Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?


Vipi kuhusu vifo vya wengine ndani ya miezi mitatu. Sasa hivi hakuna kiongozi anyekufa na Corona, ugonjwa wa moyo, ugonjwa wowote.
 
Vipi kuhusu vifo vya wengine ndani ya miezi mitatu. Sasa hivi hakuna kiongozi anyekufa na Corona, ugonjwa wa moyo, ugonjwa wowote.
Sasa hao wengine "waliuawa:" kwa sababu walikuwa na athari gani na kwa akina nani kama ambavyo mnajaribu kuaminisha watu kwamba JPM aliuawa kwa sababu alikuwa threat kwa baadhi ya watu?! Btw, kwani utawala wa sasa upo kwenye COVID-19 Denial kama ulivyokuwa utawala wa Magu?! Wakati wenzenu wamechanja, utawala wa Magu ulikuwa unasemaje kuhusu chanjo?! Au unajisahaulisha? Na unataka kujisahaulisha hata Mpango alipoponea tundu la sindano kwa hiyo hiyo COVID-19?
 

Taratibu, ongea taratibu ueleweke.

Covid ipo, ila sio tishio kivile, kusimamisha watoto kuenda shule, Chuoni, shughuli zote za kijami, kazi zote.
 
Taratibu, ongea taratibu ueleweke.

Covid ipo, ila sio tishio kivile, kusimamisha watoto kuenda shule, Chuoni, shughuli zote za kijami, kazi zote.
Endelea kuamini sio tishio lakini wenzako wamechanja, na wale ambao walikuwa wanakejeli chanjo sina haja ya kukukumbusha kilichowakuta!! Na hapa nakukumbusha tena hata Phillip Mpango alitokea dirishani!

Kila mmoja alimshuhudia akiongea akiwa hoi kwa sababu tu ya kutaka kuwananga waliokuwa wanasema amelazwa yupo mahtuti kwa ajili ya corona!! Na wala usijidanganye kwamba siku hizi watu hawafi; wanakufa sana tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…