliondolewa na watu fulani, tulikuwa katikati ya ugonjwa mbaya unaoua. Na yeye aliijua afya yake kwamba ni mgogoro mkubwa.Kama ilikuwa imepamba moto na wewe ulitakiwa uwe umekufa mkuu kwanini bado upo?
Imagine watu wote waliokuwa close na JPM kama Mahiga, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Maalim Seif, Mipango nae ilikuwa chupuchupu apotee na kisha Magufuli halafu useme eti Delusional mind? Hakuna Forensic department ambayo itakuwa blind kiasi cha kutokuwaza kuwa kuna plot ilifanyika katika hio scenario.
Mkapa amekufa akiwa na miaka 82 sio kijana mdogo na alikuwa anakunywa mapombe makali maisha yake yote, kifo chake moyo ulisimama.Na wale wadini wenzangu tunajiuliza kwanini Marais Wakristo wote walioitawala nchi hii hawako hai lakini Marais Waislam wote wako hai mpaka leo?
Kuna tetesi alitaka kumdukua CDF aliyepita Gen Mabeyo,MIA ikawagundua mapema sana na karibia kiwake ikabidi JPM anywee!..alivyombabua Lissu watu walishtuka sana.
..tatizo akazidi kuchanja mbuga kwa kujiingiza ktk michezo michafu ya kudukua mawasiliano ya wenzake.
..hebu fikiria kudukuliwa kwa Membe, Mzee Makamba, na Mzee Kinani.
..hivi ukiwadukua hao watatu uwezekano kwamba hujamdukua na Mzee Kikwete ni asilimia ngapi?
..Na wastaafu wangapi ambao wanataka waishi kwa amani, watu wa vyombo vya usalama, etc nao walikuwa wakidukuliwa?
..Inawezekana watu walichoka kuishi kwa hofu, wakaona wajiongeze, wakamtengeneza jamaa, mwisho wa siku parapanda likalia.
Cc MTAZAMO, Nguruvi3
Dah!Hivi mfano nikikutilia sumu kwenye kinywaji kisha nikaenda kumuhonga dokta anyekufanyia postmortem atangaze kuwa ni BP ndio imekuua kuna mtu gani atapinga? Kwenye msiba ni nani ataacha kuja?
Kimsingi watu wametambaa na chaki tu, Covid-19 ilikuwepo na ndio ilitumika kutoa postmortem regardless. Daktari akiohongwa au kuwekewa mtutu shingoni aandike watawala wanachotaka hawezi pinga afterall ndio wanamlipa mshahara wa kuishi hapa duniani na familia yake.
Unayosema ni kweli ila mwisho wa siku kuna level mtu akifikia kwenye uongozi anakuwa kama mali ya State Security (TISS)! Familia inaweza intervene ila ina mpaka wake.Dah!
Mkuu 'Extro' naona leo umetoka kivingine, na kweli imenilazimu nicheke.
Hakika, katika mazingira yetu haya tuliyonayo hapa sasa hivi, hilo uliloeleza halishindikani; maana maadili ya kazi na kila kitu havipo tena sehemu yoyote katika jamii yetu. Kila mtu (hapana, nisema baadhi ya watu) sasa anajali fursa kuliko maadili ya kazi anayofanya na ubinaadam kwa ujumla.
Kwa hiyo, kutokana na hali hiyo, inaniwia vigumu sana kukubishia juu ya dhana hiyo uliyoiweka hapa.
Lakini pia ninakuomba ukumbuke, watu kama hao wanaosemwa hapa si watu wa kawaida, ni watu ambao walikuwa na wafuasi, ndugu wenye uelewa wa mambo ambao kama pangekuwepo na mashaka yoyote juu ya vifo vyao, wasingekuwa kimya na kuachia tu yapite.
Huyo mtu mmoja anayehongwa ili apindishe matokeo ya sababu za kifo hana sauti ya mwisho katika swala hilo. Ni mtu anayehojiwa na inapolazimu jopo la wataalam katika eneo hilo huhusishwa kutafuta sababu za kifo.
Kwa hiyo siyo rahisi kama unavyodhani wewe kwamba mtu anahongwa tu halafu kila kitu kinanyooka.
Zaidi ya hayo matokeo ya uchunguzi wa sababu za kifo, ni muhimu pia ufahamu kwamba marehemu kabla ya mauti kumfika huwa amelazwa akipewa matibabu na wataalam mbalimbali katika sababu za ugonjwa wake, na vipimo hufanyika kujua ni ugonjwa gani unamsumbua. Kwa hiyo kuna mtiririko wa kumbukumbu zinazomhusu huyo mgonjwa hata kabla ya mauti hayajamfika.
Hiki kitu mnachokiita "deep state" kinasingiziwa vitu vingi sana kana kwamba wao wapo kwa maslahi ya mizimu fulani.Unayosema ni kweli ila mwisho wa siku kuna level mtu akifikia kwenye uongozi anakuwa kama mali ya State Security (TISS)! Familia inaweza intervene ila ina mpaka wake.
Thats the bad thing sababu deep state security wao ndio wanapanga ataamkia wapi, atazungukia wapi, atalala wapi 24/7! Hata in the event anaumwa, atatibiwa wapi, ataonwa na nani the state security is in deep control. Familia ina nafasi ila not to that extent.
Ni siasa tu mzee babaHiki kitu mnachokiita "deep state" kinasingiziwa vitu vingi sana kana kwamba wao wapo kwa maslahi ya mizimu fulani.
Hali inakuwa mbaya zaidi watu wanapokuwa hawana uelewa wa hicho chombo na kuanza kujitungia tu wanayoyafikiri akilini wao wenyewe.
Isitoshe, inaelezwa kana kwamba hiki chombo hakina mipaka ya kazi na uwezo wake!
Ruto (William), hapa jirani yetu aliimba sana nyimbo kuhusu hao "deep state" wa nchini kwake, hadi alipojikuta anaukwaa urais wa nchi kirahisi na kuanza kugeuza nyimbo kuwa za 'mungu' wake aliyewezesha kila kitu. Zile za "deep state" akawa hazikumbuki tena!